Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Hisia za kipumbavu kama vile bila huyo Mwanamke ndiyo UNAKUFA?

Je Mungu akimtanguliza mbele ya haki si ndiyo utajinyonga kabisa kisa mkeo kafariki? nakati Mungu alishasema "kila kiumbe kitaonja mauti"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutetea upumbavu usio na faida, huu ujinga wenu ndiyomaana kila kukicha mnaleta nyuzi za kudharauliwa na Wake zenu hapa JF.

Baba na Mama zako nao walifanya huu upumbavu, mbona walidumu sana katika ndoa kuliko sisi tunaoigaiga kila aina ya ujinga wa kisasa?

Jiamini mtoto wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama kuna mwanaume boya kisi hicho,
Naamini alikua anaigiza tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Punguwani tu hilo, kuigiza gani hadi katika mambo ya msingi kama hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kijana si anatoka kwny kabila la kina Matonya wala msishangae kufanya hivi
 
inasaidia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mengi yakukushauri mkuu ila ngoja nikuache tuu.

Cha msingi usisahau, kumuabudu Mungu ni rohoni sio mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
MWILI, NAFSI NA ROHO VYOTE HUWA PA1 KUKAMILISHA UHAI ISIPOKUWA BINADAMU AKIFA TU NDIPO HIVYO VITU HUTENGANA.

N. B:

USIKUBALI HUO UJINGA WA KIPAGANI TOKA NCHI ZA MAGHARIBI.

NAKUHAKIKISHIA HUO UPUMBAVU SITAKUJA KUUFANYA KAMWE SABABU HATA TUKIWA TUNAKOJOA NI LAZIMA MWANAMKE ACHUCHUMAE/AINAME/AWE CHINI YANGU MWANAUME NA NI ISHARA TOSHA KUWA NI YUPI ALIYELAANIWA KWA KUAGIZWA ATAPASWA KUWA CHINI YA MWANAUME NA KUTAWALIWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha haha haha hahaaaaaaa..... Wanaume wa Dar wanazidi kuongezeka kila kukicha[emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hii clip yake nimeshindwa kuirudia hadi najisikia aibu kuitazama tena,kafanya kitendo cha kilofa nahisi ana chembechembe za mwanaume wa Dar.

Eti mwanaume rijali unamvish pete mpenzi wako huku unajiliza huo ni udada,yaani ni balaa sitamani kijana mwingine aje afanye kitu kama hiki.

ILA LABDA HUENDA JAMAA KAMKUTA MWANAMKE NA BIKRA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MGOGO KADATA

Beautiful ones are not yet born
 
Mwanzo uliandika kama mtu anayefahamu maandiko ndomana nikaona nikukumbushe kidogo, ila kwa haya uliyoandika saiv Duuhh..!!
Eti mwanamke amelaaniwa kuwa chini ndomana anachuchumaa kukojoa..!!!

Ubaki salama mkuu, me ngoja niende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…