Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

PUMBAVU THAAAAANA hilo, sijui ndilo lenyewe MC PILIPILI hivyo linajing'atang'ata tu hapa na utaira wake wa kiwango cha SGR ili lionekane halikukosea kwa huo upunguwani wake[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile mtu ni fankuro papyentekero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!!
Nimeenda jando,nikatahiriwa bila ganzi na bado sikulia, halafu nije kulia kwa kuingiza pete kwenye kidole cha mwanamke wangu!!!!????

Huyu aliamua kufanya komedi tu,hamna lolote!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli hata mimi huwa hanifurahishi hata ongea yake ila tumpongeze tu kwa kupata wandani wake ni jambo jema sana kama mapungufu kila mtu ana mapungu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona umepaniki ukweli ni kwamba nyie watu wa mikoani mnashida sana ndo maana mnafanya vitu vya ajabu ili muweze ku fit in
 
Kwa hiyo yeye ndio alikuwa anatoswa duh ila ni vizuri maana si kila mke au mume ni talanta kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume walianza tabia ya kupiga magoti wakati wa kuwavisha wachumba wao Pete sasa watu wakasema eti huo ndo upendo , na sasa hii ya kulia kulia nayo itaenea utaona wengine wataibuka kwa ujinga huu.

Kwangu mwanaume kumoigia magoti mwanamke au kumlilia eti ishara ya upendo ni uzindaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu jamani Watanzania sijui tuna matatizo gani? Kikawaida tukio la kumvalisha binti pete linatakiwa kufanywa SAPRAIZ! Sasa huwezi kuandaa sherehe, ukaita watu including na binti mwenyewe, watu wakashona sare, matarumbeta, nakadhalika halafu eti unapiga goti unamuuliza binti "Will you marry me?" Halafu akikubali unalia.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We ulitegemea akatae sasa kaja kufanya nini ukumbini..?🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mwanzoni demu alikua anamcheka, anashangaa hili bwege mtozeni ni la wapi..

Mwanamke hana kabisa ile mzuka wa tukio lenyewe yupoyupo tuu, halafu hilo jinga ndio linalia utadhani analilia mbingu..
 
Mwanzoni demu alikua anamcheka, anashangaa hili bwege mtozeni ni la wapi..

Mwanamke hana kabisa ile mzuka wa tukio lenyewe yupoyupo tuu, halafu hilo jinga ndio linalia utadhani analilia mbingu..
Nimekulewa
Mjinga Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…