Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Wasalimie hapo MzenaWakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Mmeasikia Wakenya wanavotuona Wadanganyoka??? Napita tu!Watangayika ni rahisi sana kutapeliwa
Gwajiboy ni sawa na Lissu ni sawa na Wakenya. Ni watu wanaojielewa sio wapuuzi kama Joseph Kasheku Msukuma Class 7 pambaf kabisaWakati wa awamu fulani, Gwagima alishafuatiliwa kuanzia Arusha mpaka Dar ila akawapiga chenja, hawakufanikiwa. Gwagima ni shujaa. Uzuri mmoja haogopi, ni sawa tu na Wakenya.
Hadi wanamfunua shuka,mabaunsa wake walikuwa wapi?Mpwa unakumbuka walimtimbia Gwajima hospitali kumbe alikua na info zote kuwa utafatwa basi akakoki kimguu cha kuku chake kabisaa na akajifunika shuka ile wanafika tu wamfunue shuka akachomoza na kimguu cha kwio chake ,mwisho wakampa tu ile kesi ya kumiliki silaha, huyu jamaa nae umafia undava ndava na urefa wa leo wa Berkane anauweza
Ni kazi ya kinabii,Hapo Dr. Gwajima kafanya kazi ya Kitume:
Kumbe amri jeshi mkuu ndo anatoa amri kwa vyombo vya dola kubaka na kuua watu?Bahati nzuri, Vyombo vya Dola vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vina nidhamu sana. Pamoja na kuchokonolewachokonolewa huwa vinakaa kimya.
Ila nawakumbusha hao wachokonoaji ya kwamba, Vyombo vya Dola vinamsikiliza na kupokea maelekezo kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo.
Sasa, endeleeni kujifanya mnavuvijua, ila vikiamka msilolome kama Martha Karua!
Kuna ukweli ndani ya hii mada.Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Mchengerwa kajitangaza mwenyewe bayana, kwamba yupo tayari kutoa maisha yake, kulinda AMANI inayowawezesha wao kuwakosesha waTanzania wengine kuwa na AMANI.Mchengerwa naona kajitoa mhanga kwa ajili ya mkwe wake eti amani,Sasa tujiulize ni amani Gani anayoizungumzia ya watu kupotezwa na kujeruhiwa hasta viongozi wa Dini!!?
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Kumbe kuna episode nyingi zinakuja ngoja nikae mkao wa kusikilizaNdo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Vyombo vyetu vikao imara Sana, hiki kikundi Cha utekaji kinachafua vyombo vyetu na nchi yetuWakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
🤣🤣🤣🙌Eti mti mkavuWakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.
Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina ratibiwa na watu kadhaa ndo kinahusika hupewa hata sare za jeshi. Ila mratibu anajulikana ndo ana hicho kikosi kazi cha wahalifu.
Ndo mkuu mmoja akasema. Mpigieni Gwajima yule kichwa chake anakijua mwenyewe. Ndo kumpigia. Akasema ....aaaaah hiyo mbona kazi ndogo sana nipeni taarifa. Wakampa. Akakaa akazitafakari akasema naanza na hili kwanza. Ndo akaanza.
Wengi walikataa wakihofia maisha na nafasi zao.
Kutoka Kijitonyama nikireport ni mimi
Mti Mkavu Hauchimbwi Dawa.
Mtu unayejulikana,nawe uusehemu ya kikosi kazi?Unataka upigwe mtungo na watu wangapi ndo ufeel?
Mbona alisema Gwajima mwishoni, ushauri usipozingatiwa atakuja TenaKumbe kuna episode nyingi zinakuja ngoja nikae mkao wa kusikiliza
You've a point.Kauli ya mlilo "Jeshi la polisi halihusiki" ni ngumu kueleweka lkn in real sense ile ni Kauli ya IGP kama mkuu wa Jeshi hilo.
Naanza kumwelewa Mlilo....
Picha inavyochezwa
1. Akua spotted mshukiwa.
2. Genge linapewa kazi(Baadhi wa watumishi wa vyombo vya usalama wanahusishwa personally sio kama taasisi)
3. Mshukiwa anategwa, ananasa, atabebwa, anapelekwa moja ya kituo cha Polisi (not official kama sehemu ya kumchukulia na ya kuzugia kama alipelekwa polisi but in real sense anapita tu hakuna taratibu yoyote ya kipolisi inafanyika), kukabidhiwa kwa wahusika (Genge)
4. Wahusika wa Genge wanamchukua kutoka polisi (port) wanaelekea nae nyumba maalum za mateso kama sehemu ya maandalizi ya kumdhuru eneo la.karibu au kwa kumsafirisha mbali kabisa.
5. Mungu ndio ataamua afe au anusurike kama Sativa!
6. Baada ya siku kadhaa polisi wana report official kuhusu kutokuhusika kwao kama taasisi!
Naanza kuamini ile thread ilisema humu "Kabla ya July kuna kishindo"Mbona alisema Gwajima mwishoni, ushauri usipozingatiwa atakuja Tena
Ila mara hii haitakuwa km ya kwanza
kumbe ukipumuliwa nyuma unaona kwepesi.ccm akili zenu za kishoga shogaTungo nyepesi
Dula makabila ndiyo afisi ndogo inajulikana mbona kitambo na project Kibao kushirikiana na kengeza kuficha siri za uovu. Iko siku mbivu na mbichiWakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari.