Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wamefundishwa roho mbaya na serikali ya ccm na chama chao cha ccm. Walaumu hao hao ccm walioasisi uonevu kwa raiaWafanyakazi kama hawa ni wakutimua, Nchi ina vijana wengi ambao hawana ajira
Yaani mtu anakosa ubinadamu kabisaWamefundishwa roho mbaya na serikali ya ccm na chama chao cha ccm. Walaumu hao hao ccm walioasisi uonevu kwa raia
Kwani ccm wana ubinadamu mkuu? Nao wanayofanya ni kama huyo dr tuYaani mtu anakosa ubinadamu kabisa
Na hakuna mwanadamu wa kawaida anayeweza kungangania maiti kama sio mchawi.Ndivyo walivyo...kwan kumnyima mtu maiti si kitu hiki hiki...vyote kutanguliza pesa na sio utu
video ipo kweny page ya michuzi na wizara ya afya