Sasa kazi ya chanjo ni nini ikiwa haizuii maambukizi?
Hujasikia 2% peke yake ndiyo wamechanjwa. Chanjo yenyewe hazitoshi. Mahitaji ni makubwa kuliko uwezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kazi ya chanjo ni nini ikiwa haizuii maambukizi?
Acha mbwembwe, kwenu wangapi wameanguka na Corona? Na una death certificates zinaonesha chanzo ni Korona, au unaimba tu wimbo wa wakati huu?Ukweli ni kwamba Corona ipo tena sanaa isipo kua kifo cha mwendazake kimefunika habari za korona watu wamekua acited na kifo pamaja na ujio wa Mama. Vyombo vya Habari vya Tz haviko vigorous, kama investigative journalism hatuna kabisa, ukweli ni kwamba watu wanaugua Corona na wengine wanakufa kimyakimya wahanga husema kofo chamasikini hakivumi. Tunasubilia kifo cha kigogo wa CCm ndo tujue Corona inaua. Mipaka yetu ya Uganda na Tz iko wazi kiasi kwamba muingiliano wa raia uko juu sana wa Tz wengi wanafanya kazi uganda ila wanalala Tz, kama korona ipo ug moja kwa moja na Tz ipo ila nani aitangaze?
Hatupimi corona ila tukianza kupima hivyo vifo vya kawaida vinavyotoke sasa vingi vitahesabiwa ni vya corona, na hapo itaanza taharuki.Acha mbwembwe, kwenu wangapi wameanguka na Corona? Na una death certificates zinaonesha chanzo ni Korona, au unaimba tu wimbo wa wakati huu?
Hivi mnadhani mnaishi duniani peke yenu wengine tunaishi mbinguni? Acheni mambo zenu nyie. Tunaishi mitaan kama nyinyi na tuna akili timamu!
Mkuu bahadhi ya nchi za ulaya wameanza kulegeza masharti ikiwemo kuluhusu mashabiki kuingia uwanjani. CNN BBC awajawai kuwa na habari nzuri kuhusu africaKwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini afungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Nimeona Museveni ametangaza kufunga shule na vyuo, sisi hapa kwetu tuliunda kamati ambayo mapendekezo yake bado tunatafakari kama yafuatwe au yaachwe, tukija kuamka usingizini tayari Corona iko vyumbani mwetu tuanze kukimbizana kama kawaida yetu.
Barakoa zimeshasahaulika ukiongezea na yale mawazo ya wajinga Mungu anatupenda sisi zaidi ya wengine ndio kabisa hatuna habari.
Wanasema wamechanjwa watu wachache sana ndio maana bado corona inaendelea kusumbua, sasa ndio nashangaa serikali yetu katika vitu vyote wao wamekimbilia kutaka zije chanjo kana kwamba wamepata oda ya idadi kubwa ya wananchi kuwa teyari kutaka kuchanjwa.Sasa huko si wamechanjwa imekuwaje tena? Mambo ni mengi muda ni mchache!
Kwani si wamechanjwa au?Ndugu zangu nategemea mnafahamu lockdown iliyoanza UG.
Nimeongea na dada yangu Kyotera leo amesema strain ya Corona waliyonayo sasa ni mbaya kwa vile inasambaa haraka na haichagui umri. Watoto na vijana nao wameambukizwa sana na kufa pia. Mashule yamefungwa. Dalili ni mafua na homa kali, kukohoa na pneumonia. Yeye ameshapata chanjo yuko safe mpaka sasa.
Bahati mbaya dalili kama hizo zimesahaanza kusambaa sasa vijijini Bukoba. Mama mkwe barely survived recently yupo kijijini. Tumemweka lockdown sasa maana kijana wake anayemsaidi anaumwa sasa na dalili ni zile zile.
Leo nimeongea naye anasema ugonjwa umeshasambaa sana kijiji hapo Kangabusharo
Nimeandika haya mjue kuwa hali si shwari nyumbani na kwa vile mobility ya watu kutoka huko ni kubwa tunahitaji kuanza kuwa careful zaidi.
