miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mkuu naogopa kuandika mengine. Hakika hali si nzuri. Battle lilikuwepo sema sasa yeye ni mke mwisho wa siku. Ila nakuhakikishia yako mengi ambayo naluambia leo hii jacky angekua ndani. Me viongozi wengine wananiudhi na ustaarabu waoKuna story nyuma ya pazia ambayo inaukakasi sana kuhusu huyu mzee dakika zake za mwisho alipotumia muda mwingi na huyu binti mbali na familia yake.
Cha ajabu nashangaa hawa watoto wakubwa mnasikia baba yenu anaumwa mnamuachia mwanamke ambaye hamna uhakika na malengo yake ya kuwa na baba yenu, ndio amuuguze,kwangu thats a big No.
Kwa jinsi jukumu ilivyokaa sioni mwanya wa yeye kushinda! Akubaliane tu na hukumu hii ambayo imerejesha mgawanyo wa miradhi kimila utamnufaisha na kurejeshewa heshima ya mama mdogo kuliko kukaza shingo!Mjane ana haki ya kukata rufaa!!
Nimetaka tu anambie kitabadilika nn. Hii imeisha hiyooo.Hakunaga appeal kesi ikifika mahakama kuu ndio final
Mahakama inapoteua msimamizi wa mirathi yote huyo huwa yamekamilikaNadhani mahakama imewapa hao kushika mirathi kwa sasa hadi kikao halali cha mirathi watakapokaa wanafamilia pande zote kisha kufanya maamuzi ni nani atakae kuwa msimamizi wa mirathi then hiyo barua itapelekwa mahakamani ndio muhusika atakaepewa hilo jukumu rasmi ataanza sasa kusimamia kwa mujibu wa sheria.
Ewaaah. Tukiwashe naye huyuItabidi na huyu nae tumfungulie uzi apate exclusive......
Aliwaambia eti wao washapata mali ya za mama yao[emoji23][emoji23][emoji23] biiiitcchhhhhJacklyn alichukua mali zote alafu akawaambia watoto wakubwa wa marehemu wachukue masufuria tu wakaanze maisha
Huyu dada anahisi sheria watu wanatumia hisia badala ya ukweli katika kusimamisha hoja.Jack kaandika twitter karusha na ripoti ya madaktari inasema mengi alikuwa vizuri kiakili
@miss pablo njoo kuna kipengele kingine hapa cha kumlaumu Klyn kimeongezekaAlafu huyu mdada nikama sio mtz ule ubini wake nikama Wa Rwanda au Burundi
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Si naskia amepata mthungu?Alianzishiwa....but akili yake ilikuwa kula bata tuuu.......alitakiwa atulie kimya....wangemfikiria asingekosa mali za kuanzia, isitoshe anao watoto na mzee.......marafiki zake ndio waliomponza........wacha tumvizie tuone kama mzigo bado kabana....
Unajia kama mtu ana tamaa ni ana tamaa tu. Jacky kila kitu alikua anaganyiwa na still anafanyiwa. Services za magari, nyumba, lila kitu. Unataka nini tena zaidi kama si tamaa? Si angepaswa subiria tu mambo yatengamae?True. True.
But mwanamke njia rahisi ya kuwa vema katika ndoa ni kuwa busy katika biashara na mume wako.
Kama ana biashara promising na inalipa, join in kwa ridhaa yake everything will turn out okay. In the past faulo zilikuwa nyingi kwa wanawake ila nowadays wanaume wapo very conscious kuhusu domestic violence kushinda hata wanawake so huwa sioni point ya wanawake kuact or behave hostile or defensive towards wanaume wao katika ndoa.
Women need to be re-educated because they have been miseducated for a while now.
Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i love uJack ni ntu wa dili
Watamnyoosha aisee wee subirImeisha hiyo..Jacq ana roho mbaya sana. Yaani alitaka wale watoto wa mke wa kwanza wapewe buku moja tu!
Dada kapanic..... Atajitia boko sasa hivi.....hiyo report ya matatizo ya akili imetokana na request gani mbona kama ni special report ya hali ya kiakili ya mgonjwa.Hizi tarehe mbona kama zinakinzana???
Mali ya mke wa kwanza walishagawana. Na walishapewa watoto makubwa,uridhi wa Mama yao. Wanadai ni mali zilizoachwa na baba wagawane. Na Mzee Mengi alishagawa mali hizo kwa watoto wake wengine, wale wadogo.Sasa Jackie alidhani atashinda kweli mirathi ya kihuni ile iliyosomwa? Tangu lini mtu akawadeny watoto urithi mali ambazo kachuma na mke wake ambaye ni mama wa watoto ho anaowanyima bila sababu za msingi kutolewa?
Isitoshe mali yenyewe kaikuta na yeye alianzishiwa vya kwake!!! Mi naona alishikwa na tamaa tu. Bila mali hi halali ya watoto wa Mercy Mengi mbna Jackie anaishi vizuri tu na mwanaye????
Cha msingi hiyo biashara aliyoanzishiwa aiendeshe vizuri tu. Kama Mengi alikuwa ndiyo sababu ya kushamiri hiyo biashara basi pole zake!!!!
Uko sahihi kabisa. Jacky alijilengesha na alimpora mwenzake. Yaan ilikua ni target kbs. Ni kwasababu she wanted a gucci life[emoji23][emoji23]Kyln alimtongoza mengi. Alikuwa anamfuatilia mazingira anapokuwapo anajipitisha hadi mzee akamuona akamwita demu akapewa kazi ya P.A wa mzee ndio hadi mahusiano yakaanza huko huko.
Hospitali angepata magharama ya kulipa madokta na wahudumu purukushani ni nyingi plus its expensive na very messy work kuisimamisha hadi iwe na jina, ila pharmacy ni rahisi sana plus wateja ni wengi sana kuliko hata wa hospital.
Katika wagonjwa 10 wanakwenda hospital wanapohisi dalili ya kuuumwa sidhani hata 5, but i guarantee u, wagonjwa wote 10 lazima watatafuta dawa aidha baada ya kwenda hospital au hata bila kwenda na kujidiagnos wenyewe kuwa wanaumwa nn.
Mmmmmmhmn hiyo itategemea na circumstances za kifo mzee. Kama alihusika kumpa urithi ni kama kumpa mwizi mali aliyokwiba...Lakin kihalali Jack kama Jack si anatakiwa nae apewe mgawo wake kama mke wa marehemu?
Ewaaaah. Na habari wanaipataga wakiyaleta mitandaoni. Halaf jacky alivyo kisoda analeta habari za private jui ya afya ya marehem mitamdaoni? Really?[emoji23][emoji23] na ya malukanga atuwekeeUnajua hawa wanawake wanaotafuta maisha kupitia miili yao wanapenda sana kujivika vazi la kuonewa mara tu mitikasi zako zikivurugwa.