World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kutokana na idadi ya magoli waliyofungwa spain,. chile wakishinda leo spain out...
spain watatoka kwa kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutosha
 
spain walikua hovyo nyuma nadhani. kocha pia alifanya maamuz ya ovyo kumtoa alonso..alonso yuko vasatile sio kma akina silver.silver ni winning team player kwa dituation ya leo nadhani arteta alistahili kuitwa he would do smthng.othrwse akina xavi na iniesta wameshiriki kuandika hitoria zao binafsi na sio ushindi kwa team..bt spain watapita kwenye kundi naamin hyo..

Baada ya kumtoa Alonso angemuingiza Javi Martinez huyu angewasaidia centre back,Torres amekwisha na Diego Costa hafit kwenye system ya Spain David Villa alipaswa kuanza
 
kweli maajabu ya dunia. yaani muda mfupi baada ya spain kula kichapo cha 5 -1, mdau mmoja wa spain ameshinda euro 137 milioni kwenye bahati nasibu iitwayo "euro million"!

dah jamaa ni noma,mwnyw kdgo nimpge mhindi huyu spain ndo kaniharibia
 
Shakira aliikana nchi yake ya colombia na kusema kuwa atashabikia huko kwa hawara yake pique naye sasa aibu imemkuta....shame on herr!!
 
Back
Top Bottom