Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

this time mtu yeyote atakayepambana na watekaji, awe gwajiboy au yeyote, watanzania watakuwa wanamsapoti. na wakizengua hata Tanganyika itadaiwa.
 
Mkolomije akiwa na cheo mambo ya UTEKAJI yanashamiri sana.

Mboga aligusia kidogo akawasanua watu wa Atown kwamba jamaa mkitaka habari zake nendeni "Salidalamu" mkaulize ,mtakimbia jinsi jamaa alivyoumiza watu.
Huyo hakuna asiyejua mabaya yake, ameshiriki sana kupoteza watu kipindi cha mwendazake
 
You've a point.

Mfano: Wale watu wa CHADEMA waliochukuliwa pale mahakamani Kisutu, mchana kweupe; mbele ya polisi wengi tu waliokuwepo hapo mahakamani siku hiyo.

Je watu hawa walibebwa kwenye magari ya polisi kupelekwa kule porini kupewa kipigo siku hiyo na kuvunjwa miguu?

Je, polisi walikuwa na taarifa yoyote juu ya hawa watu siku wanatekwa?

Je, polisi walifanya uchunguzi wowote kuhusu tukio hilo, kama hawakufanya uchunguzi, ni sababu zipi zilizuia kufanyika uchunguzi

Je, katika matukio yote ya utekaji na watu kupotea, polisi wamefanya uchunguzi na kutoa ripoti yoyote katika matukio hayo, na ni lipi wamelitolea ufafanuzi kamili (hata hilo la padri kuumizwa).

Ni wazi kabisa kwamba, hata kama siyo polisi wanaofanya kazi hiyo ya utekaji; jeshi hilo halina nguvu ya kuzuia hao wanaofanya kazi hiyo. Inawalazimu polisi kuwa sehemu ya utekaji huo kwa kutokuwa na uwezo wa kuzuia uhalifu huo.
Ni amri kutoka juu
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Nao ni wepesi tu, kama ni kweli. Kwani Traore alifanyaje ?
 
Anasema kuna MTU anamsubiria akomenti Tu ndio alipuke tena
 
From Zenj ndo watekaji
 
Sisi siyo wapumbavu wenzio
 
Back
Top Bottom