Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

Mtayasema mengi lakini hayataubadilisha ukweli:

1) marehemu aliwahi kupatwa na tatizo la akili. Mara 2 lilionekana wazi

2) mara moja alitibiwa Mirembe na mara moja Ujerumani

3) ana baba zake wadogo wawili, wapo Bukoba, wote wana matatizo ya akili. Kwa hiyo inawezekana ni tatizo la kurithi

4) tatizo la akili, ni vigumu sana kupona moja kwa moja, japo kuna wakati mtu huwa perefect lakini kuna wakati linaweza kumrudia, na ni vigumu kutambua labda, liwe extreme.

5) mtu ambaye amekwishawahi kupatwa na tatizo la akili, haikuwa sahihi kumpa madaraka ya mwisho, alistahili kufanya kazi chini ya mtu mwingine.

6) kwa msingi wa kisheria, mtu yeyote akifanya ouvu, lakini akathibitika kuwa hakuwa kwenye utimamu wa akili, mtu huyo huachwa huru. Kama marehemu angekuwa hai, hata angetenda uovu kiasi gani, historia yake ya afya ya akili inamuondolea uovu wote, na badala yake kosa hilo wanaobebeshwa ni wale walioruhusu mtu mhonjwa wa akili kupewa wajibu mkubwa kiasi kile.

7) kuna siku, kutokana na uzoefu wa uongozi wa awaku ya 5, hitaji la kuwapima watu afya ya akili, litawekwa kwenye katiba.
 
Balari je? Aliondoka na Shilingi ngapi?
 
Ila nakuhurumia san kupambania legacy ambayo inafumuliwa kila kukicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watafumuaaa ubungo exchnge? Watafumua barabara ya njia 6 kwenda kibaha? Watafumua bwawa la nyerere? Watafumua sgr? Watafumua uamuz wa kuhamia dodoma..ni kichaa peke yake ndo anaweza kuamuni ujinga huoo..alaf legacy ya mtu inakaa ndani ya watu..watz wamemuelewaa sana jpm..na ndio mana jk kila akisimama anabak kujihusishaa na mambo aliyoyafanya jpm..yule mtu hamumuwezii bhana..apumzikee kwa aman jpm..jembeee lililofukua washenzi na wezi walioibia hii nchii..
 
Tatizo lenu hamjui kua serikali huweka mikakati ya kimaendeleo kati ya miaka 10-50 na kuendelea so hilo la sgr hajabuni yeye ni moja ya mpango mkakati
Tunachozungumziaa sio kubuni sera..shenzi kabisaaa..tunazungumzia uwezo wa mtu kuitekelezaa hiyo seraa..bwawa la nyerere toka uhuru hakuna aliethubutu...akaja chumaa..kapindua mezaa..acheni bhana kuna watu wanauwezo mkubwa wa uthubutu..wengine wamejawaa na uswahil swahil tuu wakiingia ikulu..had familia inafanya biashara ya dawa za kulevyaa..jinga kabisaa waswahilii..
 
Tatizo hujui hata maana ya legacy. Barabara, reli au daraja, haviwezi kuwa legacy.

Kwako wewe, hata reli ya kati ni legacy ya mjerumani!! Nenda kasome, kwanza ujue maana ya legacy.

: something transmitted by or received from an ancestor or predecessor or from the past.

E.g. The legacy of the ancient philosophers. The war left a legacy of pain and suffering.

Webster's Dictionary defines β€œlegacy” as β€œsomething transmitted by or received from an ancestor or predecessor or from the past.”

Some common examples of legacy are: She/He left his children a legacy of love and respect. The war left a legacy of pain and suffering.

Christian Family Legacy is about the meaning that your inheritance has on the next generation. It is not just a synonym for inheritance. It goes deeper. It refers to passing the love of Jesus to all those that follow. It is about Stewardship of all that God has gifted you

Marehemu Magufuli ameacha legacy of suffering, pain and hatrage.
 

Mwehu nae kumbe huwa ana usia kwa wehu wenzake?
 
Sucka ass!! Ubunifu wa sera then kinachofuata ni utekelezaji, hao waliopita unaowabeza nao wamefanya mengi kweny hili taifa. Hivi unajua mifuko ya jamii ina hali kwanza? Yote ni kwasaab nionekane nimefanya makubwa kuliko wengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kafungue kesi acha kulalama
 
Katiba Mpya na Tume Huru ili kosa la hili la kupata Chizi lisitokee tena
 
Alikuwa mtu hovyo mno.
 
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Tanzania ni masikini huku wazungu wanachukua utajiri hapa hapa nchini.

R.I.P JPM
Wanasiasa ndio wametufanya tujihisi masikini.
Nchi hii tajiri kweli kweli imejaa mali KILA kona,hata porini unajifukulia tu madini ardhini bila kibali wala kodi na unafanikiwa
 
Wanasiasa ndio wametufanya tujihisi masikini.
Nchi hii tajiri kweli kweli imejaa mali KILA kona,hata porini unajifukulia tu madini ardhini bila kibali wala kodi na unafanikiwa

Kuna mtu atqkuja kubishana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…