Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Weka ya chuma(bei nafuu na upatikanaji sio mgumu kama hayo na pia hayawezi kuibwa tena)
 
Kama unaweza kuweka mengine weka. ila bei ya masega siyo Cheap.
Gharama ya exaust mpya ikoje?maana mimi mwenyewe nishapigwa na fundi niliekua namuamini kama mdogo wangu kumbe mshenzi,na kibaya zaidi kanipiga ikiwa haipo kwenye matengenezo,aliiazima gari nadhani ndio siku hiyo hiyo aliiba
 
Baada ya kuibiwa masega unatakiwa ufanye nini ili kuifanya gari iwe na perfomance ile ya kabla kuibiwa masega?
Hayaitwi masega maana sio masega. Anyways, ikitokea wameiba catalyst converter yako, unachotakiwa kufanya ni kununua mpya kwasababu hata ingeharibika still ungetakiwa kununua mpya.

So unatakiwa uwasiliane na wataalamu uelekezwe namna ya kupata mpya uifunge na uwe makini ukilinda gari yako.
 
Gharama ya exaust mpya ikoje?maana mimi mwenyewe nishapigwa na fundi niliekua namuamini kama mdogo wangu kumbe mshenzi,na kibaya zaidi kanipiga ikiwa haipo kwenye matengenezo,aliiazima gari nadhani ndio siku hiyo hiyo aliiba
Zinatofautiana kulingana na aina ya gari?! Unatumia gari gani?!
 
Kuna mawili
1.cat yako ilikufa,wakatumia short cut na kuitoa. Mafundi wengi wanafanya hivi.
2.Hilo usemalo.

Hayo madude used hayana bei kama hizo ni dili si wangeuza hio platinum badala ya kuuza cat nzima £50-100?!

Fursa hio watu waambieni wasiibe niwaletee hayo madude moja wanipe 100,000 tu.
Hbr yako? Nitapata wapi hiyo muffler waliniondoa hayo masega kwenye gari
 
Back
Top Bottom