Tunacholipia ni service line costAcha uongo wako wewe!
Umeme wa 27,000 ni wa REA ambao gharama zake zinabebwa na selikali!
Sehemu ambayo hukuna mradi wa REA ukitaka umeme na nguzo laki 5 inakuhusu.
Tanesco wana toa huduma ya kibiashara, wana takiwa wapeleke huduma kwenye makazi. Watu walipie huduma ya umeme na sio miundo mbinu. Nchi nyingi ndivyo wanavyo fanya.Mama aione hii!
Viongozi wetu badala ya kufanya kazi kisayansi wanafanya kazi kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepunguza bei ya service lines zote, ni sh 27,000Acha uongo wako wewe!
Umeme wa 27,000 ni wa REA ambao gharama zake zinabebwa na selikali!
Sehemu ambayo hukuna mradi wa REA ukitaka umeme na nguzo laki 5 inakuhusu.
Hujui kitu , kakojoe ukalaleAcha uongo wako wewe!
Umeme wa 27,000 ni wa REA ambao gharama zake zinabebwa na selikali!
Sehemu ambayo hukuna mradi wa REA ukitaka umeme na nguzo laki 5 inakuhusu.
Mnaosema huduma iwe bure hamjui jinsi ilivyongumu kupata umeme tanesco kwa hiyo 27000/=, ni Bora ulipie million 1 upate umeme ndani ya mwezi kuliko kulipia 27000 uupate baada ya miaka miwili,
Kwanini useme gharama ya kulipia nguzo? Kwani TANESCO wanauza nguzo?Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Hapo sawa sasa watu wakilipishwa gharama ya service line hadi kuwekea luku etc wanaona keroKwanini useme gharama ya kulipia nguzo? Kwani TANESCO wanauza nguzo?
Nadhani hapa unatakiwa useme gharama ya kuweka umeme labda mita hadi 70 au mpaka 120. Umbali wa mita 70 ndio utakuwa na nguzo 1 itahitajika ili ku support kwakuwa span moja si zaidi ya mita 50.
Ukiwa na umbali wa mita 120 hapo maana yake span ni 2 na nguzo zitakazohitajika ni 2.
Hiyo huduma ya kuvuta umeme (Service Line) haizidi mita 120. Ikizidi huo unakuwa ni mradi.
Kwahiyo mleta mada uelewe kwamba TANESCO hawauzi nguzo mbali wanatoa huduma ya umeme kulingana na umbali. Kama wanauza nguzo basi leta na gharama za mita, waya, bolts, vikorokoro vingine, wafanyakazi na usafiri.
Nadhani umeelewa.
Unataka kutuambia kuwa mpaka leo Tanesco haina mtaji? Hivi hujui kwamba mteja anapohitaji huduma kwenu mnapaswa kumletea huduma alafu umchaji gharama za huduma? Thamani ya shilingi 177,000/= hailingani na gharama atakazolipa mteja kwa Tanesco kipindi chote cha maisha na uwepo wa dunia. Tanesco imewahi kuuza nguzo shilingi milioni moja laki mbili lakini hapajawahi kuwa na huduma nzuri zaidi ubabaishaji tu.Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Demo sio mbaya.Hapo sawa sasa watu wakilipishwa gharama ya service line hadi kuwekea luku etc wanaona kero
Naona wadau wanataka demo
Ova
Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Hakuna gharama za kulipia nguzo. Ukilipia nguzo maana yake upewe nguzo tu na usipate umeme. Sema gharama za kuwekewa umeme ndani ya mita 70 mpaka 120.Nijuavyo ni kuwa bado shirika linatoa huduma kama inavyotakiwa mfano sehemu ikiwa potential kwa TANESCO huwa wanapeleka mradi na hii ndio kawaida, hapo mteja hatalipia nguzo bali ile gharama ya kuunganishwa tu. Tatizo kwa sasa maeneo yenye sifa hizi ni machache hivyo haionekani sana japo miradi ipo.Sasa maeneo mengi yamefikiwa kinachofanyika yaani demand kubwa ni hitaji la mtu mmoja mmoja kuomba kuunganishwa sasa hapo ndio utaratibu ukawekwa wa kuangalia umbali kutoka kwa mteja hadi nguzo ilipo.Hii ndio inaonekana inaleta malalamiko yote hayo
Serikali iko sawa mteja kuchangia 27000 Kwanza ingepaswa kupewa Bure kwani kwa kumuwekea umeme tayari watakua wameweka kidaka uchumi kwa mda mrefu na hiyo nguzo ni Mali ya tanesco wanamamlaka nayo kumfungia yeyote kumlazimisha mteja kuinunua wakati hatakua na umiliki nayo ni kumuibia sawa kabisa serikali Tena use bureWizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Wewe ni mjinga na inaonekana bado unakaa kwa wazazi wako!Hujui kitu , kakojoe ukalale
Ndiyo,unavyokuwa mbali ndy gharama inaongezekaDemo sio mbaya.
Ila tatizo uelewa wa watu. Hivi huduma ya maji imakaaje. Jinsi unavyokuwa mbali si ndivyo gharama za bomba zinaongezeka.
Watu uelewa kidogo shidaWewe ni mjinga na inaonekana bado unakaa kwa wazazi wako!
Umeme wa REA ndio unatoa 27,000 lakini lazima mradi ukukute ndio unatoa hiyo 27,
Mradi ukipita itakulazimu kulipa gharama za kawaida.
Ukitaka kufungiwa umeme kama huhitaji nguzo unalipa 325,000
Kama unahitaji na nguzo itabidi uongeze hela ifike laki 5
Haya leta wewe sasa mchanganuo wa gharama za tanesco
Hata hiyo 27,000/- bado ni wizi kwa sababu huwezi niuzia kitu halafu bado kibaki kuwa mali yako, TANESCO hapa muangalie upya mifumo yenu vinginevyo nguzo iwe ni huduma ya bure igharamiwe na tanesco wenyewe.Tena mteja kulipa 27,000 bado ni nyingi kwa sababu atawalipa umeme wenu maisha yake yote. Ilitakiwa umeme ufungwe bure
Nguzo Tanesco inauza ghari sana na zinatoka mufundi tu hapo kumbuka kuna miaka nguzo ilifika hadi laki sabaTanesco haizalishi nguzo na yenyewe inanunua gharama ya nguzo ni kubwa sana hiyo bei mnayoona ni very fair