Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.