Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

Nilikwambia unipe authoritative scriptures zilizokuruhusu umtumie Bikira Maria kama mediator ila haujaniletea, kwann? Kwasababu haipo, there are lots of things ambavyo RC inaamua kufanya kwa mamlaka yake yenyew bila kufata scriptures, nikisema niyaandike hapa utashangaa, na wanafanya and they get away with it kwa sababu wamewapumbaza kwa kutosoma maandiko, tuseme tuu ukweli WASHIRIKA WA RC HAMSOMI BIBLIA KABISA


This sentence here brother proves that you either don't know what you're talking about or you make assumptions to suite your needs, I can argue with this level of ignorance.

Goodbye.
Nimekuambia Biblia iliandikwa na Wakatoliki, halafu nyinyi mabwege manataka kui challenge kwa imani ya Hellen G White na frustrations zake!!
 
Hizi dini zenu zimewafanya mmekua wasenge wasenge, watu wa jamii moja mnabaguana na kutetana kutetea tamaduni za Bwana zenu waliowatumikisha na kuwahujumu bila huruma.
Kumbuka kuwa wewe ni kiongozi wa wasenge hao unaowataja
 
Jamani tutakane radhi kwa habari ya kila binadamu kuwa na dhambi.Tangu nitubu nilitakaswa na hivyo naishi katika utakatifu.Kwa kuwa wafuasi wa Khristos ni watenda dhambi kama Luka 5:32 inavyosema mimi si mkristo na hivyo sina dhambi.Vema hukumu
yako ikalenga wakristo tu
 
Kuna mdogo wangu alipotezwa na mapepo ya Wasabato. Kahamia huko, ana degree na nafasi ya kazi ikatangazwa na interview ilikuwa Jumamosi, alivyo MPUMBAVU alikataa kwenda kufanya interview. Mpaka leo anaunga unga maisha kutegemea mkewe ambaya ni KKKT
Mkuu jumamos kwao sijui itokee nini

Hawafanyi kitu
 
Sasa si Aliiba mtu kwani akiiba mmoja ndo wameiba wote? Dhambi ya mtu inajumuishwaje kanisa nzima? Kila mtu atabeba uovu wake mwenyewe.
 
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa

View attachment 3109363
Bila shaka wewe una vinasaba vya 666 na una ukaribu na Mnyama aliyetajwa kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana ndani ya Biblia. Hoja ipo mahakamani, wewe umeshaitolea hukumu. Na hata kama ikiwa kweli, ni nini kinakufurahisha hapo? Ikiwa kuna mwovu mmoja amefanya, ndo Kanisa lote? Yesu alikuwa na wanafunzi 12 na mmoja akamsaliti, mbona wengine hawakujumuishwa kwenye dhambi ya usaliti?
 
Sheria itumike wala sio shida. Kama ni kutengwa na adhabu nyingine ndani ya kanisa ni sawa kabisa, hawa ni wahalifu kama wengine tu. Tuhuma dhidi yao zikithibitika wapewe stahiki yao.

Watu wa namna hii

Yesu alipochagua Wanafunzi 12 mmoja alikuwa Msaliti (Yuda Iskariot)! Na alikuwa Mwekahazina wa Yesu na Mwizi.
Kwa hiyo si kitu cha ajabu SDA pamoja na kujitahidi kuzishika Sheria hawezi kukosa akina Yuda.
Na siyo SDA hata madhehebu mengine Majizi hayakosi.
Mwisho kosa la Wachache halihesabiwi kama ni Kosa la dhehebu lote.
Kwanini mmewahukumu na biblia imewambia msihukumu?

Mungu si amewaandikia msamehe ndio mtasamehewa? Mbona hamjawasamehe hawa?
 
Kuna huyu mchungaji anawahubiri wanafunzi Kila jumamosi Star TV anawaita wanaoabudu jumapuli mashetani live live bila uoga.
 
Kuna huyu mchungaji anawahubiri wanafunzi Kila jumamosi Star TV anawaita wanaoabudu jumapuli mashetani live live bila uoga.
Yule ndugu anaitwa Andrea Chikwanda, ni Mkatoliki aliyeasi. Alisoma Kaengesa Seminary hadi Form IV miaka ya 1970s. Sijui kapatwa na nini baada ya kustaafu akiwa Njombe
 
Mademu wa ki sabato n watamu sana wana ladha halisi ya K .

Naomba kuwasilisha ndugu wajumbe.
 
Back
Top Bottom