Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Kama mwanamke alienae ni zwazwa basi lazima atafanya hivyo. Hakuna kitu wanawake wanashindwaga kuelewa kama a man's vulnerability...wanaume si wafungukaji kirahisi kihisia (inachangiwa sana na mitazamo ya kijamii toka anapokua mtoto) so mwanaume kuweza kuonesha hisia zake wazi kwa mwanamke ni kielelezo tosha cha mapenzi ya dhati kwa huyo mtu au kumaanisha kile anachokifanya kutoka moyoni mwanamke hapaswi kuitumia hio kama silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it!
Kudos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....kwa nini WESTERN countries ndizo zinazocreate satanic spirits na sio sisi developing countries...??

…....kwa nini Mungu ameweka mechanism ya kulia kwa wote wanaume na wanawake kulia ilhali anajua mwanaume hatakiwi kulia? si angetoa tu machozi kwa mwanaume kuliko kumdhalilisha?

...hakuna anayecompete hapa,wote tunalia hauwezi kusema bara hili wanalia ,bara hili hawalii..wote wazungu wabantu tunalia,surely it must be advantageus to man...
 
Nakuhakikishia Wanaume hatujaumbwa hivyo na mimi mwenyewe ni mfano sahihi Baba yangu mzazi alifariki lakini sikutokwa na machozi kabisa hadi ilinibidi nijifiche pembeni nipakae mate usoni ndipo nionekane nami ni miongoni mwa watu walioguswa na msiba.

Narudia tena Wanaume hatujaumbwa kuwa wa kulialia mbele za Watu ndiyomaana hata misibani huwa Wanawake ndiyo hulia sana.

Hata utotoni utamuoa Mama mzazi akimfokea mtoto wa kiume aache kulia sana kama si mtoto wa wa kiume sababu anaelewa jinsi gani Mwanaume kuambiwa roho ngumu siyo ya huruma huruma sawa na ninyi Wanawake.

MC Pilipili katudhalilisha sana kwa ujinga alioufanya na wote mnaomtetea mtakuja kujibu mbele za Mungu juu ya hiyo laana yenu ya mapenzi ya kuigaiga hata visivyoigika tangu sasa hata vizazi vyenu vijavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Mc Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume lijali - JamiiForums

[quote uid=368653 name="Rebeca 83" post=29918604].....kwa nini WESTERN countries ndizo zinazocreate satanic spirits na sio sisi developing countries...??

…....kwa nini Mungu ameweka mechanism ya kulia kwa wote wanaume na wanawake kulia ilhali anajua mwanaume hatakiwi kulia? si angetoa tu machozi kwa mwanaume kuliko kumdhalilisha?

...hakuna anayecompete hapa,wote tunalia hauwezi kusema bara hili wanalia ,bara hili hawalii..wote wazungu wabantu tunalia,surely it must be advantageus to man...[/QUOTE]Nakuhakikishia Wanaume hatujaumbwa hivyo na mimi mwenyewe ni mfano sahihi Baba yangu mzazi alifariki lakini sikutokwa na machozi kabisa hadi ilinibidi nijifiche pembeni nipakae mate usoni ndipo nionekane nami ni miongoni mwa watu walioguswa na msiba.

Narudia tena Wanaume hatujaumbwa kuwa wa kulialia mbele za Watu ndiyomaana hata misibani huwa Wanawake ndiyo hulia sana.

Hata utotoni utamuoa Mama mzazi akimfokea mtoto wa kiume aache kulia sana kama si mtoto wa wa kiume sababu anaelewa jinsi gani Mwanaume kaumbiwa roho ngumu siyo ya huruma huruma sawa na ninyi Wanawake.

MC Pilipili katudhalilisha sana kwa ujinga alioufanya na wote mnaomtetea mtakuja kujibu mbele za Mungu juu ya hiyo laana yenu ya mapenzi ya kuigaiga hata visivyoigika tangu sasa hata vizazi vyenu vijavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuhakikishia Wanaume hatujaumbwa hivyo na mimi mwenyewe ni mfano sahihi Baba yangu mzazi alifariki lakini sikutokwa na machozi kabisa hadi ilinibidi nijifiche pembeni nipakae mate usoni ndipo nionekane nami ni miongoni mwa watu walioguswa na msiba.

Narudia tena Wanaume hatujaumbwa kuwa wa kulialia mbele za Watu ndiyomaana hata misibani huwa Wanawake ndiyo hulia sana.

Hata utotoni utamuoa Mama mzazi akimfokea mtoto wa kiume aache kulia sana kama si mtoto wa wa kiume sababu anaelewa jinsi gani Mwanaume kaumbiwa roho ngumu siyo ya huruma huruma sawa na ninyi Wanawake.

MC Pilipili katudhalilisha sana kwa ujinga alioufanya na wote mnaomtetea mtakuja kujibu mbele za Mungu juu ya hiyo laana yenu ya mapenzi ya kuigaiga hata visivyoigika tangu sasa hata vizazi vyenu vijavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Fact.. Unaliaje. Kwanza nikiona MTU Analia naweza kucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee unatupotosha wanaumeee, eti "Real Man" come on Woman, hiyo sio tabia ya real men, we km sio mwanaume huwezi kuongelea traits za real men, sisi real men tunamwona mchizi kazingua so kwa kuwa we ni woman bado hujajua saikolojia za wanaume zikoje, mwanaume ni mlingoti, nguzo, first support, mlinzi kwa mwanamke na familia yake, we unaweza kumweka mlinzi mlangoni kwako anayeshindwa kukaa kikakamavu mbele ya watu, hata bodyguard anakuwa mkakamavu, ndo hivyo hivyo kwenye familia, tutaliliana ndani huko vyumbani, ila huku duniani nje hatulii wala hatutoi chozi, tunamprotect mke na familia, we are fighters not barbie dolls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasikitikie sana mkuu dada zako, sisi hatupigi magoti ni dhambi kwa mababa zetu, sisi tunapewa mkuki na ngao ishara ya kuwa "Bwana mkubwa sasa umekuwa MWANAUME acha utoto protect your family" sasa ntapewaje mkuki huku nalia km nipo leba, si ntapigwa kelbu moja akili irudi sawasawa [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yangu kafanya sana kwa mkewe na mpaka leo wako pamoja. Kutokuthamini wanawake hakukufanyi Kuwa kidume
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hukutokwa machozi,sio sababu wengine wasitokwe machozi,nilishasema katika Maisha kila mtu ana experiences zake,sio wote safari zatu zinafanana..hivyo msilazimishe wote muwe sawa..who knows labda baba yako alikua katili kwako badala ya kuwa sad umefurahi alivyokufa?????

Wanawake kulia msibani sio kwamba wanaume hawafeel maumivu,tena ukute kuna baadhi ya wanaume wana maumivu kuliko hao wanao 'fake' kulia kwenye misiba...

kulia ni expression of how you feel,hao wanaowaambia watoto wao wasilie kisa ni wakiume wanakosea na huu ni unyama….kumkatisha mtoto wa kiume asilie...and I now know how hii imefanya kwa nini baadhi ya wanaume hawalii kwenye misiba na wanawake wanalia sababu they are 'expected' to cry....sad!

eti tutakuja kujibu kwa Mungu,kwani kuna kifungu katka dini kinachokataza wanaume wasilie?lol..kulia ni natural thing...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…