C&P
Kuwa na adabu unamwita rais juha?
Mataga we
Sasa wewe si ni msukule wa mama? Mwambie sasa awafungie ndaniMisukule ya dikteta inakuambia tumuenzi dikteta, Covid19 hakuna tz,
Tahadhali ni muhimu, Corona ya safari hii ni ya kutisha
Nao wako kama sisi wala hakuna tahadhari yoyote, Uganda eti kuanzia saa 4 usiku usitembee mtaani sasa hiyo ni tahadhari gani.Unajua tatizo ni kwamba hakuna tofauti kati ya sisi tusiochukua tahadhari dhidi ya corona na wengine wenye kuchukua tahadhari kwa maana ya kwamba nilitegemea kuona hali ya corona kwa Tanzania kuwa mbaya kutokana na tulivyojiachia tokea mwaka jana, tungeona athari kwa macho yetu kutokana na asili ya ugonjwa wenyewe ulivyo na sio kwamba hadi sasa bado tunabishana kuwa huu ugonjwa upo au haupo.
Tanzania pamoja na kuwa hatuchukui tahadhari ila et sisi ndio tunaogopa corona ya kutoka Afrika kusini, Uingereza mara India na sasa tunataka tujihadhari na Uganda, sasa najiuliza kwanini Tanzania ndio isiwe ya kuogopwa ila matokeo yake sisi ndio tunaogopa kuletewa corona kutoka mataifa mengine ambayo huko wenzetu wanachukua tahadhari?
Mimi sio MATAGA, mimi ndio huwa nawatahiri MATAGA bila ganzi humu. Hebu watafute wakuambie....Kuwa na adabu unamwita rais juha?
Mataga we
Sasa mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe?Mimi sio MATAGA, mimi ndio huwa nawatahiri MATAGA bila ganzi humu. Hebu watafute wakuambie....
Kazi inaendelea....Pia watafute MATAGA wenzio BIA YETU na KAWE ALUMN waje wamalizie dozi wasikimbie...
Hata mwenge wastopKwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda.
Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana.
Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya watu mipirani, kwenye misiba, harusi, mikusanyiko ya watu kwenye mihadhara ya kidini kama ya makanisa, misikiti n.k ipigwe marufuku.
Ilinibidi nizime TV kwa huzuni ya majirani zetu Waganda. Hiyo imewapata yaani wanaiita second wave na tayari WHO washatangaza leo kuwa wimbi la pili la corona litazikumba nchi za kusini mwa jangwa la sahara yaani Sub saharan countries ambapo Tanzania imo.
Tuache mzaha jamani. Asiyeamini aHfungue saa hizi CNN ataona Live.
Wizara lazima ikubali kuchukua hatua za dharura. Its now or Never.
View attachment 1814909
Usinichonganishe na mama yangu. Unadhani tupo enzi za Mwendakuzimu???Sasa mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe?
Yani unamuita kipenzi chako mama samia kwamba ni juha
Wewe ni kidagaa tu hapa nchini ndio maana hujui hata nini kinaendelea.Usinichonganishe na mama yangu. Unadhani tupo enzi za Mwendakuzimu???
Nenda Kisongo kamuone Sabaya, anapakatwa na nyapara sasa hivi.
Kisha nenda Chato kuhiji kwenye kburi la mwizi wa Afrika.
kkkkkkkk kweli kabisa kwenye ukoo wetu hakuna ALIYEOLEWA JELA.Wewe ni kidagaa tu hapa nchini ndio maana hujui hata nini kinaendelea.
Pamoja na Sabaya kuwa rumande lakini maisha yake hakuna mtu kwneye ukoo wenu atakuja kuyafikia.
Endelea kula ugali hapo kwa shemeji yako alipoolewa dadakokkkkkkkk kweli kabisa kwenye ukoo wetu hakuna ALIYEOLEWA JELA.