Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Dr.Slaa aliwahi weka wazi kwamba vijana wa system wazalendo wamechoshwa na matumizi mabovu ya rasilimali kwa Faida binafsi za kisiasa!!aliposrma hivyo akaonekana mchochezi na kuwekwa ndani!!

Leo wewe umethibitisha kile dokta slaa alisema wazi kabisa!!

Kwahiyo vyombo vya dola vimegawanyika na kusaliti matakwa ya mkuu!!?je na Ile hacking ya mtandao wa jeshi la polisi juzi juzi tuseme ni wao walichapisha Yale maksudi!!?

Sasa naanza kuunganisha dots,yawezekana deep down huko jikoni awamu hii Kuna kuviziana na kulana nyama wait kwa wao!!

Mchengerwa naona kajitoa mhanga kwa ajili ya mkwe wake eti amani,Sasa tujiulize ni amani Gani anayoizungumzia ya watu kupotezwa na kujeruhiwa hasta viongozi wa Dini!!?

Naendelea kufikiria Kwa undani!!!
Amani kwao ni kulinda walivyo navyo kwa gharama za damu za watu shame
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Kauli ya mlilo "Jeshi la polisi halihusiki" ni ngumu kueleweka lkn in real sense ile ni Kauli ya IGP kama mkuu wa Jeshi hilo.
Naanza kumwelewa Mlilo....

Picha inavyochezwa
1. Akua spotted mshukiwa.
2. Genge linapewa kazi(Baadhi wa watumishi wa vyombo vya usalama wanahusishwa personally sio kama taasisi)
3. Mshukiwa anategwa, ananasa, atabebwa, anapelekwa moja ya kituo cha Polisi (not official kama sehemu ya kumchukulia na ya kuzugia kama alipelekwa polisi but in real sense anapita tu hakuna taratibu yoyote ya kipolisi inafanyika), kukabidhiwa kwa wahusika (Genge)
4. Wahusika wa Genge wanamchukua kutoka polisi (port) wanaelekea nae nyumba maalum za mateso kama sehemu ya maandalizi ya kumdhuru eneo la.karibu au kwa kumsafirisha mbali kabisa.
5. Mungu ndio ataamua afe au anusurike kama Sativa!
6. Baada ya siku kadhaa polisi wana report official kuhusu kutokuhusika kwao kama taasisi!
 
Nchi imejaa mazezeta hii.

Namuonea huruma sana Lissu.

Anawapambania ng'ombe ambao hawaelewi wapo wapi na wanaelekea wapi.

Watanzania tunamuona gwajima mkombozi wakati aliyoongea yote yanajulikana kabla hata hajayaongea.

Tena kina Lissu wameongea mengi ya mana kuliko hata hayo ya Gwajima lakini kondoo wa Tanzania yanaingilia huku yanatokea kule.

CCM labda wakianza kuchinja watu hadharani mchana kweupe kila mtu akishuhudia labda akili za mtanzania ndio zitarudi.
sawa c mazezeta wewe mwenye hasira anza kujitoa mhanga wengine tutafuata
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Najaribu kujiuliza hao wakuu wa vitengo kama hawahusiki, inakuwaje wameshindwa kudhibiti hicho kikundi? Ina maana askari wote wa jw, police na tiss wamejiunga kwenye hicho kikundi? Hao wakuu hawezi wao kutengeneza counter attack ya kuzuia hicho kikundi kupitia maofisa watiifi kwao?
 
Kauli ya mlilo "Jeshi la polisi halihusiki" ni ngumu kueleweka lkn in real sense ile ni Kauli ya IGP kama mkuu wa Jeshi hilo.
Naanza kumwelewa Mlilo....

Picha inavyochezwa
1. Akua spotted mshukiwa.
2. Genge linapewa kazi(Baadhi wa watumishi wa vyombo vya usalama wanahusishwa personally sio kama taasisi)
3. Mshukiwa anategwa, ananasa, atabebwa, anapelekwa moja ya kituo cha Polisi (not official kama sehemu ya kumchukulia na ya kuzugia kama alipelekwa polisi but in real sense anapita tu hakuna taratibu yoyote ya kipolisi inafanyika), kukabidhiwa kwa wahusika (Genge)
4. Wahusika wa Genge wanamchukua kutoka polisi (port) wanaelekea nae nyumba maalum za mateso kama sehemu ya maandalizi ya kumdhuru eneo la.karibu au kwa kumsafirisha mbali kabisa.
5. Mungu ndio ataamua afe au anusurike kama Sativa!
6. Baada ya siku kadhaa polisi wana report official kuhusu kutokuhusika kwao kama taasisi!

Malizia then aijipii analambishwa 1B
 
sawa c mazezeta wewe mwenye hasira anza kujitoa mhanga wengine tutafuata
Unifuate wapi?

Wewe anza mdogo mdogo kupenda kupigania haki zako bila kumtegemea mwingine.

Mwingine akifanya hivyo mtajikuta mpo wengi mnaopigania jambo moja hapo inakuwa rahisi hata kuishinikiza serikali.

Watanzania wengi ni waoga wanasubiri mtu aje awasemee na awapambanie wao wako pembeni wanakuangalia.
 
Wakati wa awamu fulani, Gwagima alishafuatiliwa kuanzia Arusha mpaka Dar ila akawapiga chenja, hawakufanikiwa. Gwagima ni shujaa. Uzuri mmoja haogopi, ni sawa tu na Wakenya.
Mpwa unakumbuka walimtimbia Gwajima hospitali kumbe alikua na info zote kuwa utafatwa basi akakoki kimguu cha kuku chake kabisaa na akajifunika shuka ile wanafika tu wamfunue shuka akachomoza na kimguu cha kwio chake ,mwisho wakampa tu ile kesi ya kumiliki silaha, huyu jamaa nae umafia undava ndava na urefa wa leo wa Berkane anauweza
 
Ki ukweli, kila mtu kachoka kivyake

Sisi tusio na wa kutusemea huku uraiani hatuna matumaini na kesho yetu, maana watekaji wanamtokea yeyote bila hodi wanambeba hata iwe mchana, asubhi na muda wowote, na wakishamteka hakuna uchunguzi

Na labda uchunguzi kuhusu mateka, huwenda utatokea akipotea dullah tuombee hilo labda litokee


Dullah hawezi kupotezwa, kwa sababu watekaji wanatumwa na mzazi wake. Labda itokee bahati afanane na mkosoaji, halafu waliotumwa wafanye makosa, wamwangukie Dullah. Likitokea hilo, itakuwa faraja kubwa kwa waliowapoteza wapendwa wao. Na likitokea hilo, huenda ile kauli kwa anaowateka, ya kusema kifo ni kifo tu, itafutwa.
 
kwani kuongelea udhalimu ulio wazi hadi documents?....Huku ni kuzishushia hadhi documents....sema uthubutu ndio kivumbi na jasho.
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Bahati nzuri, Vyombo vya Dola vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vina nidhamu sana. Pamoja na kuchokonolewachokonolewa huwa vinakaa kimya.

Ila nawakumbusha hao wachokonoaji ya kwamba, Vyombo vya Dola vinamsikiliza na kupokea maelekezo kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo.

Sasa, endeleeni kujifanya mnavuvijua, ila vikiamka msilolome kama Martha Karua!
 
Back
Top Bottom