Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

Nchi zilizoendelea huwezi kuta mambo kama haya.

Shida Africa tunafanya kazi sababu ya maslahi na si wito. Kazi kama za afya na ualimu huhitaji passion vinginevyo ndo haya tunayoyaona.

Huwa nasikitika sana.
 
Muache mihemko

Msikilize na madai ya muhusika


Asipolipa mgonjwa muhudumu atalipia yeye
Mbona majeneza mnanunua? Yani mtu akuhudumie halafu ghalama azilipe yeye?
Tuma akili kidogo. Mpaka anamtibu majeraha gharama zimeshatumika. Sasa kufumua jeraha hakurudishi gharama
 
Uko toooo negative kwa kila jambo.
Kaa utulie
 
Muache mihemko

Msikilize na madai ya muhusika


Asipolipa mgonjwa muhudumu atalipia yeye
Mbona majeneza mnanunua? Yani mtu akuhudumie halafu ghalama azilipe yeye?
Madai yake hayana mashiko hata kidogo huyo mpuuzi,nikuulize baada ya kumfumua hio hela amepewa?kuna njia nyingi angetafuta na sio kuweka rehani maisha ya mgonjwa huo ni uuaji
 
Mhhh hata hivyo sdhan kama kuna madawa huko hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…