Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Nchi imejaa mazezeta hii.

Namuonea huruma sana Lissu.

Anawapambania ng'ombe ambao hawaelewi wapo wapi na wanaelekea wapi.

Watanzania tunamuona gwajima mkombozi wakati aliyoongea yote yanajulikana kabla hata hajayaongea.

Tena kina Lissu wameongea mengi ya mana kuliko hata hayo ya Gwajima lakini kondoo wa Tanzania yanaingilia huku yanatokea kule.

CCM labda wakianza kuchinja watu hadharani mchana kweupe kila mtu akishuhudia labda akili za mtanzania ndio zitarudi.
 
Mtu amekaa sebuleni kwa mume wa dada yake anapost akiwa na remote ya TV mkononi, na dada yake yuko chumbani kashika remote iliyo katika mwili wa mume

Sasa dada umekasirika nini? Kwa wewe kuolewa na shemeji ndo inatusaidia na sisi kuangalia movies hapa sebuleni huku wewe ukichezewa kinembe/chinembe au kwa lugha nyingine chiembe. Vumilia dada mwana kulitaka mwana kulipata. Leo weekend shemeji akuchape nao hasa. Ndo uanamke huo.
 
Sasa dada umekasirika nini? Kwa wewe kuolewa na shemeji ndo inatusaidia na sisi kuangalia movies hapa sebuleni huku wewe ukichezewa kinembe/chinembe au kwa lugha nyingine chiembe. Vumilia dada mwana kulitaka mwana kulipata. Leo weekend shemeji akuchape nao hasa. Ndo uanamke huo.


Dada yako atakusababishia ufukuzwe hapo. Unashangilia yeye kupigwa mti?
 
Dr.Slaa aliwahi weka wazi kwamba vijana wa system wazalendo wamechoshwa na matumizi mabovu ya rasilimali kwa Faida binafsi za kisiasa!!aliposrma hivyo akaonekana mchochezi na kuwekwa ndani!!

Leo wewe umethibitisha kile dokta slaa alisema wazi kabisa!!

Kwahiyo vyombo vya dola vimegawanyika na kusaliti matakwa ya mkuu!!?je na Ile hacking ya mtandao wa jeshi la polisi juzi juzi tuseme ni wao walichapisha Yale maksudi!!?

Sasa naanza kuunganisha dots,yawezekana deep down huko jikoni awamu hii Kuna kuviziana na kulana nyama wait kwa wao!!

Mchengerwa naona kajitoa mhanga kwa ajili ya mkwe wake eti amani,Sasa tujiulize ni amani Gani anayoizungumzia ya watu kupotezwa na kujeruhiwa hasta viongozi wa Dini!!?

Naendelea kufikiria Kwa undani!!!
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
MWAJIMA NI MZURI SANA AKITOKEA PEMBENI.
 
Ki ukweli, kila mtu kachoka kivyake

Sisi tusio na wa kutusemea huku uraiani hatuna matumaini na kesho yetu, maana watekaji wanamtokea yeyote bila hodi wanambeba hata iwe mchana, asubhi na muda wowote, na wakishamteka hakuna uchunguzi

Na labda uchunguzi kuhusu mateka, huwenda utatokea akipotea dullah tuombee hilo labda litokee

Hamna mtu mwenye uhakika wa kuamka kesho yake hata kama haumwi! Ni kama kundi la nyumbu sisi wanyonge yani simba anaamua kuchukua anayetaka muda wowote anaoamua yeye na akisikia njaa tu,

Gwajiboy said please STOP! Magnifying sauti ya aliyeko nyikani (Ukonga maximum security jail), wanyonge tunasupport kila anayetusemea hata kwa sentensi moja tu, hatujali! Ukiwa na kiu hutajali nani anakuletea maji, As long as yapo salama utapumzika nayo tu
 
Mtu amekaa sebuleni kwa mume wa dada yake anapost akiwa na remote ya TV mkononi, na dada yake yuko chumbani kashika remote iliyo katika mwili wa mume
Mbona hamtaki kuambiwa ukweli wa mambo au ndio nyie msiojulikana mnaanza kupata mhaho
 
Back
Top Bottom