WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

nimegundua haya madude yamekushika sana mkuu. Yaani vitu ambavyo havina proof. Sikuwahi kutegemea kuwa kuna mtanzania anaamini mambo mepesi kishabiki hivi.

Tunazungumzia Extraterestrail being wenye uwezo zaidi ya Mara Mia wa Binadamu (Kwa mujibu wa Wanaoamini). Jamaa wanachimba Underground Station tena HAO VIUMBE ETI pamoja na uwezo mliowapa wanamsubiria huyo jamaa aje awapige risasi. Kwa akili ya kijijini kabisa hizo stori hazina mantiki. Ngoja niiandike yote. Eti UFO akampiga na kumkata Vidole Kisha kukimbia. Daa!!! nimeelewa kwa nini hauna ujasiri wa kuyanena haya waziwazi hadi tukupress sana maana unajua hayana Mantiki. Na wengi walishazipuuza hizo stori maana hakuna Uthibitisho na ni za kufirika. Nimegundua tunakazi kubwa sana bado. Na nafikiri haya ni madhara ya kuaminishwa haya mambo ni siri hivyo unajilimit kufikiri. Ni bora sana ungeyaweka kama MYTH au Assumptions ili ikiwa sio kweli iwe safi sasa mkuu unajiaminisha kabisa stori zile daa!!!!
 
kama basis ya haya unayotoa unayaassociate na maelezo ya yule jamaa yako. Basi utakuwa na tatizo kubwa sana.
nitaeleza baadae kdg
Huyu siyo main basis bali ni sehemu ya bahari kubwa sana ya msingi wa yote haya.....

Nasubiria uje useme unachotaka kusema lakini najua utajichanganya tu....
 
nimegundua haya madude yamekushika sana mkuu. Yaani vitu ambavyo havina proof. Sikuwahi kutegemea kuwa kuna mtanzania anaamini mambo mepesi kishabiki hivi.
Proof,siyo? What kind of proof do ypou need mr?

Hahahahahaaaaaaa......Eti proof....

Unanifurahisha sana aisee....
Ngoja niache hizi hadithi zako za ajabu na nikuulize kijiswali....

Huyu ndugu nini kilitokea baada ya kukutana na timbwili la hawa viumbe?

Maana naweza kuwa najadiliana na mtu ambey ameangalia vijipande vijipande tu vya documentary ahalfu anajengea hoja hivyo vipande kama ulivyofanya kwenyer kitabu cha Enoch....

Nijibu kwanza hicho kijiswali mkuu....
 
Nitakueleza kila kitu maana wewe unaona aibu kufunguka kwa sababu wenda huna uhakika.

Hawa jamaa zako ndio waliingia Mkataba na US mwaka 1954. Na wanampango wa Kuitawala Dunia (NWO). Eti wameshaua wanadamu kati ya Mil 6 hadi 8. Na Wanampango wa kupunguza watu kabisa hadi wabaki wachache. Kisha Wawatawale wanadamu wote kama watumwa Kwa faida yao. Mkuu mbona unatolewa kwenye mstari na story za kufikirika kirahisi namna hii aisee. Kisa Umeambiwa siri umekunywa bila kufikiri. Huu ni mpango wa kuwatoa watu kwenye BIG PICTURE ya NWO ili wakazi wa dunia wawe na hofu. These things are not only Unscientific but also non-biblical.
 
UFO's ni nini mkuu embu jaza nyama kidogo katika hili.
 
Hilo la Mussa sina haja kuuliza maana liko wazi. La Adamu unaweza kusaidia hata kwa kifupi maana ndugu yake mwingine Kaini alikua Seti. So Kaini na Seti walioa kina nani?

Ndio maana mi naona ni stori tu ile. Unless iwe kuwa Mungu aliumba wengine zaidi ya Adamu.
 
Mkuu naomba majibu juu ya uwepo wa alliens,,na je viumbe hawa wanaishi miaka mingi kama tunavo aminishwa,na je wanapatikana nchi gani?? Je ni kweli ni viumbe wenye akili nyingi sana duniani??


,,ahsante.
 
STORY FUPI YA HUYU MBABE PHIL SCHNEIDER KAMA ULIVYOMLETA MKUU Eiyer

1:BACKGROUND

Huyu ni mmarekani ambaye amejitambulisha kama alikuwa mfanyakazi wa Serikali. Professionally ni Geologist na Structural engineer ambaye kwa muda wa miaka 17, Alishiriki katika Mipango ya Siri ya Kujenga Underground Top Secret Military bases Huko marekani Au GOVEMENT black projectS (Rhyolite 38 Clearance).
Alijifunza Mwenyewe METALLURGIST na Akawa na Mbinu za Kutengeneza Milipuko ambayo ilimpa ujuzi wa kumfanya afae kushiriki kwenye miradi Hii Ya siri kubwa duniani kwa Mujibu wa wanaemuamini.

