Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Watanzania bhana..! Kama unaamini hao wauzaji hapo ndio wezi wenyewe kwanini hujatoa taarifa polisi au Takukuru wadeal nao?
Una uhakika gani kama sijatoa taarifa kwa vyombo vya usalama.
Hujui kuwa JF nako ni njia ya kutatua kero mbalimbali kama hizi au hujui kama na humu kuna watu wa usalama mkuu.
 
Haiwezekani kitu kika react halafu kisibadilike.

Usitake kutudanganya danganya kama wauza dagaa wa ziwani.

Sikumbuki ilikuwa ni kidato cha ngapi ambapo wameelezea catalyst. Tafuta mtoto aliyemaliza form 4 halafu amesoma chemstry umuulize catalyst ni nini.

Japo hiyo ya kwenye gari inaitwa Catalytic conveter.
 
Sikumbuki ilikuwa ni kidato cha ngapi ambapo wameelezea catalyst. Tafuta mtoto aliyemaliza form 4 halafu amesoma chemstry umuulize catalyst ni nini.

Japo hiyo ya kwenye gari inaitwa Catalytic conveter.
Wazungu wanasema,catalyst is anything which speed up or lower down a rate of chemichal reaction. Sijui nitakua sahihi?
 
mas
Ndugu yangu kanunua gari la mkononi

Toyota Brevis ..baada ya siku chache
Likaanza kutoa taa ya engine na mlio tofauti..

Kuuliza uliza mafundi na wajuzi wengine
Ndo wanamwabia gari yako imeibiwa
'masega'..sijui kama Hilo jina ndo sahihi. Na kama Lina jina lingine la kitaalam..

Wanasema kwenye lile bomba la kutoa moshi kuna hayo masega ..sijui ni aina ya Madini yanakuja na Brevis zote. Na ni deal huku Tz kuna watu wana matumizi nayo mengine sijui kwenye kitu Gani ..sasa kuna wizi mkubwa mno

Watu wengi wakipeleka gari garage..
Wanaibiwa ..na wengine hawajui wameibiwa ...

Nina maswali kidogo...Kwa wenye uelewa

Hivyo vitu vinaitwaje?Kuna jina la kitaalam? Why Brevis??

Nasikia vikishaibiwa gari linaharibika
Haraka sana?Why? Hakuna namna ya Ku replace?

Kwanini gari zingine hili tatizo sio kubwa? Kuna technological solution?
 
Ndugu yangu kanunua gari la mkononi

Toyota Brevis ..baada ya siku chache
Likaanza kutoa taa ya engine na mlio tofauti..

Kuuliza uliza mafundi na wajuzi wengine
Ndo wanamwabia gari yako imeibiwa
'masega'..sijui kama Hilo jina ndo sahihi. Na kama Lina jina lingine la kitaalam..

Wanasema kwenye lile bomba la kutoa moshi kuna hayo masega ..sijui ni aina ya Madini yanakuja na Brevis zote. Na ni deal huku Tz kuna watu wana matumizi nayo mengine sijui kwenye kitu Gani ..sasa kuna wizi mkubwa mno

Watu wengi wakipeleka gari garage..
Wanaibiwa ..na wengine hawajui wameibiwa ...

Nina maswali kidogo...Kwa wenye uelewa

Hivyo vitu vinaitwaje?Kuna jina la kitaalam? Why Brevis??

Nasikia vikishaibiwa gari linaharibika
Haraka sana?Why? Hakuna namna ya Ku replace?

Kwanini gari zingine hili tatizo sio kubwa? Kuna technological solution?
masega yapo kwenye gari zote hata kwenye ist yapo
 
Kwa hiyo kazi yake ni kumonitor tu. Aiseeee.


Na mimi ngoja nikuambie hivi. Kwenye live Data za Oxygen sensor kuna fuel trim za kila Oxygen sensor iliyopo kwenye gari lako.

Hizo asilimia za fuel trim ndio zinatell kwamba ni kwa muda kiasi gani injector nozzle inakuwa wazi ili kuruhusu mafuta kuingia kwenye engine na ECU ndio inayocontrol kwamba hizo injectors ziopen kwa muda kiasi gani.

Sasa hata hiyo fuel trim ya sensor ya pili ikiwa nje ya range(mathalani ikiongezeka) gari inakula mafuta vibaya mno. The same thing kinatokea kwa mtu aliyetoa masega.

Halafu unasema eti ukitoa masega Oxygen sensor itakuwa inamonitor nini? Hivi unajua kwamba gari zingine kitendo cha kutoa masega unakuwashia taa ya check engine?

