MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
-
- #141
SIO LUCIFER MKUU ni SHETANI NA IBIRISI. KUMUITA LUCIFAER WAKATI AMESHAKUWA IBIRISI KITAMBO HICHO KABYA YA KUFURUSHWA KUTOKA MBINGUNI.Haya yote yanayoongelewa na tunayoyashuhudia inaelezwa ni kazi ya lucifer. Kwa uelewa wangu mdogo, nafaham lucifer alipambana na Kristo Yesu akashindwa akapokonywa funguo ya kuzimu na akafungiwa huko akisubiri hukumu. Najiuliza hii mipango yote shetan aliipanga na kuanza kuitekeleza kabla hajafungiwa kuzimu au akiwa kuzimu ana uwezo wakutekeleza mipango yake?
1871,Giusepe Mazzin alikuwa hai? Labda utwambie, Giusepe GaribaldiBarua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.
Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na magharibi ikiwemo gazeti la Kiingereza, THE SUN, kitabu Descent into Slavery na kunukuliwa na gazeti la daily mail UK la 16:46GMT, 7 March 2016, http://www.dailymail.co.uk/news/article-3480720/Letter-written-Confederate-officer-150-years-ago-predicted-two-World-Wars-said-Islamic-leaders-West-just-hoax.html#comments pamoja na vyanzo lukuki mitandaoni imeibua utata mkubwa na wenda ikaandika upya historia ya dunia.
Mambo yanayoibuka katika barua hiyo;
1: VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vilitengenezwa ili kuusambaratisha utawala wa kifalme wa Czar huko urusi na kupandikiza u communism. RUSSIA hii ya kicommunist iliandaliwa kwa shughuli maalumu hapo baadae kubalance power Kati ya West na East. Mwaka 1917 mapinduzi makubwa ya kijeshi yalitokea urusi inasemekana yalikuwa financed na matajiri wakubwa duniani waliojificha nyuma ya mpango huu na kuwaweka madarakani wasoviet au wakomunist.
Kama ilivyotabiriwa na barua ya nguli huyu mwenye kuhusishwa na chama cha siri cha kiiluminati.
2: VITA VYA PILI VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vililenga rasmi kuchochea chuki Kati ya wayahudi na wanazi. Na baadae lianzishwe taifa la kisiasa la kizayuni au israel kwa ajili ya mpango maalum na ndio matokeo ya vita hivyo. Pili ni kuiinua urusi ya kicommunist kuwa na nguvu ya kutosha na kuifanya dunia yenye mataifa mawilli yenye nguvu duniani ili kwa baadae yatumike kwa mpango maalum.
3: VITA HIVI VINAVYOENDELEA SASA VITA DHIDI YA UGAIDI /EXTREMESTS
Vita hivi vinahusishwa na matukio yote ya kigaidi, vita vya Iraq, Afghanistan, matukio kama ya September 11th, na fukuto linaloendelea Sasa huko middle east na mengine mengi yajayo ya aina hiyo. Vita hivi lazima vichochee uhasama Kati ya waarabu na wayahudi wachukiane kiasi cha kila mmoja kumuaribu kabisa mwenzake.
Vita hivi vitaijumuisha dunia nzima, Visambae kimwili, kimaadili, kiroho na kiuchumi kuwaandaa wakazi wa dunia kuwa kitu kimoja na kuwa socially minded. Na ikiwezekana hata kubomoa sheria za nchi yoyote Ile ili kupambana na adui gaidi au mtu yoyote hatarishi kwa ufafanuzi za wahusika.
Hii barua na huu mpango wengine wanaona ina ukweli ndani yake, wengine wanaona ni kitu cha kutungwa na kubuniwa. Na wengine wanabaki katika dilema.
Hii ndio dunia yetu.
1871,Giusepe Mazzin alikuwa hai? Labda utwambie, Giusepe Garibaldi
Uko sawa mkuu ,nilitaka kupta ukweli ambao sasa nimeupata [emoji122]
Born: June 22, 1805, Genoa, Italy
Died: March 10, 1872, Pisa, Italy
Influenced by: Plato, Jean-Jacques Rousseau, Joseph de Maistre,More
Parents: Maria Drago, Giacomo Mazzini
Giuseppe Mazzini - Wikipedia
Kama nakosea tuwekane sawa chief
Yaani hadi nachoka kukujibu maana inaonekana ni kama namwaga maji kwenye gunia....GALILEO GALILEI, NOCOLA TESLA, EISTAIN, NEWTON,ABBOT, PYTHAGORAS, ARCHMEDES, MARCONI, EDSON, MENDEL, NA WANASAYANSI WOTE KWA CONCEPT ZAKO HAWA NI ADVANCED HUMAN BEING WITH SATANIC GENES. AU WAMEWEZA KUFANYA SCIENTIFIC INVENTIONS NA WENGINE WANAENDELEA HATA KENYA JAMAA KAGUNDUA MOBILE MONEY, MBONGO MWINGINE JUZI TU AMEGUNDUA WATERFILTER USING NANOTECHNOLOGY WOOOTE HAWA NI PRODUCT YA STATANIC CONTAMINATION. NAOMBA MAELEZO ZAIDI NA EVIDENCE YA HAYO. maana hata galileo mwenyewe alisema
I do not feel obliged to believe that the same God who has endowed us with sense, reason, and intellect has intended us to forgo their use. Galileo Galilei
THEY ARE ALL HUMAN BEING, PURELY HUMAN BEING MKUU BORN WITH FREE CAPACITY OF CHOOSING GOOD OR EVIL.
