Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

Sasa unataka kulazimisha watu wajishughulishe na dini. Dini ni hiari ya kila mtu.
Mkuu 'Rabbon', leo vipi teana?
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna mijitu imekaa kupinga kila kitu, hii nchi ina usalama wa taifa, wazee wa nchi, na vyombo mbali mbali kwa ajili ya ulinzi na maendeleo ya nchi, kuna watu akili zao kisa samia muislamu basi kila kitu anachofanya ni kwa ajili ya uislamu, ni ujinga mtupu na elimu duni ndio inazalisha vijana wavivu wa kufikiri kazi kulaumu na malalamiko
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI
 
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI TUMEGOMA
 
Kweli kabisa mkuu. Misikitini na Makanisani ndimo dini inapaswa kufundishwa, sio kwenye shule za umma. Ina maana serikali haiamini kuwa watu wanaweza kupata elimu ya dini kwenye makanisa na misikiti hadi ianze kufundisha dini yenyewe mashuleni? La hasha! Ni upumbavu wa hali ya juu sana serikali kukubali maoni ya Mama Samia na waarabu wake kuingiza dini mashuleni.
Mimi nataka kujua hao "wataalamu" wa mambo ya dini tutakaowazalisha kutokana na kufundisha tahasusi hizi mpya katika elimu ya juu, wanaandaliwa kuja kufanya kazi gani na watatatua changamoto gani katika jamii?
 
Vizazi havitapata faida yoyote kwa kufundishwa hayo masomo, zaidi vitaendelea kuwa dumavu.
Nuru ya uhakika ni sayansi na teknolojia.ce
W/tnz ni doule face hamtak somo la dini ajabu hampig kelele vp mtazibiti mikakat ya wanao eneza ushoga na usagaji mashlen au mmesha kubali yawafke tu
 
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI TUMEGOMA
Mungu ni Hana limits.

1. Ijumaa, JUMAMOSI na Jumapili kwenye nyumba za Ibada ataabudiwa.

2. Maofisini lazima aingie Mungu Ili watu waache kupokea RUSHWA.

3. Mashuleni lazima Mungu aingie Ili kusaidia watoto wetu wawe na HOFU ya Mungu, wajue dhambi ni nini, wakatae USHOGA, wizi, kutotii nknk wawe wema.

4. Mungu lazima aingie Bungeni Ili wabunge wasimamie HAKI na kuhakikisha wananchi wanapata HAKI Yao, wanapata mgao katika cake ya Taifa, nknk

5. Mungu aingie IKULU, Ili Mahali hapo pasigeuzwe pango la WANYANG'ANYI Bali pawe Mahali Patakatifu, maslah ya nchi yatangulizwe mbele.

6. Mungu aingie Kwa wavuvi, Baharini, ziwani na katika mito, Samaki waongezeke, wajue UVUVI haramu ni DHAMBI, waache uchawi Ili Ajali majini zipungue.

7. Mungu aingie migodini, wajue Mungu ndiye mwenye madini yote, waache kuua albino Kwa Imani mbovu, wajue Mungu yupo na wamtegemee, wasikwepe Kodi, Amani itawale, mashimo Yao yateme.

8. Mungu aingie mashambani, Ili mvua zije Kwa wakati, mazao yapatikane, chakula kuwepo Cha kutosha nchini, majanga yaondoke.

Mungu Si jini wa kufungiwa kwenye chupa pekee, Mungu Hana mipaka, tumkaribishe katika sekta zote.

Naunga mkono Divinity,mafundisho mashuleni ya Imani juu ya Mungu Mmoja yafundishwe mashuleni.

Amen

Umeelewa?
 
Kama wanakubaliana kwa nini kuna madhehebu ya kiiskamu ya sunni, shia, kadiani, isnalia, ahmadiya, bohra , ansar sunna nk?

Eti watakubaliana una hakika watakubaliana? Mbona suala la kufunga na kufungua ranadhani tunaona wanatofautiana tena hapa hapa Tanganyika?

Biblia ya kikatoliki ina vitabu 72 wakati ile ya amaa wengine ina vitabu 64, ifuatwe ipi ,

Mtihani atatunga nani anayekubalika.

Usiunge mkono hoja kishabiki.
Hata katika vitabu hivyo vinavyofanana kuna baadhi ya mambo hayafanani kwa mfano amri kumi za Mungu kwa mujibu wa biblia ya WASABATO ni hizi hapa:
1715425276278.png

Na amri hizo hizo wa mujibu wa biblia ya WAKATOLIKI ni hizi hapa:
1715425500449.png

Mkuu umeona hizo tofauti? Sasa wale wapumbavu wanaoshabikia serikali kuchanganya dini na elimu hebu waje hapa watuambie ni biblia ipi itakayotumika kufundisha hizi amri kumi za Mungu.
 

