Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

Nilidhani uhai at some point lazima kila mmoja ajisimamie

Ulinzi wa roho ni suala la nafsi
Kabla ya Ndezi mmoja kuja kufosi salam ya kushikana mikono wakati unamuelimisha kuhusu covid anakupigia na Chafya usoni

Hata ukijilinda kumbuka sote tunaishi kwenye msitu wa Ndezi.
 
Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa.Jamani inahuzunisha sana.Wizara ya Afya ichukue tahadhari.Mikusanyiko ya watu mipirani,kwenye misiba,harusi,mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa,misikiti n.k ipigwe marufuku.Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda.Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.Tuache mzaha jamani.Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura.Its now or Never.
Wodi ya mwananyamala iliyosababisha raisi apige u turn hukuiona?
 
Basi elewa ndugu yangu, kwamba aliyechanjwa huwa anabaki tu kuwa na uwezo wa kuwa 'carrier',kwa hiyo tatizo akikutana na mtu mwingine ambaye hajachukua tahadhari au hajachanjwa, basi inakuwa ni rahisi kumwambukiza.....
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri,
Kama ndo hivyo basi naamini watanzania wote tunamchanjo ya asili maana mpaka sasa tukipimwa David wote tunayo.

Yaani sisi carrier by default
 
Kabla ya Ndezi mmoja kuja kufosi salam ya kushikana mikono wakati unamuelimisha kuhusu covid anakupigia na Chafya usoni

Hata ukijilinda kumbuka sote tunaishi kwenye msitu wa Ndezi.
Na wewe utakua umetuama Tu wakati anakupigia chafya

Mzee Baba, afya ni kama wallet , ilinde Sana hata bila ushauri wa mtu
 
Na wewe utakua umetuama Tu wakati anakupigia chafya

Mzee Baba, afya ni kama wallet , ilinde Sana hata bila ushauri wa mtu
Unajua mimi huwa najilinda sana lakini kuna hawa Vijana Wazembe akishakuona lazima aje kukusalimia na mkono ukimwambia kuwa keep distance anaanza kukukomalia kwa maneno.
 
Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa.Jamani inahuzunisha sana.Wizara ya Afya ichukue tahadhari.Mikusanyiko ya watu mipirani,kwenye misiba,harusi,mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa,misikiti n.k ipigwe marufuku.Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda.Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.Tuache mzaha jamani.Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura.Its now or Never.
Misukule ya dikteta inakuambia tumuenzi dikteta, Covid19 hakuna tz,
Tahadhali ni muhimu, Corona ya safari hii ni ya kutisha
 
Dogo chunga mdomo wako. Kukaa kwako hapo sofani kwa shemeji yako kusikupe madharau.

Sauh'waaa!
We fala nini unataka kunifundisha maisha? hiyo ni principle ya maisha dunia nzima ya kuwa ukiwa mjinga ukafanya mambo hatari ukashindwa kuchukua tahadhari na kujitenga na hatari UTAKUFA TU KWA MAJANGA. COVID ni virus ambao hujui visababishi wake unakuja na option ya kulockdown, kuwapa hofu watu, kuzuia shughuri za uzalishaji na kulazimisha life style ya uganda nchi ya kitropiki iwe sawa na Norway nchi ya baridi lazima UFE, kwa njaa, uharifu, magonjwa etc. FOOL DIES
 
Nashangaa sana kuona mpaka haujafungwa hadi leo hii na safari zote za kwenda Uganda au kuingia kutoka Uganda kupigwa marufuku.
Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.

Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.

Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.

Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.

Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.

Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
 
Kumbe tayari wamedungwa chanjo??!!
Tayari mkuu, waafrika wangefata njia zetu za kupambania kombe (kutafuta riziki) na kuiacha nguvu ya asili jukumu la kutulinda dhidi ya magonjwa wala tusingekuwa hivi. Tatizo kuna watu wanatisha sana wenzao mara oooh second wave inakuja wakati JPM kafariki wakasema second wave na leo wameanza tena second wave imeanzia uganda Je kwanin isianzie hapa ambapo hatujawahi kuwa na tahadhari?
 
Unajua mimi huwa najilinda sana lakini kuna hawa Vijana Wazembe akishakuona lazima aje kukusalimia na mkono ukimwambia kuwa keep distance anaanza kukukomalia kwa maneno.
Sasa wewe unajali maneno?

Kuna siku yaliisha?
 
