johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnaposema kuwa kipindi cha magufuli alikomesha ujambazi, je, wale tuliokuwa tunaonywesha kila siku kuwa wamefyekwa na polisi walikuwa wanamuziki?Waziri wa mambo ya ndani ni yule yule mh George Simbachawene.
IGP ni yule yule afande Simon Sirro
Sasa haya majambazi yanapenyea wapi jamani wakati mlishayadhibiti nasi tukayasahau?
Kwa sasa hata tunapokunywa mbege kwa manka Monica huwa tunakuwa na wasiwasi juu ya usalama wetu.
Majambazi tiini sheria bila shuruti Tafadhali!
Hizi ni hujuma zenu Sukuma gang,,Waziri wa mambo ya ndani ni yule yule mh George Simbachawene.
IGP ni yule yule afande Simon Sirro
Sasa haya majambazi yanapenyea wapi jamani wakati mlishayadhibiti nasi tukayasahau?
Kwa sasa hata tunapokunywa mbege kwa manka Monica huwa tunakuwa na wasiwasi juu ya usalama wetu.
Majambazi tiini sheria bila shuruti Tafadhali!
Sio kwa chuki hizi ndugu yangu hazitakusaidia.Kipindi chake huyo Uliyempenda Sana,yeye ndo alikua jambazi namba moja.
Siajabu na wewe ulipitishwa na mkurugenzi katika hiyo nafasi uliyonayo.Hawa majambazi waongeze juhudi tena wawe wanavamia nyumba na biashara za bavicha ili kuwakomoa mataga
Wakat daraja la kawe mlalakuwa pale uhalifu ulikuwepo na unaendelea kuwepoMnaposema kuwa kipindi cha magufuli alikomesha ujambazi, je, wale tuliokuwa tunaonywesha kila siku kuwa wamefyekwa na polisi walikuwa wanamuziki?
[emoji23][emoji23]Kipindi chake huyo Uliyempenda Sana,yeye ndo alikua jambazi namba moja.
ExactlyKipindi chake huyo Uliyempenda Sana,yeye ndo alikua jambazi namba moja.
Nafasi ipi?Siajabu na wewe ulipitishwa na mkurugenzi katika hiyo nafasi uliyonayo.
Kwamba ulikuwa unavamiwa huko mtaani kwenu kisha hamsemi kwa kuogopa?Aliusambaratisha kwa kuwazima midomo watu wasiongee? wasiripoti matukio yanayomkera?.Lini ujambazi umeisha?.Uliishaje wakati asilimia kubwa ya vijana haina ajira,[emoji55]haukuisha uliisha kwenye masikio yenu wengine kwa sbb hayakuripotiwa deep in side ujambazi ulikithiri mwingine ukiongizwa na viongozi wake wa juu. So acheni kumchafua mama na acheni kumletea mizengwe aonekane ni dhaifu. Polisi kipindi cha magufuli walikua wanafanya kwa mihemuko walikua wanajifanya wamedhibiti uhalifu lakini ukweli ni kwamba hata waandishi wakitaka taarifa walikuwa hawapewi yani walikua wanawazimisha kimya kimya. Mama ana taka haki na uwazi ndo maana unasikia kila aina ya taarifa.
Well said, kipindi cha jiwe ujambazi ulikuwepo, tena sana tu, ila waandishi wa habari walizuiwa kuripoti habari yeyote mbaya kuhusu udhaifu wa serikali yake. Nafikiri Azory alipotezwa sababu ya kufanya uchunguzi wa kile vyombo vya usalama vilikuwa vinawafanyia watu kule Kibiti.Aliusambaratisha kwa kuwazima midomo watu wasiongee? wasiripoti matukio yanayomkera?.Lini ujambazi umeisha?.Uliishaje wakati asilimia kubwa ya vijana haina ajira,😶haukuisha uliisha kwenye masikio yenu wengine kwa sbb hayakuripotiwa deep in side ujambazi ulikithiri mwingine ukiongizwa na viongozi wake wa juu. So acheni kumchafua mama na acheni kumletea mizengwe aonekane ni dhaifu. Polisi kipindi cha magufuli walikua wanafanya kwa mihemuko walikua wanajifanya wamedhibiti uhalifu lakini ukweli ni kwamba hata waandishi wakitaka taarifa walikuwa hawapewi yani walikua wanawazimisha kimya kimya. Mama ana taka haki na uwazi ndo maana unasikia kila aina ya taarifa.
Jamaa inaonesha unamchukia huyu Mama kutoka moyoni mwako kabisa, kakufanya nini?Kwamba ulikuwa unavamiwa huko mtaani kwenu kisha hamsemi kwa kuogopa?
Acha kutufanya wote watoto bhana
Nashauri hawa majambazi wakazane tena ikiwezekana hata leo wakutembelee waje wakuweke kitu chenye mcha kali huko chini ili kuwakomoa hawa sukuma gangHizi ni hujuma zenu Sukuma gang,,
Tutawaminya makende mtaacha
Siwezi kumchukia Samia hata siku moja.Jamaa inaonesha unamchukia huyu Mama kutoka moyoni mwako kabisa, kakufanya nini?
Ukimpenda shetani wewe ni shetani mwenzake.Sio kwa chuki hizi ndugu yangu hazitakusaidia.