Wewe ni billionaire?Kweli dawa ya deni ni kulipa, na wao watulipe deni la kutengeneza bilionea, ma.mae.... tuone kama wanajeuri.
NDINDA unakumbuka nilikuambia hii picha tuiweke itatufaa kupigia hawa nyang'au, sasa naona The best 007 anaitumia vizuri sana.
Sema wanamiradi mingi ya maana ikikamilika mapato yataongezeka,kinachowarudisha nyuma ni wingi wa watu ukilinganisha na upaja wa uchumi waoUtakua sio mfuatiliaji wa takwimu za hawa mabeberu, unafuatilia tu pale zinawakuna.
Ethiopia itawachukua muda sana kutoka kwenye umaskini, maana ni wengi mno, ukuaji wao labda upae kwenye double digits.
Sisi kama Kenya ilibidi tutie sahihi ile dili ya EPA manake kama "lower miiddle-income" country, bidhaa zetu kule EU zitachapwa tax ya 22%, lakini nchi za Low-income hata zikikataa kutia sign hio EPA bado wanaruhusiwa ku export bidhaa zao dutty free kule EU kwasababu ziko miongoni mwa list ya low income countries........ Hapa East and Central Africa ni Kenya pekee tu ndo haikua kwa category hio ya low income, sasa vile mnaingia kwa Middle income itakua hamna budi ila kutia sahihi hio dili ya EPA la sivyo msahau biashara zenu na nchi za EU!East African Community - European Union Economic Partnership Agreement. Inahusu nini?
Tunadaiwa trillions of shillings but hey nyie mnadaiwa hadi vibayaSisi kama Kenya ilibidi tutie sahihi ile dili ya EPA manake kama "lower miiddle-income" country, bidhaa zetu kule EU zitachapwa tax ya 22%, lakini nchi za Low-income hata zikikataa kutia sign hio EPA bado wanaruhusiwa ku export bidhaa zao dutty free kule EU kwasababu ziko miongoni mwa list ya low income countries........ Hapa East and Central Africa ni Kenya pekee tu ndo haikua kwa category hio ya low income, sasa vile mnaingia kwa Middle income itakua hamna budi ila kutia sahihi hio dili ya EPA la sivyo msahau biashara zenu na nchi za EU!
Alafu pia mkiingia Middle income hakuna tena kusamehewa madeni..
Tumezitumia sababu huwaga ndio bakora yenu, sasa jiandae kuitoa hiyo dp yako hapo.
Upeo wako ndo umefikia hapa, kweli tumewashika[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ni billionaire?
Sema wanamiradi mingi ya maana ikikamilika mapato yataongezeka,kinachowarudisha nyuma ni wingi wa watu ukilinganisha na upaja wa uchumi wao
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji736]Kuzindua miradi kote kote bila mikakati pia ina hatari yake, bora uwe na plan lakini uzindue na kuwekeza fedha panapostahiki, waliwekeza kwenye reli ya umeme mabilioni yote, ukisoma kuihusu hadi aibu, matatizo ya umeme kukatika katika kila uchao, haipaswi kuparamia kila kitu ilhali wewe bado maskini, tumia mikakati.
Kila siku raia wao wanakamatwa kwenye makontena wakiikimbia nchi, kinachowaponza, nchi yao imegoma kufungulia uwekezaji binafsi kutoka nje, wana closed economy ambayo kwa dunia ya leo ni ujinga.
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.
Kama unaamini mbeberu Leo basi itakuwa sawa Kama unaamini GDP ya Kenya ni $100b na ya Tanzagiza ni $63b.Upeo wako ndo umefikia hapa, kweli tumewashika[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana hawa jamaa sio wa kuwaamini sana, watakwambia unachotaka kusikia hasa ikiwa kuna maslahi yao kwenye kufanya hivyo.
Kama unaamini mbeberu Leo basi itakuwa sawa Kama unaamini GDP ya Kenya ni $100b na ya Tanzagiza ni $63b.
Hehehe!! Wale hawakuambii wewe, wanaambia ulimwengu ili kama kuna mtu ana haja ya takwimu zenu ajiridhishe kabla kuja, nyie wenyewe ndani mna takwimu zenu huwa mnatoa zinazokinzana na hawa, ila wakiandika nzuri kama hii mnawasifia sana.
Asante kwa ufafanuzi, je ni bidhaa zipi zinazotoka Jamhuri ya Kenya kwenda Umoja wa Mataifa ya Ulaya?Sisi kama Kenya ilibidi tutie sahihi ile dili ya EPA manake kama "lower miiddle-income" country, bidhaa zetu kule EU zitachapwa tax ya 22%, lakini nchi za Low-income hata zikikataa kutia sign hio EPA bado wanaruhusiwa ku export bidhaa zao dutty free kule EU kwasababu ziko miongoni mwa list ya low income countries........ Hapa East and Central Africa ni Kenya pekee tu ndo haikua kwa category hio ya low income, sasa vile mnaingia kwa Middle income itakua hamna budi ila kutia sahihi hio dili ya EPA la sivyo msahau biashara zenu na nchi za EU!
Alafu pia mkiingia Middle income hakuna tena kusamehewa madeni..
Tunadaiwa trillions of shillings but hey nyie mnadaiwa hadi vibaya
Kuna kukwamba na kujikwamisha.Duh yaani nusra tuwapige mara mbili, hivi Tanzania hukwama wapi maana huwa sipati picha kabisa, kwanza wale ni muungano wa mataifa mawili, wana madini ya kumwaga, vitutio bora vya utalii, kila kitu yaani, huwa sielewi kabisa kasoro yao huwa nini haswa, na wala siwezi nikasema wao hutamausha wawekezaji maana nimewahi kuona jinsi wawekezaji hupokelewa kwao, hukaribishwa bila vikwazo vingi.
Japo kwa maoni yangu hawa jamaa hukwama kwenye nguvu kazi, they need to invest in educating their masses and attain skilled human resource in their workforce, ukifanya kazi na Watz utaelewa wako bado sana kwenye hili japo hutokwa mipovu wakikumbushiwa hii kasoro.
Umeona nimewasifia popote?
Ukubwa unakuja na changamoto, hii mambo ya kuitwa Lower middle Income bado ni matusi ingawa ni hatua nzuri. Vipi kuhusu Ghana mbona siioni hapa.