Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutoshakutokana na idadi ya magoli waliyofungwa spain,. chile wakishinda leo spain out...
spain watatoka kwa kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutoshakutokana na idadi ya magoli waliyofungwa spain,. chile wakishinda leo spain out...
spain watatoka kwa kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
nimeliona hilo mkuu ile kichwa ni balaa[/
Kama ana mabawa
Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
Dah matunda ya kazi ya Wenger, kataeeni?.
Yani hadi aibu
Wadau mbona mwingine 5 mwingine 6? Kipi ni kipi, hebu DEMBA na masai dada piteni hapa.
nina mashaka Brazil kuvuka robo fainali,hatujaona bado game la Porugal,Germany na Switzland,mbona itakuwa balaa
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutosha
Spain nayo ikivuka hii group naona kama itasumbua,hebu tusubiri aiseeraundi ya pili brasil wanaweza kukutana na espana, hapo inabidi wabebwe kupindukia
spain walikua hovyo nyuma nadhani. kocha pia alifanya maamuz ya ovyo kumtoa alonso..alonso yuko vasatile sio kma akina silver.silver ni winning team player kwa dituation ya leo nadhani arteta alistahili kuitwa he would do smthng.othrwse akina xavi na iniesta wameshiriki kuandika hitoria zao binafsi na sio ushindi kwa team..bt spain watapita kwenye kundi naamin hyo..
ndio maana timu yangu uingereza
kweli maajabu ya dunia. yaani muda mfupi baada ya spain kula kichapo cha 5 -1, mdau mmoja wa spain ameshinda euro 137 milioni kwenye bahati nasibu iitwayo "euro million"!
Kipa alikuwa anatambaa tu kwenye majani
na wakilazimishwa draw wanakuwa outYaaani jtano spain na chile.. Hahaaa spain watajuta
Hahaaa kweli au unataka tuchokoza watu hapa..kwa kifupi ni kuwa Mboni katuharibia Etoo basi
nasikia waspanish wanalaumu jezi zao. kuna baadhi yao wanaamini timu yao ikiweka nyuzi nyeupe kinachofuata ni kipigo!
Chile watampiga Australia su chini ya magoli 4
raundi ya pili brasil wanaweza kukutana na espana, hapo inabidi wabebwe kupindukia
raundi ya pili brasil wanaweza kukutana na espana, hapo inabidi wabebwe kupindukia
aaaah hapo unanilet down bhana,wenga anaua vipajiDah matunda ya kazi ya Wenger, kataeeni?.