KAMA MIPANGO HII IKITHIBITIKA NI KWELIL BASI INAFANYWA NA FREE SINFUL MEN BUT NOT SATANIC OFFSPRINGS
Hapana mkuu sijasema kuwa UFO's ni product hii maana sijui kama UFO's ni half human,isipokuwa nilisema kuwa inawezekana waliosemwa hapa wanawa ni hawa UFO's au viumbe wengine ambao siyo binadamu 100%....Narudia tena,niliponukuu Danieli 2:43 sikuwa namaanisha kukuonesha tendo la ngono bali lengo langu ni kukuonesha kwamba kuna viumbe ambao siyo binadamu.....
HAO VIUMBE AMBAO SIO BINADAMU, KWA MAELEZO YAKO MWANZO NI PRODUCT YA NGONO KATI YA MASHETANI NA WATU WAKAZALIWA, NA MIONGONI MWAO NI UFO/ALLIEN.
Sawa,lakini siyo dhana yangu bali ni kitu ambacho maandiko yanakisema kuwa Shetani ndiye mkuu wa ulimwengu,kumbuka ulimwengu na siyo dunia tu hivyo hata kama kuna sayari zingine huko basi bado hata huko ni mkuu pia....MIMI NIKASEMA SIKATAI KAMA KUNAUWEZEKANO WA KUWAPO VIUMBE AMBAO SIO BINADAMU WALA MARAIKA WALA MAJINI MAANA MUNGU ALIUMBA TRILLIONS OF PLANETS AMBAZO YAWEKEZNA KUKAWA NA VIUMBE HUKO. ILA DUNIA HII TULIUMBIWA SISI WANDAMU TUITAWALE, BAADAE TUKAWACONATMINATED NA DHAMBI TENDO AMBALO WENGINE WANATAFSIRI TUMUKABIDHI SHETANI, HAPO NDIO INAKUJA CONCEPT YAKO YA SHETANI KUJIONA NI MMLIKI WA HII DUNIA AMBAYO KWA MANTIKI HIYO NINAKUBALI JAPO MMILIKI HALISI NI MUUMBAJI ILA WALIOUMBIWA WAKAIKABIDHI KWA KIUMBE ASIYEHISIKA.
In my point of view ni kwamba kinachoelezwa Danieli 2 siyo kinachopelezwa Danieli 7 bali kinachoelezwa Danieli 7 ndicho kilichoelezwa danieli 8,10,11 na 12.Hii ni mada nyingine kabisa mkuu na tuiache....SASA UNAKWEPA NINI KUWA MZIZI WA WEWE KULETA FUNGU HILI AMBALO KWANZA NI LA KIUNABII. NA PILI KINACHOELEZWA DANIEL 2 NDICHO KINAELEZWA DANIEL7
May be may be,may be not,lakini point ya msingi ni kwamba maandiko yanatupa hints kwamba kuna viumbe ambao hawatakuwa wanadamu ambao watahusika kwenye jambo hili.....KWA MAFUMBO MENGINE NA BAADHI YA HAYA ZA UFUNUO NI KUTAKA KUTUAMINISHA MACHOTARA WA KIPEPO NDIO HAO WANAOZUNGUMZIWA HAPA.
Hapa biblia iejitafsiri namna ipi mkuu?BIBILIA ILIJITAFSIRI YENYEWE KUWA HAPO HILO ENEO LET BIBLE TRANSLATE ITSELF MKUU.
