Hilo joto linahusu ninyi tu au.?
Salam kwa brazuu zimeanza
Yaani timu inacheza kama ineendesha gari la maiti taratibuuuu Mexico nipigie hawa watu
Yaani hii game yakijinga sana kijinga sana kijinga sana
Ndiyo,Mexico wamezaliwa nalo walishadevelop immunity ndo maana haliwatesi.Hilo joto linahusu ninyi tu au.?
yaani Holland wamechoooooooookaaaa!
Tuombe maana sioni mpango wowote wa Holland kufunga.Hatuna viungo kabisa hapo kati.
Team Holland,tutarudisha tu na kushinda juu,sema joto nalo linasumbua
Holland wana tabia ya kucheza kwa kutegea na hata mechi na Spain walikuwa nyuma kwa goli mbili kabla ya kurudisha. Kwenye mechi dhidi ya Australia, Holland pia walikuwa nyuma kwa mbili.
Ikiwa watazubaa leo na huku joto likiwasumbua kwani linasimama kwenye 38.8 na sasa wapo nyuma kwa goli moja, basi wanaweza kupoteza hii game.
hahahah kiwango hawana tu
Joto linawatesa sanayaani Holland wamechoooooooookaaaa!
Wataanza kusingizia joto.!