Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Wewe ni mjinga na mpumbavu kama yule mama Gwajima aliyekuwa anakula mananasi yaliyooza na mbivu zilizovunda anarekodi video anatuambia ndo mbinu ya kupambana na corona.Hofu..mbaya Sana aisee..kunywa malimao ,,jikinge na chukua tahadhari mwenyewe..hao WHO wenyewe sa hivi wanajiandaa kuja na tamko la kuwataka watu wajifunze kuishi na COvid ..so achane kujipa hofu Kama kufa tutakufa tu..
Hiyo kunywa malimao ndo ilimuua dikteta pombe, alikunywa malimao mpaka utumbo ukaoza covid ikamuondoa.
Watu wafuate taratibu za kitabibu kujikinga na corona na siyo kula malimao au mananasi yaliyooza