Thread closed.Don't be quick to judge. You never know.
Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.
Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.
Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
Bikra ikishatolewa haitaitwa tena bikra bali ni historia iliyokwisha kupita na wakati.Huyu jamaa hii clip yake nimeshindwa kuirudia hadi najisikia aibu kuitazama tena,kafanya kitendo cha kilofa nahisi ana chembechembe za mwanaume wa Dar.
Eti mwanaume rijali unamvish pete mpenzi wako huku unajiliza huo ni udada,yaani ni balaa sitamani kijana mwingine aje afanye kitu kama hiki.
ILA LABDA HUENDA JAMAA KAMKUTA MWANAMKE NA BIKRA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MGOGO KADATA
Beautiful ones are not yet born
[emoji3][emoji3] huo msamiati hapo mwishoWanaume wote mnaosupport iyo kulia Lia na kupiga magoti et emotional nini nini sijui mbwa tu nyie mvae na pedi sasa tujue moja. Vipo vitu vya mwanaume kulia au kupig magoti lakini sio haya mambo yakisengerembwendembindembunya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaume tunamengi sana yakujifunza.MWILI, NAFSI NA ROHO VYOTE HUWA PA1 KUKAMILISHA UHAI ISIPOKUWA BINADAMU AKIFA TU NDIPO HIVYO VITU HUTENGANA.
N. B:
USIKUBALI HUO UJINGA WA KIPAGANI TOKA NCHI ZA MAGHARIBI.
NAKUHAKIKISHIA HUO UPUMBAVU SITAKUJA KUUFANYA KAMWE SABABU HATA TUKIWA TUNAKOJOA NI LAZIMA MWANAMKE ACHUCHUMAE/AINAME/AWE CHINI YANGU MWANAUME NA NI ISHARA TOSHA KUWA NI YUPI ALIYELAANIWA KWA KUAGIZWA ATAPASWA KUWA CHINI YA MWANAUME NA KUTAWALIWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazingua kinyama,hapa kuna watu watakuja kuponda thread hiiBikra ikishatolewa haitaitwa tena bikra bali ni historia iliyokwisha kupita na wakati.
MC Tatutatu ni jinga la kimataifa kabisa, tena pumbavu sanaaaa.
Mwanaume huna kifua cha kukomaa kuficha upumbavu mbele za watu?
Sasa hapo ni mbele ya kadamnasi ndiyo analia hivi je chumbani si ndiyo atakuwa anagaragara kabisa kulilia papuchi na huyo Mke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mazima kabisa tena usijisogeze kabisa katika anga zangu maana usitake kunihalalishia niikatae Biblia.Mwanzo uliandika kama mtu anayefahamu maandiko ndomana nikaona nikukumbushe kidogo, ila kwa haya uliyoandika saiv Duuhh..!!
Eti mwanamke amelaaniwa kuwa chini ndomana anachuchumaa kukojoa..!!!
Ubaki salama mkuu, me ngoja niende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au alikuwa kwenye maigizo?Bikra ikishatolewa haitaitwa tena bikra bali ni historia iliyokwisha kupita na wakati.
MC Tatutatu ni jinga la kimataifa kabisa, tena pumbavu sanaaaa.
Mwanaume huna kifua cha kukomaa kuficha upumbavu mbele za watu?
Sasa hapo ni mbele ya kadamnasi ndiyo analia hivi je chumbani si ndiyo atakuwa anagaragara kabisa kulilia papuchi na huyo Mke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kusudi la Mungu lilikuwa Binadamu tuishi jinsi tunavyoishi ss hv?Ila wanaume tunamengi sana yakujifunza.
Ashakum si matusi; hivi kama na mama yako alilaaniwa vp kuhusu uzao wake (ambe ndo wewe)
Mwanaume amefanywa kuwa mwalimu kwenye familia yake, sasa swali; hivi ndivyo utakavyowafundisha binti zako kuwa wamelaaniwa ndomaana wanachuchumaa kukojoa..!!!??
You are smarter than that bro..!!
Tukubali kufungua mind zetu, tupokee maarifa na turuhusu akili zetu kuyachanganua.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahNi hawahawa tunaogombana nao kila siku kutoka dodoma ona sasa wanatuingiza mkenge
Nadhani mimi niko uhuru, sijui wewe, maana kwenye hiyo njaa, magonjwa, ajali (na yote uliyoweka hapo), I am exempt, nayasikia tu kwenu. I was once a victim though, ila tangu nikatae kung'ang'ania ujinga (maana na me nilikua kama wewe) I've been completely free.Kwani kusudi la Mungu lilikuwa Binadamu tuishi jinsi tunavyoishi ss hv?
Laana ndiyo imetuweka katika hali hii baada ya kuasi dhambi pale Eden, so fungua akili yako ielewe kwanini uishi maisha yanayoandamwa na changamoto za kila aina kama ajali, magonjwa, njaa na vita na wakati huo amani ni janga la dunia nzima.
Mama yangu asili yake imetokana na huyo huyo Ever/Hawa, hivyo hakuondoi maana yoyote kuwa alilaaniwa sababu Binadamu sote tumetokana na asili ya dhambi baada ya Adamu na Ever kula tunda katika bustani ya Eden.
Mungu hajawahi kuwa mwongo, si mwongo na hatakuwa mwongo kamwe, na akisema kitu lazima kitimie kama alivyotamka neno tu na viumbe vyote vilifanyika/viliumbika.
Weka hisia pembeni, kubaliana na ukweli maana utakuweka huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mimi niko uhuru, sijui wewe, maana kwenye hiyo njaa, magonjwa, ajali (na yote uliyoweka hapo), I am exempt, nayasikia tu kwenu. I was once a victim though, ila tangu nikatae kung'ang'ania ujinga (maana na me nilikua kama wewe) I've been completely free.
Good luck
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huyo demu ni mzinzi tangu kitambo,,chuo nilikua nae st joseph yaani amepigika vya kutosha na wana
Sent using Jamii Forums mobile app