World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Vitu ambavyo serikali inatakiwa kuweka mkakati

1. Stability ( kamwe kusitikee machafuko yeyote ya ksiasa, kikabila etc). Kama israel ilivyo weka mkakati nankuapa kamwe vita isipiganwe ndani ya israel.

2. Miundombinu bira ya huduma za jamiii kama shule, hospitali, barabara, viwanja vya ndege, bandari , viwanja vya michezo , stand za usafiri ardhini etc.

3. Huduma bora za jamii ( elimu, afya,)

4. Demokrasia dhabiti

5. Uwajibilaji and good gorvenance.
 
Utakua sio mfuatiliaji wa takwimu za hawa mabeberu, unafuatilia tu pale zinawakuna.
Ethiopia itawachukua muda sana kutoka kwenye umaskini, maana ni wengi mno, ukuaji wao labda upae kwenye double digits.
Sema wanamiradi mingi ya maana ikikamilika mapato yataongezeka,kinachowarudisha nyuma ni wingi wa watu ukilinganisha na upaja wa uchumi wao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
East African Community - European Union Economic Partnership Agreement. Inahusu nini?
Sisi kama Kenya ilibidi tutie sahihi ile dili ya EPA manake kama "lower miiddle-income" country, bidhaa zetu kule EU zitachapwa tax ya 22%, lakini nchi za Low-income hata zikikataa kutia sign hio EPA bado wanaruhusiwa ku export bidhaa zao dutty free kule EU kwasababu ziko miongoni mwa list ya low income countries........ Hapa East and Central Africa ni Kenya pekee tu ndo haikua kwa category hio ya low income, sasa vile mnaingia kwa Middle income itakua hamna budi ila kutia sahihi hio dili ya EPA la sivyo msahau biashara zenu na nchi za EU!

Alafu pia mkiingia Middle income hakuna tena kusamehewa madeni..
 
Tunadaiwa trillions of shillings but hey nyie mnadaiwa hadi vibaya
 
Sema wanamiradi mingi ya maana ikikamilika mapato yataongezeka,kinachowarudisha nyuma ni wingi wa watu ukilinganisha na upaja wa uchumi wao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Kuzindua miradi kote kote bila mikakati pia ina hatari yake, bora uwe na plan lakini uzindue na kuwekeza fedha panapostahiki, waliwekeza kwenye reli ya umeme mabilioni yote, ukisoma kuihusu hadi aibu, matatizo ya umeme kukatika katika kila uchao, haipaswi kuparamia kila kitu ilhali wewe bado maskini, tumia mikakati.
Kila siku raia wao wanakamatwa kwenye makontena wakiikimbia nchi, kinachowaponza, nchi yao imegoma kufungulia uwekezaji binafsi kutoka nje, wana closed economy ambayo kwa dunia ya leo ni ujinga.
 
[emoji736]
 
Kwa mwendo aliokua anakwenda nawo JK mngetoka kipindi kile, awamu ya sasa mumekua kisiasa zaidi na wenye hasira hasira full visasi. Hawa hawa World Bank walishusha namba za ukuaji wenu mkawatukana sana, leo wamesema mnakaribia kutoka kwenye LDC mnawakubali fasta.

Ndio maana hawa jamaa sio wa kuwaamini sana, watakwambia unachotaka kusikia hasa ikiwa kuna maslahi yao kwenye kufanya hivyo.
 
Hehehe!! Wale hawakuambii wewe, wanaambia ulimwengu ili kama kuna mtu ana haja ya takwimu zenu ajiridhishe kabla kuja, nyie wenyewe ndani mna takwimu zenu huwa mnatoa zinazokinzana na hawa, ila wakiandika nzuri kama hii mnawasifia sana.
 
Kama unaamini mbeberu Leo basi itakuwa sawa Kama unaamini GDP ya Kenya ni $100b na ya Tanzagiza ni $63b.

Duh yaani nusra tuwapige mara mbili, hivi Tanzania hukwama wapi maana huwa sipati picha kabisa, kwanza wale ni muungano wa mataifa mawili, wana madini ya kumwaga, vitutio bora vya utalii, kila kitu yaani, huwa sielewi kabisa kasoro yao huwa nini haswa, na wala siwezi nikasema wao hutamausha wawekezaji maana nimewahi kuona jinsi wawekezaji hupokelewa kwao, hukaribishwa bila vikwazo vingi.

