JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Bongo hakuna sheria kali ya mambo ya emission. Kama ingekuwepo basi watu wengi wangejua jinsi ya kulinda masega yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuibiwa masega unatakiwa ufanye nini ili kuifanya gari iwe na perfomance ile ya kabla kuibiwa masega?Bongo hakuna sheria kali ya mambo ya emission. Kama ingekuwepo basi watu wengi wangejua jinsi ya kulinda masega yao.
Baada ya kuibiwa masega unatakiwa ufanye nini ili kuifanya gari iwe na perfomance ile ya kabla kuibiwa masega?
Gharama ya exaust mpya ikoje?maana mimi mwenyewe nishapigwa na fundi niliekua namuamini kama mdogo wangu kumbe mshenzi,na kibaya zaidi kanipiga ikiwa haipo kwenye matengenezo,aliiazima gari nadhani ndio siku hiyo hiyo aliibaKama unaweza kuweka mengine weka. ila bei ya masega siyo Cheap.
Hayaitwi masega maana sio masega. Anyways, ikitokea wameiba catalyst converter yako, unachotakiwa kufanya ni kununua mpya kwasababu hata ingeharibika still ungetakiwa kununua mpya.Baada ya kuibiwa masega unatakiwa ufanye nini ili kuifanya gari iwe na perfomance ile ya kabla kuibiwa masega?
Zinatofautiana kulingana na aina ya gari?! Unatumia gari gani?!Gharama ya exaust mpya ikoje?maana mimi mwenyewe nishapigwa na fundi niliekua namuamini kama mdogo wangu kumbe mshenzi,na kibaya zaidi kanipiga ikiwa haipo kwenye matengenezo,aliiazima gari nadhani ndio siku hiyo hiyo aliiba
Rav4 old model broZinatofautiana kulingana na aina ya gari?! Unatumia gari gani?!
Kwa kuagiza uandae around 1.5 million by estimation. Kwasababu zinatofautiana quality ya material na pia upya wake.Rav4 old model bro
Si mchezo mkuuKwa kuagiza uandae around 1.5 million by estimation. Kwasababu zinatofautiana quality ya material na pia upya wake.
Sasa sijajua eneo la kodi kwa hawa wadangaji TRA watakata kiasi gani kama kodi.
🤣🤣🤣Babu Behaviourist umetoka kifungoni tu na kulike comment ya gari yetu pendwa 😀,nawe umeshapigwa masega catalyist nini 😂
Babu kala kifungo tena ...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babu Behaviourist umetoka kifungoni tu na kulike comment ya gari yetu pendwa [emoji3],nawe umeshapigwa masega catalyist nini [emoji23]
Hbr yako? Nitapata wapi hiyo muffler waliniondoa hayo masega kwenye gariKuna mawili
1.cat yako ilikufa,wakatumia short cut na kuitoa. Mafundi wengi wanafanya hivi.
2.Hilo usemalo.
Hayo madude used hayana bei kama hizo ni dili si wangeuza hio platinum badala ya kuuza cat nzima £50-100?!
Fursa hio watu waambieni wasiibe niwaletee hayo madude moja wanipe 100,000 tu.