peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nani atalijibu, TANESCO wamekimbia huku Jf tangu zali la luku lianze.Ukijibiwa naomba unitag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani atalijibu, TANESCO wamekimbia huku Jf tangu zali la luku lianze.Ukijibiwa naomba unitag
Ni umaskini wetu ,nchi zingine unakwenda kwenye kampuni ya simu unapewa line na simu. mnaonana kila mwisho wa mwezi kupitia kwenye account yako ya bank. hata vocha hununui unakatwa direct mwisho wa mwezi.Mbona unanunua simu na laini?
Kuna nguzo nyingine mteja analipia 27,000 unakuja nguzo hiyo hiyo ina wateja 6 . Hamjiulizi tu kuwa 27,000 ni fedha nyingi?Tena mteja kulipa 27,000 bado ni nyingi kwa sababu atawalipa umeme wenu maisha yake yote. Ilitakiwa umeme ufungwe bure
In other words Waziri ni mbabaishajiwatu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO ni mzigo, ingekuwa kampuni binafsi tungewaita jambazi ambalo hata likiiba milioni ndani ya muda mfupi keshafuja zote. wateja wanalkpishwa bill bila vigezo ,mtaa mmoja,nyumba za aina moja, matumizi ya aina moja Kama wako watano wakienda kununua umeme wa elfu tano(5000)kila mmoja anauziwa kwa bei take, huyu units 14.huyu units 42.huyu units60.utasikia tarrifs 0,1,2,3,0,kigezo kitu kidogo. hata hili la nguzo kabla ya agizo la serikali, kuwa wa kwanza kulipianguzo eneo X nguzo tano kwa shilingi 2,000,000/=cha ajabu wenzako nao watatozwa mihela kwamba na wao wamenunua nguzo zilezile ulilizokwisha nunua. ukijiuliza kwanini TANESCO haitengenezi exorbitant profit kwa miamala hiyo ya dhuluma huwezi pata jibu, huenda... lakini wakiundiwa KATUME yatajulikana Mengi.Tena mteja kulipa 27,000 bado ni nyingi kwa sababu atawalipa umeme wenu maisha yake yote. Ilitakiwa umeme ufungwe bure
Ukizingatia nguzo moja huweza kuwahuduma hata wateja 10*27,000=270,000Tanesco wanafeli kwa sababu ya kukosa long term plan , plan zao nyingi zinafanyika kwa zima Moto,
Swala la kuondoa gharama za nguzo serikali ipo sawa tu,
Unatakiwa kutambua kuwa ni kosa kuwalipisha wateja wa umeme nguzo! Nguzo ni kwa ajili ya miundo mbinu ya umeme ambalo ni jukumu la Tanesco. Tanesco inafanya biashara ya kuuza umeme na sisi wateja tunalipia kawaida. Na ni dhahiri katika bei ya umeme ni lazima waweke na gharama za uendeshaji ndani including gharama za nguzo na kama hawafanyi hivyo hilo ni kosa lao! Ni sawasawa kuwaachia wananchi kujijengea barabara, haiwezekani! Yaani mteja alipie nguzo 10 mfano kuja kijijini au mtaa fulani!? Maana hapa atakuwa tayari amewafikishia majirani zake ambao sasa watalipia labda nguzo moja, nani atamfidia huyu wa nguzo 10? Ndio maana serikali inasema jukumu la nguzo ni la Tanesco!Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hato ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Ukweli tupu maana wamelemewa na mzigo hawana ujanja kabisaWizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Waziri ameleta siasa kuliko uhalisia shids tu ni kupata political fame lakini ukweli ni kwamba hilo haliwezekani tanesco kwa mara ya kwanza mwaka uliopita wamepata faida haya anayoleta waziri ni kutaka kurudisha nyuma juhudi za wataalam na wafanyakazi wote wa tanesco kutaka kulifanya shirika lijiendeshe kwa faidaWizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Achana na mazezeta maana kazi ya Tanesco ni kuleta umeme na mteja kulipa bill ya umemeTena mteja kulipa 27,000 bado ni nyingi kwa sababu atawalipa umeme wenu maisha yake yote. Ilitakiwa umeme ufungwe bure
Tunacholipia ni service line costKazi ya Tanesco ninkuuA na kusambaza umeme aio kuuza nguzo na kadri watakavyokuwa nq wateja wengi ndivyo mapato yataongezeka wizara wako sahihi