Japo kwa maoni yangu hawa jamaa hukwama kwenye nguvu kazi, they need to invest in educating their masses and attain skilled human resource in their workforce, ukifanya kazi na Watz utaelewa wako bado sana kwenye hili japo hutokwa mipovu wakikumbushiwa hii kasoro.
 
Hehehe!! Wale hawakuambii wewe, wanaambia ulimwengu ili kama kuna mtu ana haja ya takwimu zenu ajiridhishe kabla kuja, nyie wenyewe ndani mna takwimu zenu huwa mnatoa zinazokinzana na hawa, ila wakiandika nzuri kama hii mnawasifia sana.

Umeona nimewasifia popote?
 
Sisi kama Kenya ilibidi tutie sahihi ile dili ya EPA manake kama "lower miiddle-income" country, bidhaa zetu kule EU zitachapwa tax ya 22%, lakini nchi za Low-income hata zikikataa kutia sign hio EPA bado wanaruhusiwa ku export bidhaa zao dutty free kule EU kwasababu ziko miongoni mwa list ya low income countries........ Hapa East and Central Africa ni Kenya pekee tu ndo haikua kwa category hio ya low income, sasa vile mnaingia kwa Middle income itakua hamna budi ila kutia sahihi hio dili ya EPA la sivyo msahau biashara zenu na nchi za EU!

Alafu pia mkiingia Middle income hakuna tena kusamehewa madeni..
Asante kwa ufafanuzi, je ni bidhaa zipi zinazotoka Jamhuri ya Kenya kwenda Umoja wa Mataifa ya Ulaya?
 
Tunadaiwa trillions of shillings but hey nyie mnadaiwa hadi vibaya

Mambo kama haya ya kusamehewa madeni musahau kwanzia mwaka ujao, hakuna tena kusamehewa, ukikopa lazima ulipe, hata kama ni kwa kuuza bandari, lazima ulipe.

19 September 2017 | By GCR Staff | 0 Comments
Brazil has forgiven Tanzania its $203m debt dating from a loan made 18 years ago to build a highway between the city of Morogoro and the capital, Dodoma.

The boon to the fast-growing African country has been under discussion for a number of years and, paradoxically, is being billed as the key for unlocking more Brazilian investment in Tanzania.

Tanzania’s ambassador to Brazil and an official from the Brazilian National Treasury signed the agreement on Sunday, 17 September, reports newspaper The Citizen.

The 1979 loan paid for the construction of the roughly 260km road between the two cities.
Brazil writes off Tanzania’s debt for highway to the capital - News - GCR

Yani ni kama vile ukiwa under 18, kuna makosa flani unaweza fanya kama kupigana na watu wengine, kukiuka sheria etc hata unaweza kuua mtu na ukishikwa unasamehewa na polisi/mahakama , lakini sasa hii middle income ni kama vile Tanzania imebalehe na mmefika over 18 (legal age), ukishikwa unajaribiwa mahakamani kama mtu mzima, hata kosa la kichapa mtu makofi na upatikane na polisi, hicho ni kifungo kisichopungua miezi mitatu.
 
Duh yaani nusra tuwapige mara mbili, hivi Tanzania hukwama wapi maana huwa sipati picha kabisa, kwanza wale ni muungano wa mataifa mawili, wana madini ya kumwaga, vitutio bora vya utalii, kila kitu yaani, huwa sielewi kabisa kasoro yao huwa nini haswa, na wala siwezi nikasema wao hutamausha wawekezaji maana nimewahi kuona jinsi wawekezaji hupokelewa kwao, hukaribishwa bila vikwazo vingi.

Japo kwa maoni yangu hawa jamaa hukwama kwenye nguvu kazi, they need to invest in educating their masses and attain skilled human resource in their workforce, ukifanya kazi na Watz utaelewa wako bado sana kwenye hili japo hutokwa mipovu wakikumbushiwa hii kasoro.
Kuna kukwamba na kujikwamisha.

Kuna siku mtagundua kwamba hii ilikuwa mbinu ya kivita zaidi, pale ambapo hata EPA itakapogomewa.
 
Umeona nimewasifia popote?

Sio wewe binafsi ila kwenu huko hususan kwenye uongozi na entire JF CCM brigade, wana mazoea ya kuwaponda sana hawa na kuwaita mabeberu ikitokea wametoa namba zisizowakuna, ila wakitoa kama hizi za kusema Tanzania inaaga LDC, inakua full misifa kwa mabeberu.
 
Back
Top Bottom