Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Shetani alimuingilia siku ya Sabato. Hata Netanyahu ameingiliwa na Shetani na amemuua Kiongozi wa Hizbhollal leo siku ya Sabato.Kuna demu mmoja wa kijita nilisoma nae alikuwa msabato jmos ukipanga test jmos ugomvi anakuwa mkali kuwa ni sabato. Akaja kukamatwa anabinuliwa na warden siku ya sabato๐
Kwani unasali kwa kutumia maandiko au kwa mwongozo wa kanisa?Sala za bikira hazina msingi wowote wa maandiko, na hakuna sehemu tumeambiwa tuombe kwa kupitia bikira, bali paulo anatuambia mediator ni mmoja tuu kati yetu na mungu, naye ni yesu kristu.
Hivi unajuwa maana ya Gregorian Calendar au Julian Calendar? Ungejuwa kuwa hizo siku za Jumamosi zilipangwa na hawa ma emperor wa Roman Empire.Kwa taarifa yako, sala ya Jmosi imedumu kwa mrefu kuliko sala ya Jpili, sala ya JPili imeanza miaka ya around 300AD, but previously sala ilikuwa ni Jmosi
Ushirika na sabato - unavuliwa na mtu.Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.
Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.
Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.
Na hao watataabika Sanaa.
Biblia imesema samehe 7 X 70, mbona kama wasabato ni watu wa kuabudu wasiwasamehe hao wezi? Au biblia ya Sabato iko tofauti??Umepata pa kusemea ? Ulikosa la kuwakosoa ? Kwa hasira hizi juu yao,, inatupa ushuhuda kuwa kumbe ni wakweli na ulikosa dosari mpaka ulipovizia walioiba. Je wasingeiba ungekosoa nini ? Mbona nasikia wasabato ni wakali kukemea dhambi mpaka wanawafuta washiriki wao wanapokosea .? Dini zote hukemea uovu, labda Imani yako imekemewa sana na hao wasabato.
Chuki hazina maana wakatoliki wanafundishwa upendo bila kujali mwingine anakuchukuliaje.Wasabato wote wez tu ndo maana Vatican ilimfukuza mama yenu na baasha wake nabii wa kutabir mwisho wa dunia wa mchongo ..........
...........Watoto wa Catholic Church..........
Huyu hapa mmoja wapo alifikishwa mahakamani:Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.
Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.
Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.
Na hao watataabika Sanaa.
Naomba uniambie ni maoni ya Ellen G White ambayo hayana msingi wowote kweny biblia na naomba pia unioneshe wapi tumeambiwa Bikra Maria ni mediator kati yetu na Mungu?Bikra Maria na maoni ya Ellen's GWht yapi ya kusadikii
Wasabato hawamdharau Maria, hio umetunga tuu mzee, tunajua mchango wake katika kutimiza unabii wa kuzaliwa kwa yesu lakini umuhimu wake na heshima yake inaishia hapo. Hayo mambo mengine ni extra ambayo mmeyaongeza wenyewe.Aliyemtunza mtoto yesu mnazarau hana mchango wowote Daaah so sad
Broo lazima utumie maandiko, why?Kwani unasali kwa kutumia maandiko au kwa mwongozo wa kanisa?
Hii point ilishakuwa debunked mara nyingi tuu labda wewe sio mfuatiliaji, hata mimi nilishawahi kuwaelekeza watu flani humu ndani na wakanielewa vizur tuu.Hivi unajuwa maana ya Gregorian Calendar au Julian Calendar? Ungejuwa kuwa hizo siku za Jumamosi zilipangwa na hawa ma emperor wa Roman Empire.
Kabla ya karne ya 1 ya Calendar za kisasa unadhani Sabato yao ilikuwa sawa na hii ya leo?
Sabato ni siku yeyote ambayo dunia imeamua ni ya mapumziko.
Wewe msengenyaji nawe una imani?Sijasoma nimeishia hapo ndugu zake Yesu, Musa n.k nikaona ni uzi wa mtu aliyekata tamaa na asiyejitambua. Hiyo ni lugha ya watu walioshindwa.
Please, muda bado upo una nafasi ya kupambana na kusonga mbele kiimani.
Mbona wengi tu hata mahubiri yenu mnajitapaNao ni binadamu. Sidhani kama umewahi kukutana na msabato anajitapa yeye hatendi dhambi.
Umejua kusoma jana? Endelea kufuatilia habari za kanisa katoliki utapata majibu.Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani
Hii Kali mkuuKuna demu mmoja wa kijita nilisoma nae alikuwa msabato jmos ukipanga test jmos ugomvi anakuwa mkali kuwa ni sabato. Akaja kukamatwa anabinuliwa na warden siku ya sabato๐
Yaanii hapo wasabato hujiona ndio watakatifu zaidi madhehebu yoote....wako kwa Yeah kabisa wanadharau wengine......lakini unaingia ndani makanisa yao ni ufuska mtupu nenda magomeni ni ufuska mtupu kina Mjinja wanazaa tu wadada paleKwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
View attachment 3109363
Hudhuria makambia huko upareni, ukuryani etcNao ni binadamu. Sidhani kama umewahi kukutana na msabato anajitapa yeye hatendi dhambi.
Nini wewe dogo?Wewe msengenyaji nawe una imani?