Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

U
Sipendi hili thehebu ila sina chuki na wanaosali huko.

Umeandika kwa kuongozwa na chuki ndio mana ulichokiandika hakina resoning.
Hofu yangu utaishia kuchekwa na walimwengi wa humu
Na uhakika na ulichoandika?
 
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa

View attachment 3109363
Ndiyo maana huwa nasema wewe ni mmoja ya watu wapumbavu sana. Kuna dini isiyokuwa na watu waovu? Kna jamii isiyokuwa na watu waovu? Idiot!
 
Hii point ilishakuwa debunked mara nyingi tuu labda wewe sio mfuatiliaji, hata mimi nilishawahi kuwaelekeza watu flani humu ndani na wakanielewa vizur tuu.

Siku ya saba ya juma ni Jmosi, and this is a fact, wanahistoria wote wanakubaliana na hii point hata RC inajua kwamba siku ya saba ya juma ni Jmosi.

Mabadiliko yaliyofanyika kweny calendar are very well documented na hakuna kilichobadilika, Mungu kaziumba siku za wiki in a way that hata ufanyaje zitabaki kuwa vilevile, na hii ni moja kati ya sifa kuu za wiki ni kwamba huwez kucheza nayo kwa vyovyote, kutoka tarehe moja kwenda tarehe nyingine (kutokana na mabadiliko waliyofanya kweny calendar) hayabadilisha normal flow ya wiki, waliweza kubadilisha tarehe but the days are still the same, mfano wewe leo ubadilishe calendar useme leo ni tarehe 29 Sept kesho itakuwa tarehe 12 June, sawa utacheza na tarehe ila watu watahesabu normally kwamba leo ni J'pili kesho J'tatu, week days huwez cheza nazo kwasababu zimekuwa designed in a way that huwez kuzivuruga.
Siku ya Sabato ni ipi ndani ya Juma?
Jibu: Jumamosi! Ushahidi wa Biblia.
Ndani ya Biblia hakuna majina ya siku ya Jumatatu, Jumanne, n.k. isipokuwa kwa Biblia ya Kiswahili cha Kisasa. Ndani ya Biblia Mungu aliziita siku ya kwanza, pili, tatu, n.k (Mwanzo 1…).
Kibiblia Yesu alifufuka siku ya Kwanza ya Juma, yaani Jumapili. Fanya hesabu rahisi! Siku ya Saba itakuwa ni lini? Daima ni Jumamosi.
Majina haya yalitokea wapi?
Mf: Kiingereza
1. Sunday , siku ya jua, siku ya mungu mume wa Roma ya kale ya kipagani.
2. Monday, siku ya mwezi, mungu mke wa Roma ya kale ya kipagani.
3. Tuesday, siku ya mungu tuis wa Roma ya kale ya kipagani.
4. Wednesday, siku ya mungu wenes wa Roma ya kale ya kipagani.
5. Thursday, siku ya mungu thrus wa Roma ya kale ya kipagani.
6. Friday, siku ya mungu frigus wa Roma ya kale ya kipagani.
7. Saturday, siku ya mungu satun wa Roma ya kale ya kipagani.
Kiswahili:
Waswahili wao walifuata utaratibu wa waarabu katika kuita siku majina. Lengo la waarabu, ni kuifanya siku ya ijumaa kuwa siku ya saba(siku ya kusanyiko la ibaada). Lakini pamoja na jitihada zao hizo, walichemka mahali. Fuatilia uone!!
1. Jumamosi, siku ya kwanza ya juma
2. Jumapili, siku ya pili ya juma
3. Jumatatu, siku ya tatu ya juma
4. Jumanne, siku ya nne ya juma
5. Jumatano, siku ya tano ya juma
6. Alhamisi, (neno la kiarabu lenye maana ya –a tano=alhamsa) ya sita ya juma
7. Ijumaa, siku ya saba ya juma(sabato ya waarabu/waislamu)

Jiulize, utatokaje ya tano(Jumatano) uende ya tano(alhamisi) tena??

Msaada zaidi, angalia kamusi zozote za Kiingereza za zamani, zitakupatia maana halisi za majina ya siku. Mf. Collins English Dictionary, 1979 reprited on 1984.

Uthibitisho wa kibiblia unaonesha kuwa, siku ya Sabato ni Jumamosi kama leo inavyojulikana. Angalia!
Mathayo 28:1 Hata sabato ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.
Marko 16:2 Hata alfajiri mapema, siku ya kwanza ya juma, wakaenda kaburini, jua lilipoanza kuchomoza;
Marko 16:9 Naye alipofufuka alfajiri siku ya kwanza ya juma, alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambaye kwamba alimtoa pepo saba

Luka 24:1 Hata siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.
Yohana 20:1 Hata siku ya kwanza ya juma Mariamu Magdalene alikwenda kaburini alfajiri, kungali giza bado; akaliona lile jiwe limeondolewa kaburini.
Yohana 20:19 Ikawa jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu.
Yesu alifufuka siku ya jumapili ambayo Biblia inaiita kuwa ni siku ya kwanza ya juma. Kama Yesu alifufufuka siku ya kwanza ya juma(jumapili), Sabato itakuwa lini??
Jibu: Jumamosi
 
Kuna mdigo wangu alipotezwa na mapepo ya Wasabato. Kahamia huko, ana degree na nafasi ya kazi ikatangazwa na interview ilikuwa Jumamosi, alivyo MPUMBAVU alikataa kwenda kufanya interview. Mpaka leo anaunga unga maisha kutegemea mkewe ambaya ni KKKT
Mungu atamtendea mema,ipo siku huyo ni shuhuda mwaminifu!
 
Kati ya RC na nyinyi ni nani wanafuata Biblia? Ni maandiko gani ambayo RC hawafuati?
Nilikwambia unipe authoritative scriptures zilizokuruhusu umtumie Bikira Maria kama mediator ila haujaniletea, kwann? Kwasababu haipo, there are lots of things ambavyo RC inaamua kufanya kwa mamlaka yake yenyew bila kufata scriptures, nikisema niyaandike hapa utashangaa, na wanafanya and they get away with it kwa sababu wamewapumbaza kwa kutosoma maandiko, tuseme tuu ukweli WASHIRIKA WA RC HAMSOMI BIBLIA KABISA

Nyinyi mapimbi waajabu sana, Biblia yenyewe imeandikwa na Wakatoliki, halafu nyie mnajifanya kuijua kuliko wao. Upuuzi mtupu
This sentence here brother proves that you either don't know what you're talking about or you make assumptions to suite your needs, I can't argue with this level of ignorance.

Goodbye.
 
Wewe shoga umekosea kuingia mjadala huu. Pita kule
Hizi dini zenu zimewafanya mmekua wasenge wasenge, watu wa jamii moja mnabaguana na kutetana kutetea tamaduni za Bwana zenu waliowatumikisha na kuwahujumu bila huruma.
 
Nionyeshe Padre au askofu au papa ambaye Licha ya kutuhumiwa kujihusishanna matendo ya Ushoga, kubaka, na kulawiti watoto, wamewahi kufikishwa Mahakamani.


Kwa msioelewa Kanisa la Mungu la Sabato.

Siumeona hao majambazi walikua ndan ya Kanisa wamefikishwa mahakaman, maana yake tayari Kanisa limeshawavua ushirika.

Na hao watataabika Sanaa.
Hapo umeiweka vizuri.
 
Back
Top Bottom