Jamani tusilazimishane, wala usitupangie maisha! kajifungie mwenyewe sisi tutatembea na korona hatutapata! Badala ya kuishauri serikali izuie mikusanyiko ya mwenge wewe unashauri watu wasikusanyike kumwabudu Mungu! wewe una akili kweli? kwa taarifa yako mawazo yako yakitekelezwa kama nchi mtajuta kuzaliwa! Msilete hapa ushauri wa kishetani hii nchi iko mkononi mwa Mungu mwenyewe kwa kuwa huna macho ndiyo maana unafikiri sisi tunabahati!. Unajua humu jamvini kuna wachawi wengi wanaongea kwa imani yao, shida inaanzia hapo! wazungu wenyewe wanafata imani ya Magufuli na wanasema amefanikiwa, wewe unafata imani ya wazungu; kweli ngozi nyeusi ni majanga.
 
Wameteketea wangapi ? CNN ni propaganda machine wanafurahia kuonyesha Africans suffering, covid is deadly lakini CNN kuna agenda wanaaka kuiuza ...believe nothing of what you hear, and only half of what you see
Ukitaka kujua nchi hii ina watu wengi hopeless, mpaka Uganda ambapo tuna ndugu na jamaa tunashindwa kutafuta data halisi on ground tunategemea picha na hekaya za Clown News Network. Yaani watu wanavyopenda hamaki, washaanza kelele.

I guess tuna watu wanaopenda sana bad news na always wako makini kuzikuza hata kama bado hazina uthibitisho!
 
Ukweli ni kwamba Corona ipo tena sanaa isipo kua kifo cha mwendazake kimefunika habari za korona watu wamekua acited na kifo pamaja na ujio wa Mama. Vyombo vya Habari vya Tz haviko vigorous, kama investigative journalism hatuna kabisa, ukweli ni kwamba watu wanaugua Corona na wengine wanakufa kimyakimya wahanga husema kifo cha masikini hakivumi. Tunasubilia kifo cha kigogo wa CCm ndo tujue Corona inaua. Mipaka yetu ya Uganda na Tz iko wazi kiasi kwamba muingiliano wa raia uko juu sana wa Tz wengi wanafanya kazi uganda ila wanalala Tz, kama korona ipo ug moja kwa moja na Tz ipo ila nani aitangaze?
 
Ukweli ni kwamba Corona ipo tena sanaa isipo kua kifo cha mwendazake kimefunika habari za korona watu wamekua acited na kifo pamaja na ujio wa Mama. Vyombo vya Habari vya Tz haviko vigorous, kama investigative journalism hatuna kabisa, ukweli ni kwamba watu wanaugua Corona na wengine wanakufa kimyakimya wahanga husema kofo chamasikini hakivumi. Tunasubilia kifo cha kigogo wa CCm ndo tujue Corona inaua. Mipaka yetu ya Uganda na Tz iko wazi kiasi kwamba muingiliano wa raia uko juu sana wa Tz wengi wanafanya kazi uganda ila wanalala Tz, kama korona ipo ug moja kwa moja na Tz ipo ila nani aitangaze?
Unajua tatizo ni kwamba hakuna tofauti kati ya sisi tusiochukua tahadhari dhidi ya corona na wengine wenye kuchukua tahadhari kwa maana ya kwamba nilitegemea kuona hali ya corona kwa Tanzania kuwa mbaya kutokana na tulivyojiachia tokea mwaka jana, tungeona athari kwa macho yetu kutokana na asili ya ugonjwa wenyewe ulivyo na sio kwamba hadi sasa bado tunabishana kuwa huu ugonjwa upo au haupo.

Tanzania pamoja na kuwa hatuchukui tahadhari ila et sisi ndio tunaogopa corona ya kutoka Afrika kusini, Uingereza mara India na sasa tunataka tujihadhari na Uganda, sasa najiuliza kwanini Tanzania ndio isiwe ya kuogopwa ila matokeo yake sisi ndio tunaogopa kuletewa corona kutoka mataifa mengine ambayo huko wenzetu wanachukua tahadhari?
 
Nimeona Museveni ametangaza kufunga shule na vyuo, sisi hapa kwetu tuliunda kamati ambayo mapendekezo yake bado tunatafakari kama yafuatwe au yaachwe, tukija kuamka usingizini tayari Corona iko vyumbani mwetu tuanze kukimbizana kama kawaida yetu.

Barakoa zimeshasahaulika ukiongezea na yale mawazo ya wajinga Mungu anatupenda sisi zaidi ya wengine ndio kabisa hatuna habari.
Sasa huko si wamechanjwa imekuwaje tena? Mambo ni mengi muda ni mchache!
 
Wa TZ sijui nani katuloga? Hakuna taadhari yeyote sasa hivi vitakasa mikoni maji tiririka vyote wametupa mbali

Heri kipindi cha Mwendazake

Wiki za Nyungu pia maombi wametupa mbali. Heri kipindi cha mwendazake.
 
Back
Top Bottom