SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mimi siyo mhanga wa vyeti feki kwani sijawahi kuwa mtumishi wa Serikali au mashirika yake. Elimu yangu siyo ya kuunga unga kama yule dhalim aliyeua mtu aliyehoji udanganyifu wa PhD yake. Kufikiaria kuwa kila aliyekosoa utawala wa awamu ya tano ni vyeti feki huo ni mtindio wa ubongo kama ulivyo wewe.Uzuri jamaa kaanza na angalizo kwa wale vyeti fek watakuja tema nyongo, tapika nyongo mkuu uwanja wako..
Kumbe yule nduli wenu alikuwa anatengeneza mvua eh?Leo nimeoga maji lita moja na yamebaki ya kufulia...
Hata ibili ni mungu kwa wale wamuabuduo.R.I.P rais wangu, uliletwa na Mungu kutuonesha kuwa inawezekana hivyo mtu akisema haiwezekani maana yake sio muwajibilaji, Kisha Mungu akakuchukua ukapumzike.
Tunaona kuwa uliyoweza kwa kipindi kifupi wapo wanaodai sasa hayawezekani...
RIP
Kamkumbukeni kaburini Chato. Umbwakoko nyieHaya Chawa bwana wako wamekusikia...fuata posho sasa
#Mtanikumbuka!
Utamkumbuka wewe na familia yako na mke wako na mjomba wako na shangazi yako na ile mchepuko yako...."Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Ni wapi huko ambapo "kila unapopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli"!!??Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.
Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.
Acha kukimbilia vijisababu vyepesi, nina vyeti zaidi ya viongozi wako unaoamini ni wasomi. Sijawahi kutegemea ajira za serikali(watanilipa kiasi gani?), si bora nifanye kazi ya kuchoma maiti Denver au Maryland kwa ujira wa 70$ per hour.Na tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
Bora mimi naweza kuongea na mtu aliye hai, Sasa na wewe ufate mzoga wenu huko Chato...Unaongelea watu laki nne enzi hizo huku milion 50+ walikuwa nanateswa na majambazi, kipindupindu kisichoisha kisa maji hakuna, mgao wa umeme kila siku, barabara mbovu n.k.
Tuache..mfuate msoga hapo mkapige soga.
Wewe sio tu mjinga bali ni MPUMBAVUWewe ni miongoni mwa wajinga wachache ,
NI MPUMBAVU aina yako tu ndie asiyejua kwamba hata mwizi akiingia ndani ya nyumba sio kwamba ataiba kila kitu.haiwezekani useme kuwa mliibiwa uchaguzi 2020 and the same mnaseme lissu alipata kura zaidi ya milioni mbili kuweni na akili kidogo.
Mbingu zimefungwa zisidondoshe mvua ktk Nchi, sababu ya vilio vya watu wa Nchi hii Kutokana na dhuluma za Watawala.That's exactly what's going on at the moment within those State Capture's & State Cartel's.
There's a big Noise will raise from the bottom Majority....
It will be..between
"Walamba
Asali V/S Wameza Shubiri"
Time will tell Soon!
Wa kukumbukwa ni JK aliyesema kuendelea kutegemea umeme wa mabwawa ya maji kwa asilimia kubwa ni kujitafutia ugonjwa wa moyo pasina sababu ."Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Sukuma gang upo kazini kukosoa viongozi waliopo madarakani."Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Umeonaeeeeeee?Niache kumkumbuka JK nikumbuke Magufuli
Anapinga serikali iliyopo madarakaniKwa hiyo wewe wapinga kukauka kwa mito?
Mwendazake wacha ajipumzikie wewe kilazaNa tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
Sasa hivi ni mama SamiaTunamkumbuka ila wengine japo wanafanya kimya kimya.
Alikuwa rais aswaa.