Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Wasalimie hapo Mzena
 
Wakati wa awamu fulani, Gwagima alishafuatiliwa kuanzia Arusha mpaka Dar ila akawapiga chenja, hawakufanikiwa. Gwagima ni shujaa. Uzuri mmoja haogopi, ni sawa tu na Wakenya.
Gwajiboy ni sawa na Lissu ni sawa na Wakenya. Ni watu wanaojielewa sio wapuuzi kama Joseph Kasheku Msukuma Class 7 pambaf kabisa
 
Mpwa unakumbuka walimtimbia Gwajima hospitali kumbe alikua na info zote kuwa utafatwa basi akakoki kimguu cha kuku chake kabisaa na akajifunika shuka ile wanafika tu wamfunue shuka akachomoza na kimguu cha kwio chake ,mwisho wakampa tu ile kesi ya kumiliki silaha, huyu jamaa nae umafia undava ndava na urefa wa leo wa Berkane anauweza
Hadi wanamfunua shuka,mabaunsa wake walikuwa wapi?
 
Bahati nzuri, Vyombo vya Dola vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vina nidhamu sana. Pamoja na kuchokonolewachokonolewa huwa vinakaa kimya.

Ila nawakumbusha hao wachokonoaji ya kwamba, Vyombo vya Dola vinamsikiliza na kupokea maelekezo kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo.

Sasa, endeleeni kujifanya mnavuvijua, ila vikiamka msilolome kama Martha Karua!
Kumbe amri jeshi mkuu ndo anatoa amri kwa vyombo vya dola kubaka na kuua watu?
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Kuna ukweli ndani ya hii mada.

Huyo mtu aitwae "Waziri" na Abduli, Awadh,....; na hawa wa Mikoa kadhaa, kama Mbeya na Mwanza, na baadhi ya maRCO; hili ndilo linalounda "Genge la Askari wa Samia", lililo tayari kumwaga damu ya waTanzania ili Samia aendelee kuwa Rais wa nchi hii. Akina Mchengerwa hawakosi kuwemo kwenye kundi hilo.

Hawa ndio wanaotakiwa kudhibitiwa kuzuia umwagaji wa damu ya waTanzania.
 
Mchengerwa naona kajitoa mhanga kwa ajili ya mkwe wake eti amani,Sasa tujiulize ni amani Gani anayoizungumzia ya watu kupotezwa na kujeruhiwa hasta viongozi wa Dini!!?
Mchengerwa kajitangaza mwenyewe bayana, kwamba yupo tayari kutoa maisha yake, kulinda AMANI inayowawezesha wao kuwakosesha waTanzania wengine kuwa na AMANI.
Kwa hiyo, hii tayari ni vita imetangazwa; kati ya wale wanaoilinda AMANI ya kuwawezesha kubaki madarakani, na wale ambao AMANI yao inanyakuliwa kwa nguvu.
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.

Mkolomije akiwa na cheo mambo ya UTEKAJI yanashamiri sana.

Mboga aligusia kidogo akawasanua watu wa Atown kwamba jamaa mkitaka habari zake nendeni "Salidalamu" mkaulize ,mtakimbia jinsi jamaa alivyoumiza watu.
 
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Kumbe kuna episode nyingi zinakuja ngoja nikae mkao wa kusikiliza
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Vyombo vyetu vikao imara Sana, hiki kikundi Cha utekaji kinachafua vyombo vyetu na nchi yetu
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
🤣🤣🤣🙌Eti mti mkavu
 
Kauli ya mlilo "Jeshi la polisi halihusiki" ni ngumu kueleweka lkn in real sense ile ni Kauli ya IGP kama mkuu wa Jeshi hilo.
Naanza kumwelewa Mlilo....

Picha inavyochezwa
1. Akua spotted mshukiwa.
2. Genge linapewa kazi(Baadhi wa watumishi wa vyombo vya usalama wanahusishwa personally sio kama taasisi)
3. Mshukiwa anategwa, ananasa, atabebwa, anapelekwa moja ya kituo cha Polisi (not official kama sehemu ya kumchukulia na ya kuzugia kama alipelekwa polisi but in real sense anapita tu hakuna taratibu yoyote ya kipolisi inafanyika), kukabidhiwa kwa wahusika (Genge)
4. Wahusika wa Genge wanamchukua kutoka polisi (port) wanaelekea nae nyumba maalum za mateso kama sehemu ya maandalizi ya kumdhuru eneo la.karibu au kwa kumsafirisha mbali kabisa.
5. Mungu ndio ataamua afe au anusurike kama Sativa!
6. Baada ya siku kadhaa polisi wana report official kuhusu kutokuhusika kwao kama taasisi!
You've a point.

Mfano: Wale watu wa CHADEMA waliochukuliwa pale mahakamani Kisutu, mchana kweupe; mbele ya polisi wengi tu waliokuwepo hapo mahakamani siku hiyo.

Je watu hawa walibebwa kwenye magari ya polisi kupelekwa kule porini kupewa kipigo siku hiyo na kuvunjwa miguu?

Je, polisi walikuwa na taarifa yoyote juu ya hawa watu siku wanatekwa?

Je, polisi walifanya uchunguzi wowote kuhusu tukio hilo, kama hawakufanya uchunguzi, ni sababu zipi zilizuia kufanyika uchunguzi

Je, katika matukio yote ya utekaji na watu kupotea, polisi wamefanya uchunguzi na kutoa ripoti yoyote katika matukio hayo, na ni lipi wamelitolea ufafanuzi kamili (hata hilo la padri kuumizwa).

Ni wazi kabisa kwamba, hata kama siyo polisi wanaofanya kazi hiyo ya utekaji; jeshi hilo halina nguvu ya kuzuia hao wanaofanya kazi hiyo. Inawalazimu polisi kuwa sehemu ya utekaji huo kwa kutokuwa na uwezo wa kuzuia uhalifu huo.
 
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.

Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.

Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.

Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.

Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi

Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Dula makabila ndiyo afisi ndogo inajulikana mbona kitambo na project Kibao kushirikiana na kengeza kuficha siri za uovu. Iko siku mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom