Ujinga mtupu! Kama hupendi mpeleke mwanao GovtTunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani Yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja tu ya mwanzo kisha kuendelea na masomo wkt wanafunzi wa madarasa mengine wakiwa likizo. Isitoshe pia,shule nyingi za binafsi,kwa siku ambazo shule hazijafungwa,zimepanga rtb tofauti kwa darasa la 4 na 7 kuwahi shuleni saa12 asbh na kutoka saa12 jioni. Ndio! Tunahitaji watoto wafaulu mitihani lakini sio kwa dose hii kubwa kiasi hiki kwa watoto ambao wengi ni miaka 11,12 na 13. Na sio kweli kwamba kuwa overload kusoma wanafunzi hawa ndio kufaulu kwao mitihani. Kuna shule nyingine ambazo kwa kukiuka agizo la serikali zimeamua kuwafundishia wanafunzi kwenye hostel zao wanapolala. Hii sio sawa. Tunaomba wanafunzi hawa wapate muda wa kupumzisha akili zao. Hivyo serikali fuatilieni shule hizo.
Tatizo la kukiuka taratibu na miongozo ni kubwa sana nchini. Tatizo hili uchangiwa na viongozi ambao ni wapenda sifa na wasio waadilifu katika kusimamia elimu. Kiutaratibu mtoto anapaswa kusoma siku 194 kwa mwaka na siku zilizobaki ni za kupumzika.Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani Yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja tu ya mwanzo kisha kuendelea na masomo wkt wanafunzi wa madarasa mengine wakiwa likizo. Isitoshe pia,shule nyingi za binafsi,kwa siku ambazo shule hazijafungwa,zimepanga rtb tofauti kwa darasa la 4 na 7 kuwahi shuleni saa12 asbh na kutoka saa12 jioni. Ndio! Tunahitaji watoto wafaulu mitihani lakini sio kwa dose hii kubwa kiasi hiki kwa watoto ambao wengi ni miaka 11,12 na 13. Na sio kweli kwamba kuwa overload kusoma wanafunzi hawa ndio kufaulu kwao mitihani. Kuna shule nyingine ambazo kwa kukiuka agizo la serikali zimeamua kuwafundishia wanafunzi kwenye hostel zao wanapolala. Hii sio sawa. Tunaomba wanafunzi hawa wapate muda wa kupumzisha akili zao. Hivyo serikali fuatilieni shule hizo.
Wanatengeneza PesaTunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja tu ya mwanzo kisha kuendelea na masomo wkt wanafunzi wa madarasa mengine wakiwa likizo.
Isitoshe pia, shule nyingi za binafsi kwa siku ambazo shule hazijafungwa, zimepanga ratiba tofauti kwa darasa la 4 na 7 kuwahi shuleni saa 12 asubuhi na kutoka saa12 jioni. Ndio! Tunahitaji watoto wafaulu mitihani lakini sio kwa dose hii kubwa kiasi hiki kwa watoto ambao wengi ni miaka 11, 12 na 13.
Na sio kweli kwamba kuwa overload kusoma wanafunzi hawa ndio kufaulu kwao mitihani. Kuna shule nyingine ambazo kwa kukiuka agizo la serikali zimeamua kuwafundishia wanafunzi kwenye hostel zao wanapolala.
Hii sio sawa. Tunaomba wanafunzi hawa wapate muda wa kupumzisha akili zao. Hivyo serikali fuatilieni shule hizo.
Na bado ufaulu ni ule ule na wkt mwingine ufaulu unapungua.Mbona hata shule za serikali darasa la 4 na 7 hawajafunga? Naona wanawachosha wanafunzi Tz tuna safari ndefu sanaaa
Mwanzo nilifahamu jukwaa hili ni huru, lakini cha kushangaza uhuru haupo maana vitendo vya kufutiana maoni vimekithili sana. Hofu yangu ni kuwa wahusika wapo kimya anayefuta maoni ya watu kama sisi ni nani na anaajenda gani?Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na 7 kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Ila ni muhimu wanafunzi hao kupata muda wa kupumzisha akili zao wkt wa likizo zao. Ila zipo shule binafsi zimejiwekea utaratibu kwa kuwapa rtb za mfululizo za watoto hawa,za kuhudhuria shuleni. Kuna ambazo wanafunzi wao wanafika shuleni na kuanza masomo ya ziada saa12 asbh na baada ya wanafunzi wa madarasa mengine kutoka shule saa9,wao huendelea Tena na masomo hadi saa12 jioni. Hata shule zilipofungwa wao walipumzika kwa wiki1 tu Kisha wakarejea shule. Na hata baada ya serikali kuwataka wawaache utaratibu huo,shule hizo zimeamua kuwafundishia kwenye hostel zao kukwepa kufuatilia shuleni. Tunaitaka serikali kupitia wizara husika ikomeshe mara moja hii hali na ichukue hatua kwa wanaokiuka maagizo ya serikali. Kwani kusoma sana kwa watoto bila kupumzisha akili zao ni hatari pia kwa afya ya akili. Kwani ni kuwa overdose wanafunzi.
Kwa kweli Wizara ya Elimu ijikite kusimamia utoaji wa elimu na isikubali huu mkenge wa kukarisha watoto wadogo wa miaka kumi hadi kumi na mbili.Hivi inakuaje wameruhusu watato wasome kuanzia saa kumi na mbili asubui hadi saa tatu na nusu usiku?Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na 7 kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Ila ni muhimu wanafunzi hao kupata muda wa kupumzisha akili zao wkt wa likizo zao. Ila zipo shule binafsi zimejiwekea utaratibu kwa kuwapa rtb za mfululizo za watoto hawa,za kuhudhuria shuleni. Kuna ambazo wanafunzi wao wanafika shuleni na kuanza masomo ya ziada saa12 asbh na baada ya wanafunzi wa madarasa mengine kutoka shule saa9,wao huendelea Tena na masomo hadi saa12 jioni. Hata shule zilipofungwa wao walipumzika kwa wiki1 tu Kisha wakarejea shule. Na hata baada ya serikali kuwataka wawaache utaratibu huo,shule hizo zimeamua kuwafundishia kwenye hostel zao kukwepa kufuatilia shuleni. Tunaitaka serikali kupitia wizara husika ikomeshe mara moja hii hali na ichukue hatua kwa wanaokiuka maagizo ya serikali. Kwani kusoma sana kwa watoto bila kupumzisha akili zao ni hatari pia kwa afya ya akili. Kwani ni kuwa overdose wanafunzi.