Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Bado la tume huru ya uchaguzi, wazungu shikilieni hapo mpaka wazee wa siasa chafu wanyooke. Inatakiwa wapinzani wasusie uchaguzi mpaka ipatikane tume huru ya uchaguzi ipatikane. Na isipopatikana tuwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Tume huru na ikiwezekana mgombea binafsi ndio ushindi mkubwa kwa wapenda demokrasia na mabadiliko ya kweli.
 
Angalia vizuri, wamebadilisha tangazo, lile la awali lilikua na implication kuwa watoto wangepewa nafasi ya kuendelea na masomo, BTW hata wanaochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza ni 'opportunity', huwezi kuifunga serikali ikikunyima nafasi hiyo. Hakunaga 'shall' kwenye mambo haya.
 
Hata hiyo ya awali mbona iko clear na Hakuna kilichobadilika?Mkuu hujui kiingilish?

Senti bai yuzingi tecno T301
Kiazi kweli wewe, katibu mkuu analazimika kutoa barua ya pili na kuifuta ile ya awali wewe unasema ziko sawa, watanzania mnashida vichwani.
 
Haku nawaambia habari hii kama ni kweli wanafunzi huko mtaani wanagongwa saizi...
ni sawa na kuruhusu mapenzi..... Tena ngono zembeee
 
Haku nawaambia habari hii kama ni kweli wanafunzi huko mtaani wanagongwa saizi...
ni sawa na kuruhusu mapenzi..... Tena ngono zembeee
Wizara wamebadili gia angani, msimamo uko palepale.
 
mbona liko wazi sana ndg!
 
Kuna jamaa alinunua gari harafu akaliandika nyuma.. TATIZO SHULE nahao waliotoa puvu wte kuwa serikari imesalim amri TATIZO CYO WAO ILA NI SHULE ndo maana niliwaambia mapema ilichopo hapo ni opportunity sio shall. Nikajibiwa nisome waraka.
duh! Kunawatu wanateseka na maendereo ya nchi hii kupitia kamanda mkuu Baba lao JPM
kunawatu wanatesekaaaaa!!! Nawaona nawaona!! Nabado kuna kongore la trump linakuja very soon.
 
Em PunguzA miheMko basi.. Soma tena. Hakuna tofauti yeyote.
 
Ahsante USA...

SERIKALI IMELAINISHA LUGHA...
 
Unajifanya mjuaji kwenye vitu usivyo vijua, serikali haiwezi kuweka 'shall' hapo hata siku moja, labda kama wewe ni mgeni na nyaraka za serikali. Serikali haiwezi kujifunga mikono kijinga kiasi hicho.
Kwa taarifa yako hata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza ni 'oportunity'.
 
Mbona hili zoezi la kuwapima mimba watoto wa kike ni maarufu sana mashule ya bweni? Binafsi kwa miaka M4 ya O'level girls only sec nimepimwa mimba mara 8.

Sitaki kulikumbuka hili zoezi, yaani wanapimwa mimba hata ambao hawakua wamevunja ungo!

Haya mambo yalikuwepo, mama wamesitisha ni vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…