Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Nadhani mtoa mada ana Chuki binafsi, hajui kumanua kua hata huyo msabato ni binadam, hakumbuki hata yule padre ambaye yupo kizimbani mpaka sasa kwa kosa la mauaji ya Albino, masheghe wapo bdani kw ulawiti, walokole wengine mamo ovyo ni utapeli
 
Kati ya RC na nyinyi ni nani wanafuata Biblia? Ni maandiko gani ambayo RC hawafuati?

Nyinyi mapimbi waajabu sana, Biblia yenyewe imeandikwa na Wakatoliki, halafu nyie mnajifanya kuijua kuliko wao. Upuuzi mtupu
 
Ila wasabato ni wanafiki hawa shetani akasome mara Yesu akusulubiwa msalabani Sasa sijui wao Wana opinion ya wapi aliposulubiwa?
 
Nadhani mtoa mada ana Chuki binafsi, hajui kumanua kua hata huyo msabato ni binadam, hakumbuki hata yule padre ambaye yupo kizimbani mpaka sasa kwa kosa la mauaji ya Albino, masheghe wapo bdani kw ulawiti, walokole wengine mamo ovyo ni utapeli
Tatizo nyinyi mnajiona ni Wakristo sana kuliko wengine, kumbe hamna lolote zaidi ya unafiki, uasherati, wizi na ufirauni wote wa dunia
 
Sijasoma nimeishia hapo ndugu zake Yesu, Musa n.k nikaona ni uzi wa mtu aliyekata tamaa na asiyejitambua. Hiyo ni lugha ya watu walioshindwa.

Please, muda bado upo una nafasi ya kupambana na kusonga mbele kiimani.
Umemaliza kusoma kila kitu ndiyo ukapata na nguvu ya kujibu. Ila jiwe limekupata, wanafiki wakubwa nyinyi
 
Tatizo nyinyi mnajiona ni Wakristo sana kuliko wengine, kumbe hamna lolote zaidi ya unafiki, uasherati, wizi na ufirauni wote wa dunia
Inaonekana una makasiriko sana we mrumi. Vipi Padri kukupiddy nini?
 
Kwa taarifa yako, sala ya Jmosi imedumu kwa mrefu kuliko sala ya Jpili, sala ya JPili imeanza miaka ya around 300AD, but previously sala ilikuwa ni Jmosi
300 AD na sasa miaka 1720, ni ilpi imedumu zaidi? Au SDA hamsomi hesabu?
 
Wengi wamefikishwa nenda ka GOOGLE tu au tafuta humu JamiiForums utakuta nyuzi za mapadre walifikishwa Mahakamani
 
Nionyeshe mstari wa Biblia unosema Yuda alikuwa Mhasibu wa Yesu na aliiba.

Isijekuwa mnatumia Biblia ya kwenu na siyo Biblia Takatifu tunayotumia Wakristu wote.
 
Mkuu zipo dhambi za kusamehewa ila sio hii ya WIZI WA FEDHA ZA SADAKA, maana wana sema sandakan ni ya Mungu. Zambi kama kusema uongo, tendo la ndoa kwa mtu asie na ndoa, n.k. hizi zinaweza kusameheka.
Kama sadaka ni ya Mungu kwanini nyie mhangaike kumshataki mwizi?. Si mungemuachia Mungu mwenyewe a DEAL naye!! Dini yenu ya KINAFIKI sana
 
Kusali Jumamosi mkuu hakuhusiani na Imani ya mtu mmoja,mmoja hata huko walikomuua Yesu, walikuwa ni washika dini, Mafarisayo,Waandishi,Masadukayo,pigania Imani Yako wewe mwenyewe.
Ninajuwa Judaism au Jewish religion wanasali Jumamosi na ndiyo walimuua Yesu. Na hao siyo Wakristu!!

Wakristu wa ukweli wanasali JUMAPILI
 
Mleta mada anamaanisha km umewahi kuishi na awa jamaa baadhi yao hua wanajiona wako perfect. Kuna kipindi nilisoma boarding school miaka miwili, aisee walikua wakijiona kama malaika🤣🤣
Kuna mdogo wangu alipotezwa na mapepo ya Wasabato. Kahamia huko, ana degree na nafasi ya kazi ikatangazwa na interview ilikuwa Jumamosi, alivyo MPUMBAVU alikataa kwenda kufanya interview. Mpaka leo anaunga unga maisha kutegemea mkewe ambaya ni KKKT
 
Nani alisema wao hawana dhambi, acha roho mbaya...wakristo sijui tumekuwaje, kunyoosheana vidole kila siku.
Matendo yao tu utawaona hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…