Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

term ulijali ukiitafsiri kwa maana ya kudinda utafeli...tumia akili kuwaza
 
hahahaa umenikumbusha mustachi wa maafande wa kwenye gazeti la Sani enzi zile
 
Ukimpigia mwanamke magoti. Yeye atakuwa kichwa siku zote, wewe mkia
Mkuu ukiona umekua mkia kwenye mahusiano yako jua tu umefeli kukaa kwenye position yako.

Kipimo chakua kichwa/lijali kwenye familia hakipo kwenye kujifanya kauzu. Hata nikimbeba mgongoni mke wangu she'll always know who I am in a family.

We ar not becoming men by being cold au kua makauzu. If u know ur roles kwenye familia na ukatimiza ipasavyo wewe ni rijali bila hata kuambiwa na mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hzo emotions ndo huwa burry mapema kuliko wanawake. Kuwa mwanaume hakukupi umwamba eti usionyeshe hisia zako huo ni udhaifu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mnatuua mapema kwa upuuzi wenu,hamridhiki wala hamna jema,unafikiri hata tulikia ndo itasaidia kwamba mtaacha mambo yenu? nyie hata tuwavishe pete tukiwabl uchi mtaendelea kutuua tu
 
@Madimba jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wachache sana Wana uelewa mpana ka wako. Wa fikiria ukauzu ndo urijali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…