Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hizo R.i.p ni zinaenda sambamba na kusemwa vibaya humu huyo mwendazake utafikiri kwamba ndio binaadamu pekee aliyekuwa anamakosa au ni ajabu yeye kufa.
Ndio hapo sasa 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo R.i.p ni zinaenda sambamba na kusemwa vibaya humu huyo mwendazake utafikiri kwamba ndio binaadamu pekee aliyekuwa anamakosa au ni ajabu yeye kufa.
Tusitishane! RIE&P our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏😭!Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Wewe ndio huchukui tahadhari. Unategemea nani akuambie nawa mikono? Unasubiri rais ndiye akuambie kunawa mikono? Pole! Usilaumu mtu au kiongozi yeyote, jilaumu mwenyewe. Uganda walishapata chanjo!Wa TZ sijui nani katuloga? Hakuna taadhari yeyote sasa hivi vitakasa mikoni maji tiririka vyote wametupa mbali
Heri kipindi cha Mwendazake
Walichanjwa chanjo ya kideri wakadanganywa kuwa ni ya COVID-19Kwani si wamechanjwa au?
Hero gani anakufa kabla hajawamaliza mabeberu?Tusitishane! RIE&P our great African hero 💔 Hon Dr JPM 🙏😭!
Huku ni wimbi la tatu sio piliKwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Hivi ni ww au kuna mtu anatumia akaunti yako😀!? Ww leo wa kumgeuka Magufuli duh, ukistaajabu ya Mussa...🤔! Please JPM usijali ya hawa viumbeHero gani anakufa kabla hajawamaliza mabeberu?
Sawa mwerevu...Ila nataka nikuhakikishie kufa kupo..Kama uspokufa kwa Corona ..utakufa kwa malaria..ama ugonjwa wowote ule..kikubwa ishinde hofu ya kifo kwa kuomba Mwenyezi Mungu ..zingatia kuimarisha Kinga ya mwili wako..jiepushe na maambukizi kwa kuchukua hatua mwenyewe...huu ugonjwa ni kama magonjwa mengine tu..Ila unakuzwa Sana Ili kuzalisha hofu ambayo inawazubaisha watu na kuwwkatisha tamaa watu ya kuchukua hatua za kujikinga na kuimarisha afya zao....Wewe ni mjinga na mpumbavu kama yule mama Gwajima aliyekuwa anakula mananasi yaliyooza na mbivu zilizovunda anarekodi video anatuambia ndo mbinu ya kupambana na corona.
Hiyo kunywa malimao ndo ilimuua dikteta pombe, alikunywa malimao mpaka utumbo ukaoza covid ikamuondoa.
Watu wafuate taratibu za kitabibu kujikinga na corona na siyo kula malimao au mananasi yaliyooza
HakikaLeo tunamuuguza ndugu yetu ambaye amedhibitika kuwa na covid-19. Naye alipata hospitalini alipokuwa anauguza mgonjwa aliyelazwa wodini. Je tuseme nini? Tujifunze kusema kweli ili kweli ituweke huru!
Nina ndugu kagera kuna shida inaendelea ..tuchukue tahadhari ..Taratibu ndugu, hata hivyo Waganda ni asilimia ndogo sana waliochanjwa hadi sasa na chanjo huwa haizuii mtu kuambukiza mwingine asie na korona ,na nyie mlioko mpakani sijui wale wa Kagera, kaeni chonjo! Kila mtu apambane na hali yake!
Ivi hili tatzo linaisha lini. Mbna linatuandama sana. Dah!Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Sisi Jemedari wetu alitufanya tukapata immunity ya kutosha . Endelea kuchukua tahadhari. Hao wanaovaa barakoa miaka miwili sasa si ndio hao waganda haya wameipataje corona. Haya Jemedari Magufuli hatunae mbona hamvai barakoa sasa?Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Ndio mjiulize mnaoingangania na sasa mashirika ya ndee yanaanza kuwakataa waliochanja kuepuka kuganda kwa damu huko hewani. Mtamkumbuka Jemedari genious wetu. Mtajijua sasa.Sasa kazi ya chanjo ni nini ikiwa haizuii maambukizi?