Lete hiyo sera humuNi kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Wataendelea wapi kwa wewe unavyofahamu?
tunataka waendelee katika formal system ya primary, secondary etc, siyo VETA na upuuzi mwingine
Kweli hilo neno "Tanzania has a system in place"Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"
View attachment 1381789
Hivi umeelewa kilichoandikwa?Ajabu ni kuwa wale wale waliokuwa wanashangilia na kuipongeza serikali wakati kauli za kutosomesha wazazi zikitolewa ndio hao hao watakuja kushangilia na kupongeza serikali kwa kuruhuusu wazazi kuendelea na elimu
Unazungumzia Sera ipi ya elimu; maana kuna Sera ya Elimu na Mafunzo ya 1995 na 2014 lakini katika sera zote hizo hakuna sehemu inasema kuwa mtoto anaweza kurudi shule baada ya kujifungua achilia mbali kuwa anaweza kurudi shule yake ya awali.Ni kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Umeelewa kilichoandikwa au LUGHA ni ttz?HahahahahahahBado la tume huru ya uchaguzi, wazungu shikilieni hapo mpaka wazee wa siasa chafu wanyooke. Inatakiwa wapinzani wasusie uchaguzi mpaka ipatikane tume huru ya uchaguzi ipatikane. Na isipopatikana tuwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Najua Lugha ni Ttz.Acha ujuaji, hiyo ni taarifa tu. Ukitaka hizo 'shall' nenda kasome sera ya elimu.
Wanaongea vitu wasivyovijua.Hata huo waraka hakuna kilichobadilika ila kwakua Tanzania Lugha ya Malkia ni shida ndio maana wanaongea vitu vya ajabu ajabu.Unazungumzia Sera ipi ya elimu; maana kuna Sera ya Elimu na Mafunzo ya 1995 na 2014 lakini katika sera zote hizo hakuna sehemu inasema kuwa mtoto anaweza kurudi shule baada ya kujifungua achilia mbali kuwa anaweza kurudi shule yake ya awali.
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEELEWA lkn?Kuonyesha kuwa wameandika kwa ajili ya wazungu, na lugha imetumiwa ya ki english
Hakuna sheriaUMEELEWA lkn?
Senti bai yuzingi tecno T301
Wengi hawakuelewa wanatririka tu kwa kumfuata aliyewatafsiria.Kiingereza kinalitesa sana taifa hili. Mtu hajaelewa maana halisi anaanza kumshangilia Zito na kuiponda serikali. Technically hakuna chochote kilichobadirika, hayo aliyoandika katibu ndo sela iliyopo inasema hivo. Watanzania wengi wajinga ndo wanajiona wanajua zaidi. Tunaliangamiza taifa
Umeelewa huu waraka?Hakuna sheria
Hahahahahahah nimecheka sana.Yaani Watanzania wavivu sana kujisomea na shida nyingine LUGHA YA MALKIA ni Ttz. Huyo aliyetafsiri sijui kama anajua kiingilish hahahahahahah
Sana yani
Umeelewa kilichoandikwa au LUGHA ni ttz?Hahahahahahah View attachment 1382003
Senti bai yuzingi tecno T301