2:VITU AMBAVYO ANAVIELEZA MBABE HUYU;
1: Serikali ya Marekani iliiingia mkataba na Viumbe hawa mwaka 1954. Aliingia mkataba na SPECIES 11 ya Hawa Extraterrestrial Beings/UFO/ALIENS .

2: ANasema Hizi Black Projects za chini ya Ardhi Huko marekani zinaigharimu serikali USD Trill1.03 Kila baada ya miaka Miwili. Kitu ambacho hakuna raia anayeishi huku juu ardhini anajua. Huko wanaendesha Miradi amabayo Technologia yake iko miaka 1000 mbele ya hii tunayoiona sasa hapa ardhini.

3:Anadai anatembea na kipande kidogo cha chuma (TITANIUM METAL ALLOY) amabayo alikipata katika mapambazo na hawa wadudu. Ila anasema technology hiyo kutoka kwa hawa viumbe US wametumia kutengeneza SR-71 Blackbird, F117A Nighthawk, “black” helicopters, satellites, and Phoenix Nuclear Submarines.

4:Anasema katika ushuhuda wake yeye ameshiriki kujenga Vituo hivyo vya Chini ya Ardhi marekani zaidi ya 131 Vinavyounganishwa kwa TRENI ZENYE SPEED NA TECHNOLOGY YA HALI YA JUU. TRENI HIZO ZINAZUNGUKA CHINI YA ARDHI KIMYAKIMYA HAKUNA MTU YOYOTE HUKU JUU ANAJUA> HUKO JAMAA HAO UFO NA MAELFU YA WANADAMU WAKO BIZE WANAANDAA MIPANGO.(DUMP PROJECTS). Miradi kama hii amabyo imeunganishwa chini kwa chini imetapakaa Dunia nzima vipo vituo zaidi ya 1000 chini ya ardhi.


3:TUKIO ALILOSHIRIKI NA LINALOKMFANYA AWE MTU WA KUTUMAINIWA DUNIANI ALIYEVUJISHA SIRI HIZO

mWAKA 1979 Alikuwa katika harakati ya UJENZI WA KITUO HICHO cha chini ya ardhi huko Dulce Military Compound, Los Alamos Jimbo la NEW MEXICO.
Yeye akiwa na Kikosi cha Delta force wakiwemo na wanajeshi wa nato (WATU 66). Anasema walitumia HIgh tech drilling mashine kushimba chini ili wajenge hiyo base. Baada ya zoezi kuwa Gumu alitumwa chini kuangalia nini Kilichokuwa kinakwamisha Hilo zoezi akisindikizwa na mwenzake. ANasema Kumbe Walikuwa wanachimba Juu ya BASE ya HAWA ALIEN Wailikwa na kakambi kao hapo chini ya arthi mahala ambapo wao pia walikuwa wakichimba. Ndipo akakutana na hao GREY ALIENS uso kwa Uso. Katk mpambano huo na hao viumbe wenye akili sana Alichomoa Pistol yake akafanikiwa kuwaua wawili huko chini. Kisha mmoja akafunua tumbo lake Kama Samaki Ikatoka mionzi iliyompiga na Kumkata vidole pia Kumsababishai madhara kama kansa. Green Beret (SPECIAL US FORCE) aliyekuwa karibu nae akamtupia kwenye Lift faster na kufanikiwa kutoroka na Kurudi juu ya ardhi. Pia anareport wengine wote waliokuwa kwenye mchakato huo akiwemo huyo aliyemuokoa waliuwawa na wadudu hao kisha yeye na wenzake wawili walifanikiwa kutoroka.


Amezunguka Duniani na sehemu mbali mbali kama mwanaharakati wa kuhamasisha wanadamu kupambana na viumbe hawa na kuvujisha siri hizi. Ametoa zaidi ya LEcture 30 sehemu mbalimbali miaka miwili kabla hajafa.
Anadai amenusurika vifo zaidi ya mara 13 na ilibidi atembee na pistol ili kujihami. Alikutwa amekufa kwenye apartment yake January 17, 1996 Huko Oregon Marekani. Na report zilizovuja zinasema alikutwa na mpira Shingoni kana kwamba kanyongwa au kajinyonga. Familia yake, wafuasi wake na marafiki wanaamini aliuwawa kutokana na kuvujisha hizo siri.

Kwa Ufupi hii ndio story ya HuyU MDAU AMBAYE MKUU Eiyer anaomba tumuamini. Mkuu naomba uedit kama nimekosea na kama kuna mtu anamaswali akuulize.


