Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Aisee HAPANA kwakweli, hiyo ni bonge la dhambi nakukatalia kabisa kabisa kuwa huo ni udhaifu wa kiwango cha juu.

IMPACT KWA BINADAMU MPITA NJIA HUYU HUYU AMBAYE HUJUI SIKU SAA WALA SEKUNDE GANI ATAWEZA;

KUDHURIKA NA MUDA/KUPITWA NA WAKATI/KUZEEKA,

KUDHURIKA NA MAJERAHA/KUVUNJIKA NA KUWA KILEMA TOKANA NA AJALI,

KUDHURIKA NA MAGONJWA HADI KUDHOOFIKA/TB/KANSA/KISUKARI/BP N. K, KUPOTEA UHAI WAKE/KUFA.

"ALAANIWE ANAYEMTEGEMEA MWANADAMU BALI AMEBARIKIWA ANAYEMTEGEMEA BWANA KATIKA KILA JAMBO."

"MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO" INAMAANA USIZIDISHE UPENDO WAKO KWA BINADAMU KULIKO MUNGU ANAYEKUPATIA UHAI SABABU UTACHOKIPENDA SANA KULIKO WW BINAFSI UNAVYOJIPENDA KITAKUCHUKULIA NAFASI KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKO KUKITUMIKIA KULIKO KUMKUMBUKA MUNGU WAKO KWA MAOMBI NA SALA.

"USIABUDU SANAMU" NI PA1 NA KUTORUHUSU KUKIHUSUDU KITU, KIUMBE CHOCHOTE NA KUKITHAMINI SANA KULIKO MUUMBA WAKO, KAMA VILE FEDHA, MALI, MAPENZI, ANASA, MADARAKA, N. K.

Hivyo basi, MC Pilipili katudhalilisha sana Wanaume na kumkufuru Mungu wake aliyempatia mamlaka ya yeye(Mwanaume/Mume) kuwa kichwa cha familia/kiongozi/mtawala katika ndoa kwa kumlilia Mwanamke na kupiga goti mbele yake nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kupigiwa magoti na Binadamu yeyote na Malaika duniani na mbinguni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kamkubali nakupenda na kumu support mana Mc pilipili wadada walikuwa Wana mtosa na kumkimbia plus dharau. I'm happy for him aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanamtosa sababu wakati wake wa kuoa ulikuwa bado haujafika, kumbuka kila kitu chini ya jua hufanyika kwa sababu maalum za kimbingu.
MUHUBIRI 3:1-15.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma biblia na kurudia sijaona sehemu wameandika Mungu akatatoa ubavu wa kuume, ww umetoa biblia gani ninachojua biblia haikutaja upande gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mengi yakukushauri mkuu ila ngoja nikuache tuu.

Cha msingi usisahau, kumuabudu Mungu ni rohoni sio mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Pep
So ulitaka akamlilie chumbani? Afu mdada awaze nini labda?

He is genuine. He let his feelings flow when they rose.

Let him be. Usimpangie what makes him a man and what you think makes him a lesser man.
Hata kama MUNGU katuagiza Binadamu tuwe na KIASI katika kila jambo.

MC Pilipili ni Mjinga sana kupindukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jidanganye vivyo hivyo eti kutoa machozi ndiyo hisia za upendo wa dhati.

Moyo wa mtu ni giza ndugu yangu.

Wangapi hulia sana wakimwaga machozi ya damu kwa kujutia makosa waliyotenda kwa ndugu, rafiki na jamaa zao lkn hatimaye baadaye tena hurudia makosa yale yale?

"WAJINGA NDIYO WALIWAO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…