Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Ni madhara gan yanatokea baada ya kutoa hayo masega....au nini kitakufanya ugundue masega yametolewa?
 

Ingia YouTube mkuu.

Andika cat converter theft zitakuja video kibao.

Uingereza ndio baba lao.
 
Mafundi wa Tanzania ndiyo wanafanya maisha ya kumiliki gari yawe magumu...Ndiyo maana nimeamua kuwa fundi wa gari langu mwenyewe
 

Uk hiyo bro,usiwe unabisha tu bila fact mkuu

Uk hiyo bro,usiwe unabisha tu bila fact mkuu
Huo ni uongo tu, hata kama kuna hilo tatizo sio vile ambavyo unalikuza. BTW majority of UK owners have their cars insured and it has not been mentioned on streamline media as an issue. Bring another evidence that its a major problem.

BTW which city/town/place?
 
Hapa ni Philadelphia, USA..


Acha kujitoa ufahamu......Unataka kusema USA au Europe hakuna wizi wa hayo madude..?
Huo ni wizi wa malofa mkuu, watu wana insurance zao they wouldn't care less.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…