Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Ni madhara gan yanatokea baada ya kutoa hayo masega....au nini kitakufanya ugundue masega yametolewa?
 

Our European visitors are important to us.​

This site is currently unavailable to visitors from the European Economic Area while we work to ensure your data is protected in accordance with applicable EU laws.

Mkuu nimegonga mwamba kulikoni? Shusha vitu basi na sisi tusome.

Ingia YouTube mkuu.

Andika cat converter theft zitakuja video kibao.

Uingereza ndio baba lao.
 
Wakuu naandika hii mada nikiwa na hasira sana, Siku ya leo nlipeleka gari langu kufanyiwa service kwenye gereji ambayo nliiamini na huwa napeleka gari yangu hapo mara kwa mara kufanya service.

Sasa siku ya leo nlikua na mihangaiko mingine ikabidi nimuachie fundi gari aifanyie service.

Nkiwa kwenye mishe mishe nyingine mtaani kumbe fundi akashusha exhaust na kuiba hayo masega, bahati nzuri hapo gereji nilikuwa nafahamiana na Dalali mmoja hivi ndio akanitonya niwahi mara moja gereji maana kuna wahuni wanaiba masega.

Nilichukua bodaboda fasta na kuwahi gereji, yule fundi aliyekuwa anaiba masega alivoniona akakimbia kusikojulikana, ikabidi nipige picha kila kitu na kwenda polisi.

View attachment 1810412
View attachment 1810413
View attachment 1810414

Picha kama zinavojionesha hapo juu, Now niko polisi nashughulikia RB, hii Gereji ipo maeneo ya Kijitonyama.
Nacho washauri wadau ukipeleka gari yako gereji usiondoke na usije ukathubutu kumuamini fundi.
Imeniuma sana, ntakula nao sahani moja hii gereji.
Mafundi wa Tanzania ndiyo wanafanya maisha ya kumiliki gari yawe magumu...Ndiyo maana nimeamua kuwa fundi wa gari langu mwenyewe
 


Uk hiyo bro,usiwe unabisha tu bila fact mkuu



Uk hiyo bro,usiwe unabisha tu bila fact mkuu

Huo ni uongo tu, hata kama kuna hilo tatizo sio vile ambavyo unalikuza. BTW majority of UK owners have their cars insured and it has not been mentioned on streamline media as an issue. Bring another evidence that its a major problem.

BTW which city/town/place?
 
Hapa ni Philadelphia, USA..



Acha kujitoa ufahamu......Unataka kusema USA au Europe hakuna wizi wa hayo madude..?

Huo ni wizi wa malofa mkuu, watu wana insurance zao they wouldn't care less.
 
Back
Top Bottom