VIDEOS ZA MIADHARA YAKE, MKUU HAPO KATUWEKEA KAMOJA TU
Phil Schneider 1 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 2 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 3 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 4 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 5 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 6 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube
Phil Schneider 7 of 7 DULCE ALIEN CONFRONTATION - YouTube

MAPAMBANO KWA UFUPI KATIKA PICHA
 

Attachments

  • upload_2016-11-30_20-12-20.jpeg
    10 KB · Views: 54
  • upload_2016-11-30_20-11-26.jpeg
    13.9 KB · Views: 92
Endelea......
 
Kuhusu kutawala dunia ninachokujua mimi hawa ni sehemu ya mpango na siyo wenye mpango wenyewe....

Kuna Nephilims
Kuna Wanadamu ambao DNA zao zimechezewa na hawa viumbe...
Kuna fallen angels ambao ndiyo wenye mpango huu...

Ninachokijua hadi sasa ni kwamba hawa wanaweza kuwa ni matokeo ya creatoion ya fallen angels....

Endelea kueleza kisha uje na hoja zako niko nakusubiri kwa hamu,kazi yangu ni kufyeka vichaka vyote utakavyokuwa umejifichia......
 
Mkuu naomba majibu juu ya uwepo wa alliens,,na je viumbe hawa wanaishi miaka mingi kama tunavo aminishwa,na je wanapatikana nchi gani?? Je ni kweli ni viumbe wenye akili nyingi sana duniani??


,,ahsante.
Kwa nijuavyo,Alliens wanaishi maisha marefu kuliko binadamu,wao wanaishi maelfu ya miaka.Hawa viumbe wapo hapa hapa duniani na hawatoki kwenye sayari nyingine na wanapatikana kwenye mataifa yote makubwa duniani unayoyajua....

Alliens siyo viumbe wenye akili zaidi isipokuwa wana uwezo zaidi ya binadamu wa kfanya baadhi ya mambo....
 
Kwanza ninaomba urudie kukili kama hii story unaiamini kuwa ni kweli ili nipate uhalali wa kukuhoji.
 
Kwa hiyo unapingana na Mtaalamu wako au.
 
Kwa hiyo unapingana na Mtaalamu wako au.
I see....

Sababu ya msingi ya kumleta hapa ni kukuonesha kuwa alikutana ana kwa ana na hao viumbe,suala nililolizungumzia ni lingine kabisa ambalo yeye naye ana mitazamo yake....

Ni sawa leo ukutane na jini nje ya nyumba yako.Sisi tutakuchukua wewe kama shahidi tu ambaye uliona jini lakini kitendo cha wewe kuliona jini hakukufanyi ukajua majini yana lengo gani na yalitoka wapi....

Phil Schneider ni mtaalam wa miamba tu,kwenye maisha yake hakuwahi kufanya utafiti wa kina na kujua Aliens wametoka wapi na wana lengo gani hapa duniani,alichokifanya ni kufuatilia kidogo tu kwenye kipindi cha maisha yake kabla hajauawa....

Tofautisha hayo mambo jombaa.Mimi naweza kuwa najua jambo hilo kuliko yeye...
 
Lakini wakuu historia haifichi kwamba hawa akina Plato, Pythogaras, Socrates na wengine kwamba walijifundisha maarifa ya watu wengine toka mashariki au Afrika (hasa Misri). Kwa hivyo tusiweke mkazo sana kuonesha wazungu wameficha ukweli huu wa kwamba wamechota maarifa toka tamaduni zingine. Uzuri ni kuwa wazungu ni wazuri ktk kuiga maarifa ya wenzao na kuyaboresha(they do enhancement) kiasi kwamba unadhani wao ndio waanzilishi.
 
hiyo story nnimeisoma na unaweza kuhoji kwakuwa iko sahihi....
Geologist anaenda kuchimba akiwa na Bastola. Ni sawa na wewe kuchimba shimo la choo ukiwa na silaha. huoni kuwa hzo ni fix za kitoto. Na hapo walipokwa hao Alien hawakuwa hawana exit point. Tangu lini Kiumbe mwenye akili nyingi kama unavyomsifia asubiri kupigwa risasi wakati wamekuwa wkichimba eneo lao muda mrefu tu. Fikiri kidogo tu.
 
Sasa yeye ndio kavujisha hizo stori wewe unataka kumkimbia tena. Anasema Dunia nzima na anatoa na idadi ya vituo na location. Na anaelezea hadi vituo vingine viko Russia china. Uongo huu lengo lake ni kukuaminisha kuwa kuna jamaa wako underground akiwa anashirikiana na hawa viumbe ili watawele dunia. SOurce gani tena wakati huyu unadai kauwawa kwa kusema haya. Mkuu mbona hueleweki au una mwingine umlete
 
Endelea......
  1. Dulce in New Mexico
  2. Brecon Beacons in Wales
  3. Los Alamos in Mexico
  4. Pine Gap in Australia
  5. The Snowy mountains in Australia
  6. The Nyala range in Africa
  7. West of Kindu in Africa
  8. Next to the Libyan border in Egypt
  9. Mount Blanc in Switzerland
  10. Narvik in Scandinavia
  11. Gottland island in Sweden and many other places
  12. Hapo juu ni list ya mfano tu ya hizo Deep Underground Millitary Bases D.U.M.Bs sehemu mbalimbali , na anasema hadi kufikia mwaka huo anatoa hizo hotuba kulikuwa na hizo underground bases 1477 zimetapakaa Dunia nzima. Huku zimeunganishwa na Treni za chini kwa chini zenye uwezo ambao hakuna mtu duniani amewahi kuziona. Huko chini wanadamu na aliens wanashirikiana kutengeneza silaa ili waje Aliens waje watawale dunia kwa like unachoita NWO.

Anasema 62 ya hizi DUMBS zinatumika kuwahifadhi hawa ALIENS warefu kwa wafupi pamoja na Vifaa au ndege zao za kusafiria.


AGENDA YA HAWA ALLIENS KULINGANA NA HUYU JAMAA YAKO

Anasema lengo la hawa viumbe (ALLIEN) kushirikana na wanadamu na kujenga hivyo vituo dunia nzima vya siri chini ya ardhi ni kwamba hadi kufikia 2029 WAITAWALE DUNIA NZIMA kwa kitu kinachoitwa NEW WORLD ORDER. Mkandarasi wa Serikali ya marekani EG&G alipewa tenda ya kushirikiana na hawa ALLIENS katika hiyo miradi. Kuna jumla ya kabila saba za hawa ALIEN wanaoishi duniani na wengine waovu kabila kama NNE nao wapo.

Mikataba takribani Minne ilisainiwa kati ya serikali ya marekani na Hizi Koo za ALiens mwaka 1944, 1954, 1962, na 1979.
Mkataba uliosainiwa Mwaka 1954 uliitwa Greata Treaty kati ya serikali ya marekani na Grey Aliens ili Serikali Isuply watu huko chini kwa ajili ya Kuchunguzwa na aliens na kuwapa maujanja ya kitechnologia kama unavyamini. Anasema hawa walitokea sehemu iitwayo Zeta Reticuli.

Anaonya dunia kuhusu kuwepo kwa mkakati huo wa kuiteka dunia yote kabisa. Yaani wanadamu wote kuwa chini ya TOTARITALIAN DICTATORSHIP chini ya hawa viumbe ALIENS/NEPHILS/SEMISHETANI BEINGS (Acording to you also) Dunia nzima inakuwa kama POLICE STATE. Kuhakikisha hakuna wa kufurukuta hao viumbe wameandaa Black hericopters 64,000 ingawa hakusema zimewekwa wapi. Pia anadai kuwa 107,2000 Magereza yanayotembe (Prison box cars ) zimeandaliwa, Hilo gereza tembezi lina pair 143 ya sehemu pa kufungia watu lenye jumla ya uwezo wa kuwafunga hadi wamarekani15 Milioni watakaogomea huo mkakati. Hao wabishi watapelekwa kwenye kile kinachoitwa "Fema Detention camps " zitakazokuwa zimeandaliwa hasa hii ni kwa wana US wabishi.

Mkuu hii ndio habari unayoogopa kuielezea imebidi nieleze ili tujue unakwepa nini na tupate uhalali wa kukuhoji.
Haya yote sijatunga mimi ni kutoka kwenye source huyu mdau na video lecture zake.

USHAURI, Inawezekana unawazo zuri lakini Source ulizonazo zitakupotosha. Narudia tena kwa mara nyingine hii mipango ya dunia kutawaliwa na kuwa kitu kimoja ni mipango ya wanadamu tu na hakuna cha aliens wala nini hivyo ni vichaka vya kuwaficha watu wachanganyikiwe na kuogopa. Ndio maaana wewe sio tu kwenye hii thread popote utakapokuwa unacomment unaleta hzi story kwa hofu alafu ufunguki. Nimekuwa najiuliza huyu jamaa anakitu gani anachoficha? na sio mimi watu wengi tu. Atleast sasa tunaweza kwenda sawa maana mbichi na mbivu ziko mezani.

Nakushauri umuombe Mungu Urudi kusoma Daniel 2, Daniel 7 with suported books huku ukitoa concept zako za aliens, utagundua umechelewa kujua vitu vingi sana ambavyo bibilia ilivisema na ni kweli vitatokea.

KWa elimu hii hii ya viumbe wasio watu Unaamisha goli na kutumia mzigo WW1,WW2,HIV aids,EBOLA etc hao MAUFO, na ELIENS, NEPHILS na MACHOTARA Wa Shetani lkn kwa ukweli hii ni mipango ya wanadamu kabisa. Ukielewa hilo utakuwa umepiga hatua kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…