Falme ambazo zimetajwa kwenye Danieli 2 sizo falme za kwenye Danieli 7 mkuu,huu ni mtazamo wangu isipokuwa zile falme zilizooonekana kwenye Daniel 7 zimo kwenye mchanganyiko wa udongo na chuma pale baada ya ule ufalme wa chuma kupita ambao kwa mtazamo wangu badi haujinuka....PIA SIO LAZIMA HUO UFALME WA CHUMA BAADAE CHUMA NA UDONGO IWE NI ROMA AU VATICAN KWA MSINGI MMOJA TU FALME TATU ZIMETAJWA NA BIBILIA ILA WA MWISHO HAUJATAJWA JINA KWA MSINGI WA UKWELI KWAMBA UFALME HUO NI WA WAKATI KITABU HICHO KILICHOAMLIWA KIFUNGWE KITAFUNGULIWA NA KUNAUWEZEKANO KINGEPOTEZWA. PIA HAPO KAMA UNAPINGA SIO HIKI BASI SEMA KILE NI KIPI NDIO UTARATIBU CHIEF.
Uko sahihi kabisa hapa lakini sijakwepa kukupa chochote kwasababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo...TUKUMBUKE TULIKOTOKA PIA. MADA TUNAKUBALIANA ILA MTAZAMO NI KUWA WALIO NYUMA YA HAYO YA WORLD WARS MIMI NASEMA NI BINADAMU WEWE UNASEMA NI BINADAMU AMBAO NI CHOTARA WA KISHETANI YAANI WANA DNA MAKE UP YA KISHETANI HIVYO WANAAKILI YA ZIADA. PROOF YAKO NI BIBILIA NA BOOK OF ENOCH AMBACHO HATA SASA UNAKWEPA KUTUPA UKWELI ULIOMO.
Nilikuambia kuwa asilimia 95 ni uongo kwasababu kwenye maandiko yako kuna ukweli mdogo sana mkuu...Kama hautaki kukinukuu, mimi nimesema nimekinukuu na kimesema hayo ambayo wewe unadai 5% ni kweli na 95% ni uongo.
Utadhibitisha vipi kwa kutokinukuu ili uonyeshe basis ya hizo asilimia zako.
Na nimeelezea kwamba Humohumo unaposema 95% nimetoa ya uongo ndio Nukuu unayosema Yuda aliicopy paste kwa Mujibu wa Yuda Moja Ndio Hiyo nukuu inaonekana.
Unakwepa nini chief.
Hapa hatutafuti nani yuko sahihi bali kila mmoja anatoa mtazamo wake huru kwa ushahidi ikiwezekana
usisahau kusema na basis ya grading ya hizo asilimia
Mkiuu ngoja niseme kitu kingine hapa ambacho ni kigumu sana tena sana......SIO LUCIFER MKUU ni SHETANI NA IBIRISI. KUMUITA LUCIFAER WAKATI AMESHAKUWA IBIRISI KITAMBO HICHO KABYA YA KUFURUSHWA KUTOKA MBINGUNI.
TANGU DAY 1 ANAFUKUZWA KADI KESHO HAJAWAHI KUSITISHA SHUGHURI ZAKE. TENA ANAFANYA KWA SPEED YA HARAKA IKIWEZEKANA ASIPONE HATA MMOJA
Achaneni na hicho kitabu cha Enock tupeni ukweli ni jinsi gani ukweli unafichwa na uongo kuenezwaEiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)
Huyu Phil Scheneider ni nani? Alikwepaje kuawa mara kadhaa? Kwann aliuwa na aliuwa vipi?GALILEO GALILEI, NOCOLA TESLA, EISTAIN, NEWTON,ABBOT, PYTHAGORAS, ARCHMEDES, MARCONI, EDSON, MENDEL, NA WANASAYANSI WOTE KWA CONCEPT ZAKO HAWA NI ADVANCED HUMAN BEING WITH SATANIC GENES. AU WAMEWEZA KUFANYA SCIENTIFIC INVENTIONS NA WENGINE WANAENDELEA HATA KENYA JAMAA KAGUNDUA MOBILE MONEY, MBONGO MWINGINE JUZI TU AMEGUNDUA WATERFILTER USING NANOTECHNOLOGY WOOOTE HAWA NI PRODUCT YA STATANIC CONTAMINATION. NAOMBA MAELEZO ZAIDI NA EVIDENCE YA HAYO. maana hata galileo mwenyewe alisema
I do not feel obliged to believe that the same God who has endowed us with sense, reason, and intellect has intended us to forgo their use. Galileo Galilei
THEY ARE ALL HUMAN BEING, PURELY HUMAN BEING MKUU BORN WITH FREE CAPACITY OF CHOOSING GOOD OR EVIL.
KAMA MIPANGO HII IKITHIBITIKA NI KWELIL BASI INAFANYWA NA FREE SINFUL MEN BUT NOT SATANIC OFFSPRINGS
Ukikiacha ktabu cha enok wap utapata reference kujua ukwl up unafichwa?Achaneni na hicho kitabu cha Enock tupeni ukweli ni jinsi gani ukweli unafichwa na uongo kuenezwa
Kimsingi hili ni swali langu na siyo mtoa mada....Eiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)