Attachments

  • 1715424547247.png
    1715424547247.png
    14.9 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: RMC
Acha ujinga mkuu. Wewe unaona ni sahihi wanafunzi kurundikiwa haya masomo ya kipumbavu wakati masomo yalipo tayari yamewalemea? Hivi hawa waarabu na dini zao mnaowakumbatia wanawapa nini? Tatizo nyie waislamu mnakubali kila kitu kutoka wa waarabu, hadi ushoga, halafu mnataka kuupandikiza kwa watoto wetu. Hatutakubali upumbavu huo.
Nitajie nchi moja tu ya kiarabu ambayo ushoga au zinaa tu inaruhusiwa? Na nitajie nchi moja tu isiyokuwa ya kiislamu ambayo zinaa hairuhusiwi na ushoga?
 
Mkuu dini kama somo zilikuwa zinafundishwa kwenye seminari za kikristo na kiislamu tu. Sijawahi kuona kipindi cha dini kinafundishwa kama somo hadi kikaingizwa kwenye ratiba ya masomo kwenye shule za umma. Kama unafahamu shule ya umma iliyokuwa inafundisha somo la dini naomba uitaje hapa. Rudia tena kusoma uzi na kusikiliza video utaelewa.
Mimi nimesoma kama somo katika shule ya serikali na nimefanyia mtihani wa Taifa level zote ordinary na advanced level....shule ni Benjamin William Mkapa
 
kitu ambacho sijaelewa ni hiki, wameandika barua ili wahesabu wanafunzi wa kiislam ni wangapi, wale wakristo wamehesabiwa?

1. kama wakiruhusu dini kufundishwa, kila watu wafundishwe kwa madhehebu yao. mfano, mimi ni mkristo, Mlokole, nisingependa kabisa mtoto wangu afundishwe dini ya padre, aende mchungaji wa kilokole akafundishe wanafunzi walokole.

2. kwenye hizo shule, wagawe madarasa, na wanafunzi wagawanywe, walokole watakuwa na darasa lao, walutherani darasa lao, anglican wanaoruhusu ndoa za mashoga wawe na la kwao, catholics wawe na darasa lao, AIC wawe na darasa lao na kina mwamposa wawe na madarasa yao.

3. Hii ni hatari sana, imeanza kuwatenga watoto kidini tangu wakiwa wadogo kabisa shuleni, wataendelea hivyo hadi watakapokuwa wazee. Samia atakuwa amekuwa rais wa kwanza kuleta utengano kwa minajili ya dini nchini hapa.

4. wale wanafunzi wanaosali pamoja, ndio watakuwa marafiki, ndio watasaidiana makazini wakimaliza shule, na wataonana ndugu kwa minajili ya dhehebu.

SAMIA ANAFIKIRI HII NCHI ANAIPELEKA WAPI? KWASABABU WAISLAM WAMETAKA BASI HATA TUKITENGA WATOTO NI POA TU? AU ANAFIKIRI HAPA NI ZANZIBAR? Huku bara tuna dini mbalimbali, na tuna madhehebu mbalimbali, na tumekuwa tukisoma pamoja bila kunyoosheana vidole kwamba huyu ni mpentecoste, huyu mkatoliki, huyu muislam, huyu mlutheran, huyu mni nini na nin, hatuna hiyo.
Wewe mlokole mavi, umeandika pumba tupu, gazeti lote kama misa ya usiku
mnaendelea kushoboka na hio barua ya uwongo kenge nyie
sema ukweli, wewe unarafiki waa kiislamu???? Hauna ndio ukweli
Na huu ni ukweli, mimi sina na wala sikuhitaji kuwa na rafiki wa kikristu sababu mbeleni kwenye maisha hatutaenda sawa wala maongoezi na pia way of life ni tofauti mno na urafiki na mahusioano hayatakuwa sawa, na hata tuliosoma kuanzia msingi mpaka sekondari wengi wa wakristo niliosoma nao nimeona wamekuwa karibu na wakristo wenzao mbeleni na pia kwa waislamu ni hivyo hivyo
 
Huna hoja mkuu. Dini ndio zinabadilisha maadili ya wanafunzi? Si wanafundishwa somo la Uraia na Maadili? Hebu kaa chini utulie unywe maji halafu uskilize video kwenye uzi kisha urudi kuchangia hoja.
Uraia na Maadili inaishia level ya primary hata baleghe bado...kuanzia O level na advance hakuna hilo somo la uraia na Maadili na ndiyo sehemu ambayo vijana wanabadilika sana....hebu Taja hiyo shule yako secondary inayofundisha uraia na Maadili
 
Back
Top Bottom