Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Nadhani mtoa mada ana Chuki binafsi, hajui kumanua kua hata huyo msabato ni binadam, hakumbuki hata yule padre ambaye yupo kizimbani mpaka sasa kwa kosa la mauaji ya Albino, masheghe wapo bdani kw ulawiti, walokole wengine mamo ovyo ni utapeli
 
Broo lazima utumie maandiko, why?
Because the church is the product of scriptures, but the scriptures aren't the product of the church.

So we must shape our prayers and religious schedules depending on the scriptures.

Kiufupi ni kwamba, maandiko ndo yamezaa kanisa, so sala na utaratibu wote ndani ya kanisa yanakuwa shaped na maandika na si vinginevyo.
Kati ya RC na nyinyi ni nani wanafuata Biblia? Ni maandiko gani ambayo RC hawafuati?

Nyinyi mapimbi waajabu sana, Biblia yenyewe imeandikwa na Wakatoliki, halafu nyie mnajifanya kuijua kuliko wao. Upuuzi mtupu
 
Ila wasabato ni wanafiki hawa shetani akasome mara Yesu akusulubiwa msalabani Sasa sijui wao Wana opinion ya wapi aliposulubiwa?
 
Nadhani mtoa mada ana Chuki binafsi, hajui kumanua kua hata huyo msabato ni binadam, hakumbuki hata yule padre ambaye yupo kizimbani mpaka sasa kwa kosa la mauaji ya Albino, masheghe wapo bdani kw ulawiti, walokole wengine mamo ovyo ni utapeli
Tatizo nyinyi mnajiona ni Wakristo sana kuliko wengine, kumbe hamna lolote zaidi ya unafiki, uasherati, wizi na ufirauni wote wa dunia
 
Sijasoma nimeishia hapo ndugu zake Yesu, Musa n.k nikaona ni uzi wa mtu aliyekata tamaa na asiyejitambua. Hiyo ni lugha ya watu walioshindwa.

Please, muda bado upo una nafasi ya kupambana na kusonga mbele kiimani.
Umemaliza kusoma kila kitu ndiyo ukapata na nguvu ya kujibu. Ila jiwe limekupata, wanafiki wakubwa nyinyi
 
Tatizo nyinyi mnajiona ni Wakristo sana kuliko wengine, kumbe hamna lolote zaidi ya unafiki, uasherati, wizi na ufirauni wote wa dunia
Inaonekana una makasiriko sana we mrumi. Vipi Padri kukupiddy nini?
 
Kwa taarifa yako, sala ya Jmosi imedumu kwa mrefu kuliko sala ya Jpili, sala ya JPili imeanza miaka ya around 300AD, but previously sala ilikuwa ni Jmosi
300 AD na sasa miaka 1720, ni ilpi imedumu zaidi? Au SDA hamsomi hesabu?
 
Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.


Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.

Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.

Na hao watataabika Sanaa.
Wengi wamefikishwa nenda ka GOOGLE tu au tafuta humu JamiiForums utakuta nyuzi za mapadre walifikishwa Mahakamani
 
Aliiba Yuda Muasibu wa Yesu, unashangaa huyo dogo Mapande kuiba?
Sabato SDA duniani wanaamini katika financial transparency, wizi na ufujaji huanza kwa watu kutocomply na sera ya kanisa ya uwazi wa kifedha kwa sababu afrika na kama TZ kumefundishwa kuhojihoji ni kukosa heshima. Hii tabia inalitafuna taifa katika nyanja zote sio dini tu.
Nionyeshe mstari wa Biblia unosema Yuda alikuwa Mhasibu wa Yesu na aliiba.

Isijekuwa mnatumia Biblia ya kwenu na siyo Biblia Takatifu tunayotumia Wakristu wote.
 
Mkuu zipo dhambi za kusamehewa ila sio hii ya WIZI WA FEDHA ZA SADAKA, maana wana sema sandakan ni ya Mungu. Zambi kama kusema uongo, tendo la ndoa kwa mtu asie na ndoa, n.k. hizi zinaweza kusameheka.
Kama sadaka ni ya Mungu kwanini nyie mhangaike kumshataki mwizi?. Si mungemuachia Mungu mwenyewe a DEAL naye!! Dini yenu ya KINAFIKI sana
 
Kusali Jumamosi mkuu hakuhusiani na Imani ya mtu mmoja,mmoja hata huko walikomuua Yesu, walikuwa ni washika dini, Mafarisayo,Waandishi,Masadukayo,pigania Imani Yako wewe mwenyewe.
Ninajuwa Judaism au Jewish religion wanasali Jumamosi na ndiyo walimuua Yesu. Na hao siyo Wakristu!!

Wakristu wa ukweli wanasali JUMAPILI
 
Mleta mada anamaanisha km umewahi kuishi na awa jamaa baadhi yao hua wanajiona wako perfect. Kuna kipindi nilisoma boarding school miaka miwili, aisee walikua wakijiona kama malaika🤣🤣
Kuna mdogo wangu alipotezwa na mapepo ya Wasabato. Kahamia huko, ana degree na nafasi ya kazi ikatangazwa na interview ilikuwa Jumamosi, alivyo MPUMBAVU alikataa kwenda kufanya interview. Mpaka leo anaunga unga maisha kutegemea mkewe ambaya ni KKKT
 
Back
Top Bottom