Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

Amani kwao ni kulinda walivyo navyo kwa gharama za damu za watu shame
 
Kauli ya mlilo "Jeshi la polisi halihusiki" ni ngumu kueleweka lkn in real sense ile ni Kauli ya IGP kama mkuu wa Jeshi hilo.
Naanza kumwelewa Mlilo....

Picha inavyochezwa
1. Akua spotted mshukiwa.
2. Genge linapewa kazi(Baadhi wa watumishi wa vyombo vya usalama wanahusishwa personally sio kama taasisi)
3. Mshukiwa anategwa, ananasa, atabebwa, anapelekwa moja ya kituo cha Polisi (not official kama sehemu ya kumchukulia na ya kuzugia kama alipelekwa polisi but in real sense anapita tu hakuna taratibu yoyote ya kipolisi inafanyika), kukabidhiwa kwa wahusika (Genge)
4. Wahusika wa Genge wanamchukua kutoka polisi (port) wanaelekea nae nyumba maalum za mateso kama sehemu ya maandalizi ya kumdhuru eneo la.karibu au kwa kumsafirisha mbali kabisa.
5. Mungu ndio ataamua afe au anusurike kama Sativa!
6. Baada ya siku kadhaa polisi wana report official kuhusu kutokuhusika kwao kama taasisi!
 
sawa c mazezeta wewe mwenye hasira anza kujitoa mhanga wengine tutafuata
 
Najaribu kujiuliza hao wakuu wa vitengo kama hawahusiki, inakuwaje wameshindwa kudhibiti hicho kikundi? Ina maana askari wote wa jw, police na tiss wamejiunga kwenye hicho kikundi? Hao wakuu hawezi wao kutengeneza counter attack ya kuzuia hicho kikundi kupitia maofisa watiifi kwao?
 

Malizia then aijipii analambishwa 1B
 
sawa c mazezeta wewe mwenye hasira anza kujitoa mhanga wengine tutafuata
Unifuate wapi?

Wewe anza mdogo mdogo kupenda kupigania haki zako bila kumtegemea mwingine.

Mwingine akifanya hivyo mtajikuta mpo wengi mnaopigania jambo moja hapo inakuwa rahisi hata kuishinikiza serikali.

Watanzania wengi ni waoga wanasubiri mtu aje awasemee na awapambanie wao wako pembeni wanakuangalia.
 
Wakati wa awamu fulani, Gwagima alishafuatiliwa kuanzia Arusha mpaka Dar ila akawapiga chenja, hawakufanikiwa. Gwagima ni shujaa. Uzuri mmoja haogopi, ni sawa tu na Wakenya.
Mpwa unakumbuka walimtimbia Gwajima hospitali kumbe alikua na info zote kuwa utafatwa basi akakoki kimguu cha kuku chake kabisaa na akajifunika shuka ile wanafika tu wamfunue shuka akachomoza na kimguu cha kwio chake ,mwisho wakampa tu ile kesi ya kumiliki silaha, huyu jamaa nae umafia undava ndava na urefa wa leo wa Berkane anauweza
 


Dullah hawezi kupotezwa, kwa sababu watekaji wanatumwa na mzazi wake. Labda itokee bahati afanane na mkosoaji, halafu waliotumwa wafanye makosa, wamwangukie Dullah. Likitokea hilo, itakuwa faraja kubwa kwa waliowapoteza wapendwa wao. Na likitokea hilo, huenda ile kauli kwa anaowateka, ya kusema kifo ni kifo tu, itafutwa.
 
kwani kuongelea udhalimu ulio wazi hadi documents?....Huku ni kuzishushia hadhi documents....sema uthubutu ndio kivumbi na jasho.
 
Bahati nzuri, Vyombo vya Dola vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vina nidhamu sana. Pamoja na kuchokonolewachokonolewa huwa vinakaa kimya.

Ila nawakumbusha hao wachokonoaji ya kwamba, Vyombo vya Dola vinamsikiliza na kupokea maelekezo kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo.

Sasa, endeleeni kujifanya mnavuvijua, ila vikiamka msilolome kama Martha Karua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…