World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kutokana na idadi ya magoli waliyofungwa spain,. chile wakishinda leo spain out...
spain watatoka kwa kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutosha
 

Baada ya kumtoa Alonso angemuingiza Javi Martinez huyu angewasaidia centre back,Torres amekwisha na Diego Costa hafit kwenye system ya Spain David Villa alipaswa kuanza
 
kweli maajabu ya dunia. yaani muda mfupi baada ya spain kula kichapo cha 5 -1, mdau mmoja wa spain ameshinda euro 137 milioni kwenye bahati nasibu iitwayo "euro million"!

dah jamaa ni noma,mwnyw kdgo nimpge mhindi huyu spain ndo kaniharibia
 
nasikia waspanish wanalaumu jezi zao. kuna baadhi yao wanaamini timu yao ikiweka nyuzi nyeupe kinachofuata ni kipigo!

hamna mchezaji mwenye asili ya afrca hata moja acha wapigwe 2,kwanza ni wabaguzi
 
Shakira aliikana nchi yake ya colombia na kusema kuwa atashabikia huko kwa hawara yake pique naye sasa aibu imemkuta....shame on herr!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…