Tulifundisha divinity mashuleni,Na makanisa na misikiti yatafanya kazi gani mkuu? Au unataka yageuzwe kuwa shule?
Walimu wanaofundisha haya masomo ya kipumbavu wanalipwa na nani wakati kuna walimu wa msomo ya maana kama fizikia, hesabu na kemia wapo mtaani hawana kazi?Ulisema ataje shule ya umma inayofundisha hayo masomo nimekutajia moja.....kama unataka nyingine ni hizi Azania,Kisutu,Tambaza,Jangwani,Kibasila,Temeke,Dar es salaam secondary etc....hizo zote ni za serikali na somo lipo katika ratiba ya vipindi kabisa...Hakuna anayetetea ujinga hapa
Hata ukitumia provocative language halinisumbui hilo watu wa aina yako hamnistui .. Tunafundisha dini Madrasa ..Msikitini ..na shuleni.. Bahati mbaya huwezi kuzuia hilo ..Kwani huko misikitini haya mambo hayafundishwi hadi yafundishwe shuleni au huko misikitini mnafundishana kulawitiana tu?
Toa somo mkuu, tofauti kati yao ni zipi; mbali ya kutumia Quran hiyo hiyo moja.Kaka/Dada
Jifunze, hakuna Quran tofauti
Ito itakuwa si Quran, Quran ni Moja tu
Yenye sura 114, Aya 6236. Uwe Suni ama Shia au Ahmadiya. As long as unasema ni Quran, ni Moja tu
Mlivyokuwa mafala eti imetelemshwa,hakika imani za kidini zinaendana na upunguani wa akiliHakuna Qur'an ya Zanzibar wala Tanganyika, Qur'an haijawahi kubadilika tokea iteremshwe. Na hivi sasa ina miaka 1400.
Hizi ajenda zinapenyezwa kimyakimya, matokeo yake tutayaona miaka mingi mbele.Napinga kwa nguvu zote serikali ya kiarabu ya Samia kuingiza haya maosmo ya kiarabu kwenye mitaala ya watoto wetu. Hivi ni lini waislamu wataacha kushobokea haya mashoga ya kiarabu?
Sio imetelemshwa ni imeteremshwa. Wewe mwenye akili lakini unashindwa kutofautisha r na l. Nina wasiwasi na akili zako.Mlivyokuwa mafala eti imetelemshwa,hakika imani za kidini zinaendana na upunguani wa akili
ndugu, mimi sitakufa kwa Jina la Yesu Kristo, huyo alishakufa akaishinda mauti badala yangu, though muda ukifika kama Mungu atakapopenda, nitalala, sitakufa. ila wewe ndio unatembea mfu, maadamu unapumua sasa, Okoka, kwasababu utakakoelekea ni moto wa milele na milele pamoja na shetani, na mood aliyekuleteeni hiyo dini ya kikatili.Kafe mbele huko na dua zako
Haya ndiyo mambo mnayofundishana huko madrasa halafu mnataka muyaingize kwenye mtaala ili mharibu watoto wa watu?Hata ukitumia provocative language halinisumbui hilo watu wa aina yako hamnistui .. Tunafundisha dini Madrasa ..Msikitini ..na shuleni.. Bahati mbaya huwezi kuzuia hilo ..
We ni mpumbavu na utakufa na upumbavu wakoSuala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa wanajamii wakitaka hizi tahasusi zifutiliwe mbali kwani serikali haina dini na haipaswi kuendekeza mambo ya udini hadi kuyaingiza kwenye mitaala ya elimu.
Wakati vumbi la sintofahamu kuhusu sakata hili halijatua, mdau mmoja wa elimu ametoa ufafanuzi ufuatao na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania wapenda amani wasiopenda kuchanganya dini na masuala ya elimu. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa chini:
View attachment 2987458
MAONI YANGU
Namuuunga mkono huyu mwanazuoni 100% na naitaka serikali ifutilie mbali huu upuuzi kwenye mitaala ya elimu kwani unaweza kuligawa taifa pakubwa. Wewe fikiria dini ya asili na dini ya kihindu imeachwa bila kuingizwa kwenye mtaala unadhani wapagani na wahindu wataielewa serikali kwa kuwabagua kuwadharau kiasi hiki?
Pia tukumbuke hata wakristo na waislamu wamegawanyika sana. Yaani hili suala la udini litaleta mgawanyiko mkubwa sana katika taifa hili ikiwa hii serikal ya kusadikika itaendelea na msimamo wake wa kuingiza udini kwenye elimu.
Sasa hivi kila dhehebu lina biblia yake. Waumini wa Shia wana korani yao na waumini wa Ahmadiya wana korani yao pia. Aidha, korani zinazotumika Zanzibar ni tofauti na hizi zinazotumika hapa Tanganyika. Je, ni biblia au korani ipi itatumika kufundishia? Na je, itakuwa korani ya Zanzibar au ya Tanganyika? Kwa vyoyote vile serikali imefanya jambo la kipumbavu sana kuchomekea udini kwenye taaluma. Naomba wizara ya elimu iangalie upya hili suala kabla halijaigawa nchi vipande vipande.
Nawasilisha.
Okey ! Islamic knowledge kama somo halijaanza leo ..lilikuwepo na litaendelea kuwepo .. chuki zako sio kwamba zitasikilizwa leondokeHaya ndiyo mambo mnayofundishana huko madrasa halafu mnataka muyaingize kwenye mtaala ili mharibu watoto wa watu?
View attachment 2988312