Tulifundisha divinity mashuleni,Na makanisa na misikiti yatafanya kazi gani mkuu? Au unataka yageuzwe kuwa shule?
Hatukufundisha dini, Bali BIBLIA na mitaala ilikuwepo,
Walimu lazima awe na Degree au Advanced diploma ya theology.
Na hiyo ilikuwa Awamu ya Ben Mkapa.
Labda kama Awamu ya 5 second half,wanaleta kitu kipya, ambacho hakikuwako before tutakiona, kama hakifai tutakipinga.