Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Unataka upigwe mtungo na watu wangapi ndo ufeel?Tungo nyepesi
Acha matusiUnataka upigwe mtungo na watu wangapi ndo ufeel?
Mbona unafanywa sasa? Tuliza kipago.Acha matusi
Kama kweli wewe ni mti mkavu watate has watatu walioitwa na mtaje aloyewaita na akampa document Gwajima. Thubutuuuuuuuuu.
Be gentlemanMbona unafanywa sasa? Tuliza kipago.
Na mimi sipo Kijotonyama. Huko unapafahamu wewe.Labda Kijotonyama Kanisani 😁
Na mimi sipo Kijotonyama. Huko unapafahamu weweLabda Kijotonyama Kanisani 😁
Be a gentlewoman.Be gentleman