Pia ninapofanya Diagnosis nikiletewa code ya Secondary Oxygen sensor, mawazo mawili ambayo huja kichwani haraka ni ama sensor ina shida au masega yana shida. Na ndio uhalisia sababu hivyo votu vinafanya kazi pamoja.

Halafu unadhani kwanini secondary sensor ikifa gari inatoa sana moshi? Unajua kwanini moshi unatoka mwingi? Then kwanini useme hiyo sensor inamonitor tu na haina kazi nyingine?

Next time siyo kila mtu unayepishana naye mawazo ni kanjanja.
Mkuu umeelezea vizuri sana. Naomba unisaidie kitu isijekuwa nami gari yangu yalishaondolewa. Gari yangu ni brevis ninapowasha nakuondoa gari rpm inakuwa kama inajump kutoka 1 kwenda 2 nahapo speed inakuwa chini ya 40. Lkn rpm ikishafika 2 nakuendelea gari inaenda vizuri tu bila shida yoyote.
 
Catalytic converter theft on the rise in the UK
Increased precious metal prices have driven a rise in the number of stolen catalytic converters in the last year

Mazda RX-8 catalytic converter

Catalytic converter thefts are on the rise as a result of increased black market value fuelled by demand for the precious metals contained within them.

Three-in-10 of all car-related theft claims received by Ageas Insurance is now a catalytic converter theft, whereas it was only around two-in-10 (or one-in-five) before the first national lockdown in March 2020.

Catalytic converters form part of a car’s exhaust system and contain precious metals such as platinum, palladium and rhodium. The RAC has pointed out that prices of rhodium hit a record high earlier this year, with the metal having become 200 per cent more valuable since the first lockdown - it’s now worth approximately £12,795 per ounce.

The illegal trade of these metals means brazen thieves are jacking up innocent motorists’ cars - often in broad daylight - and stealing the devices. These thefts occur on driveways, public streets and even in supermarket car parks.

RAC spokesman Simon Williams warned that drivers are “often oblivious” to their car’s catalytic converter being stolen. “Our patrols are often called to attend cars that have suddenly become excessively noisy,” he explained. “On investigation, it’s very often the case that the car’s catalytic converter has been stolen.”

Drivers who can’t park their cars in a garage are advised to use a well lit, residential location. When going away and leaving your car behind, it’s advisable to find a car park with CCTV and security patrols.

Robin Challand, claims director at Ageas, also made the point that catalytic converter thefts can “often result in a driver’s car being written off”.

 

What is a catalytic converter?​

Catalytic converters help clean your car’s exhaust emissions using chemical reactions with precious metals, but thefts are on the rise...​


Mazda RX-8 catalytic converter

If you don’t know what a catalytic converter is, you need not lose sleep over it. The technology isn’t new and it’s present on virtually every car on the road today but there’s no real reason why catalytic converters should be at the forefront of any motorist’s mind, most of the time. They run along in the background using chemical reactions to clean harmful gasses from your car’s exhaust emissions. Unless yours breaks or, as has become increasingly common in recent years, somebody tries to steal it, there’s very little to worry about.

In this guide we explain everything you need to know about catalytic converters - from how they work to the materials and precious metals used in them - and how to protect your car from catalytic converter theft…

How do catalytic converters work?​

Catalytic converters change harmful substances in a car’s exhaust gasses, such as carbon monoxide, nitric oxide, nitrogen dioxide and hydrocarbons, into less harmful substances like carbon dioxide and water vapour by means of chemical reactions.
Audi RS Q3 - exhaust

The interior of the ‘cat’ is usually filled with a honeycomb structure onto which a coating is applied that contains a catalyst - the substance that creates a reaction with the exhaust gasses, changing their chemical structure.


Precious metals like palladium, rhodium and platinum are commonly used as the catalyst and these have an intrinsic value that means they’re worth salvaging and recycling when the car is scrapped. Unfortunately, these precious metals also make catalytic converters a target for thieves.

Catalytic converters need to work at high temperatures of up to 400 degrees to maximise their efficiency. To achieve this optimum operating temperature the first units were positioned close to the car’s engine but this caused its own issues and the cat has gradually been mover further down the exhaust system, away from the engine’s heat source.

In today’s cars the catalytic converter is found underneath the vehicle towards the exhaust outlet, a position that makes it accessible to thieves who can cut the whole unit out from underneath the car.

Types of catalytic converters​

There are various types of catalytic converter. A simple ‘two-way’ oxidation cat works to turn carbon monoxide (CO) to carbon dioxide (CO2) and hydrocarbons, which are basically particles of unburnt fuel, to carbon dioxide and water. More advanced ‘three-way’ catalytic converters are fitted to modern cars and these do the above while also reducing emissions of nitric oxide (NO) and nitrogen dioxide (NO2) which together are more commonly known as NOx, a major cause of localised air pollution.


What is AdBlue?
Diesel cars typically have special catalytic converters to cope with the specific emissions from compression ignition diesel engines. These Diesel Oxidation Catalyst units are routinely paired with additional exhaust treatment technologies such as exhaust gas recirculation, Diesel Particulate Filters to trap soot and Selective Catalytic Reduction which uses injections of AdBlue urea solution to remove NOx.

Catalytic converter theft​

Incidences of catalytic converter thefts from cars showed a dramatic increase in 2019 with the year’s total around 10 times higher than in 2018.

 
Mambo karibia yote huwa yanaanzia huko,so ukija kwenye issue ya wizi hawa washikaji ni balaa sana...

Mfano mzuri hizi gaari zenye system za immobilizer, wana walikuwa wanaziiba kiulaini kabisa.
 
Wanaoyaiba wanaenda kuyafanyia Nini Ayo masega
 
Wakuu naandika hii mada nikiwa na hasira sana, Siku ya leo nlipeleka gari langu kufanyiwa service kwenye gereji ambayo nliiamini na huwa napeleka gari yangu hapo mara kwa mara kufanya service.

Sasa siku ya leo nlikua na mihangaiko mingine ikabidi nimuachie fundi gari aifanyie service.

Nkiwa kwenye mishe mishe nyingine mtaani kumbe fundi akashusha exhaust na kuiba hayo masega, bahati nzuri hapo gereji nilikuwa nafahamiana na Dalali mmoja hivi ndio akanitonya niwahi mara moja gereji maana kuna wahuni wanaiba masega.

Nilichukua bodaboda fasta na kuwahi gereji, yule fundi aliyekuwa anaiba masega alivoniona akakimbia kusikojulikana, ikabidi nipige picha kila kitu na kwenda polisi.

f46431ee-02d7-476b-8590-ff0070ec6953.jpg

89634610-d6e8-46f7-be26-4ea2e84b3d39.jpg

a65bd7db-01d0-4c88-b743-d47f58197032.jpg
d484a7a5-e2f1-4a26-a7cf-b0a2ad9515ed.jpg

8e45a42b-4723-465c-a85f-0e543c944999.jpg

2fa58a6c-7baa-4f8e-a69f-c7e20fa8d65a.jpg


Picha kama zinavojionesha hapo juu, Now niko polisi nashughulikia RB, hii Gereji ipo maeneo ya Kijitonyama.
Nacho washauri wadau ukipeleka gari yako gereji usiondoke na usije ukathubutu kumuamini fundi.
Imeniuma sana, ntakula nao sahani moja hii gereji.
 
Wakuu naandika hii mada nikiwa na hasira sana, Siku ya leo nlipeleka gari langu kufanyiwa service kwenye gereji ambayo nliiamini na huwa napeleka gari yangu hapo mara kwa mara kufanya service.
Sasa siku ya leo nlikua na mihangaiko mingine ikabidi nimuachie fundi gari aifanyie service.
Nkiwa kwenye mishe mishe nyingine mtaani kumbe fundi akashusha exhaust na kuiba hayo masega, bahati nzuri hapo gereji nlikua na fahamiana na Dalali mmoja hivi ndo akanitonya niwahi maramoja gereji maana kuna wahuni wanaiba masega.
Nlichukua bodaboda fasta na kuwahi gereji, yule fundi aliyekua anaiba masega alivoniona akakimbia kusikojulikana, ikabidi nipige picha kila kitu na kwenda polisi.

View attachment 1810409
View attachment 1810410
View attachment 1810411
View attachment 1810412
View attachment 1810413
View attachment 1810414

Picha kama zinavojionesha hapo juu, Now niko polisi nashughulikia RB, hii Gereji ipo maeneo ya Kijitonyama.
Nacho washauri wadau ukipeleka gari yako gereji usiondoke na usije ukathubutu kumuamini fundi.
Imeniuma sana, ntakula nao sahani moja hii gereji.
Mkuu pole ila mimi garage naacha gari ukiigusa tu najua,mana silence yake inakua haikai sawa,ila miss kinoma
 
Back
Top Bottom